Kwanini Simba huingiza kikosi kamili kwenye kombe la mapinduzi?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,783
24,215
Mabingwa wa mapinduzi cup hapa east Africa (Simba) mwaka huu nimeona wanaingiza kikosi full mkoko (first eleven) tofauti na miaka iliyopita

Hizi zaweza kuwa ni mojawapo ya sababu
1. Uoga, kocha anaogopa kufanya rotation sababu anaogopa lawama.

2. Pia msimu huu Simba haina uhakika wa kubeba kombe la ligi so wanachofanya ni Bora wabebe ubingwa wa mapinduzi.

3. Mashabiki wake wengi ni mbumbumbu, na wanapenda sana kulalamika hovyo. Kwa hiyo viongozi na benchi la ufundi wanalazimika kuwachezesha wachezaji wale wale kuka mechi, ili tu ushindi upatikane......according to Tate Mkuu

NB: Je unahisi sababu zingine zaweza kuwa ni zipi?
 
Kwani hao wachezaji unaowaita first eleven kazi yao ni ipi? Wana mikataba kwa ajili ya kusakata kabumbu.

Ukijifanya una kikosi kipana utaishia kudhulumiana na Jamus FC ya wajaluo wa sudani kusini.

Kupanga ni kuchagua
 
Hilo ndio swali gani? yaani ni sawa na uulize kwenye mashindano fulani ya boxing kwanini bondia fulani anarusha ngumi nzito.
UTOPOLO mna tabu, ulitaka SIMBA aje kizembe? hizo ni mbinu za kocha, wachezaji ni wake na wamesajiliwa kwa ajili ya kucheza, alishaamua anataka vikombe vyote hivyo kuweni wapole.
 
Umeona wanachokifanya wananchi??
 
Mabingwa wa mapinduzi cup hapa east Africa (Simba) mwaka huu nimeona wanaingiza kikosi full mkoko (first eleven) tofauti na miaka iliyopita

Hizi zaweza kuwa ni mojawapo ya sababu
1. Uoga, kocha anaogopa kufanya rotation sababu anaogopa lawama.

2. Pia msimu huu Simba haina uhakika wa kubeba kombe la ligi so wanachofanya ni Bora wabebe ubingwa wa mapinduzi.

NB: Je unahisi sababu zingine zaweza kuwa ni zipi?
3. Mashabiki wake wengi ni mbumbumbu, na wanapenda sana kulalamika hovyo. Kwa hiyo viongozi na benchi la ufundi wanalazimika kuwachezesha wachezaji wale wale kuka mechi, ili tu ushindi upatikane.
 
Utateseka sana ila Simba ni matawi ya juu kaa kwa kutulia we chura wahed.
 
Attachments

  • Screenshot_20240104-173529.png
    Screenshot_20240104-173529.png
    151.5 KB · Views: 3
Mabingwa wa mapinduzi cup hapa east Africa (Simba) mwaka huu nimeona wanaingiza kikosi full mkoko (first eleven) tofauti na miaka iliyopita

Hizi zaweza kuwa ni mojawapo ya sababu
1. Uoga, kocha anaogopa kufanya rotation sababu anaogopa lawama.

2. Pia msimu huu Simba haina uhakika wa kubeba kombe la ligi so wanachofanya ni Bora wabebe ubingwa wa mapinduzi.

NB: Je unahisi sababu zingine zaweza kuwa ni zipi?
Mleta mada ni nyoka wa kijani. Kama wachezaji hawako timu ya taifa unataka wakae tu au wakauze bangi?? Mashindano haya huenda kocha anayatumia kwa kukijenga kikosi na utimamu wa mwili kwa wachezaji. First 11 iko kwenye akili yako tu ila mchezaji yeyote anaweza kuwa ktk first 11 kama ni wa club husika.
 
Back
Top Bottom