Halo huwa wanafanyia wapi na saa ngapi?
Kinachotaka klukupeleka huko ni nini? aau wewe ni kocha?
Si vibaya kwa mtu kuangalia mazoezi ya timu, labda iwe under closed door!!
Ni changamoto gani unayoiona hapa.
Inaweza kuleta 'changamoto' kwa makocha wa viungo (wanaume)?
(picha kwa hisani ya blogu ya michuzi)
we huoni michanuko hiyo....kocha laini laini tu klatoka kunywa misupu ya pweza si unamkamatia nyavuni hapa....mnashangaa mnamkuta anatweta tu
umenifanya nicheke kwa sauti hadi my wife wangu ameshtuka lo!