Kwa miongo ulioishi Duniani umejifunza nini?

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
34,954
Reaction score
80,256
Salaam.,
Walimwengu wanasema "experience is the best teacher" , kiukweli hawakudanganya au kukosea.

Kila siku unapoamka unajifunza mapya au una update uliyokuwa unayajua nusu.

Muda mwingine unagundua ulilokuwa unalijua sio jibu sahihi la swali. Kumbe hukuwa-exposed na mazingira ndiyo maana akili yako ikadhani ulikuwa na jibu sahihi.

Binafsi kwa miongo kadhaa nimejifunza mengi saana.

1. Waajiri hawaangalii kiwango cha taaluma ya mtu zaidi ya wanavyoangalia tabia ya mtu. Wazungu hapa walisema your attitude determines your altitude. Vijana kwa waajiri taaluma ni kigezo ila sio muhimu saana kama ilivyo tabia. Kikubwa ni attitude .

2. Utajua unakipaji cha kitu fulani pale ambapo utaanza kukifanya. Mfano: mwalimu wa hesabu atajua anaweza kuifundisha Sayansi vizuri pale ambapo atajaribu kufundisha Sayansi. Maisha yapo hivi. Nimejionea mwenyewe. Wengi wetu tunaogopa kuanza kufanya mambo kwasababu tunadhani hatuwezi kuyafanya. Nakuhakikishia anza utajastaajabu.

.........
 
1) kuzaliwa mwingereza ni kushinda bahati nasibu ya maisha
2) baada ya mungu afuataye ni mzungu
3) burudani zote ali,okuja nazi mwanadamu havifikii burudani aliweka mungu.
4)money is better than education
5)waajiri ni wawili tuu, mzungu na mjapan wengine tunaganga njaa
6)wanawake wana roho mbaya sana ila mbususu zao tamu
7)better to be born lucky than gifted
8) ndoa ni tapeli, kataa ndoa
9) mungu wa kweli yupo na ninyule anaye abudiwa na mataliban...hawa mungu wa dini zingine ni uwongo mtupi
10) kweli kabisa africa ni chaneli ya comedy huko mbinguni. Malaika wakichoka kazi wanatune into africa wacheke kidogo
 
1.Nimejifunza kwamba ukiona watu wanakudharau,usianze kuwanyooshea kidole badala yake nyooshea kidole hicho kinachokufanya udharaulike
2. Mke mwema hatafutwi bali anashushwa😄
 
Mke mwema hayupo. Niamini mwaka wa 10 huu.

Tafuta aliyekidhi vigezo mvumiliane maisha yaende. Hakuna binadamu aliyekamilika.

Kama unataka mke mwema mtiifu, mzuri , ...nunua lirobot la Elon Musk.
 
1) kuzaliwa mwingereza ni kushinda bahati nasibu ya maisha
2) baada ya mungu afuataye ni mzungu
3) burudani zote ali,okuja nazi mwanadamu havifikii burudani aliweka mungu.
4)money is better than education
5)waajiri ni wawili tuu, mzungu na mjapan wengine tunaganga njaa
6)wanawake wana roho mbaya sana ila mbususu zao tamu
7)better to be born lucky than gifted
8) ndoa ni tapeli, kataa ndoa
9) mungu wa kweli yupo na ninyule anaye abudiwa na mataliban...hawa mungu wa dini zingine ni uwongo mtupi
10) kweli kabisa africa ni chaneli ya comedy huko mbinguni. Malaika wakichoka kazi wanatune into africa wacheke kidogo
Hapo namba 8 😂 🤣
 
Back
Top Bottom