mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,254
- 4,466
Hii habari ya Kuuwawa kwa Netanyahu, tufute tuanze upya kumsaka
Mbona tulishamdedisha?
Huyu anayekaa na kuwa na press mbalimbali kujidai atawauwa viongozi wetu wenye Iran yao, anatoka wapi?
Nahitaji kufahamishwa,
Au tulipigwa na kitu kizito shabaha yetu ililenga mdoli wa Netanyahu na kumwacha Mwamba Neta akiselebuka kwa raha zake?
kimsboy Malaria 2