Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 505
- 871
.
Lissu; Taja majina yako kwa ajili ya kumbukumbu
Makonda; Paul Christian, Makonda
Lissu; unaweza kuiambia mahakama juzi ulikula chakula gani ahsubh, mchana na jioni?
Wakili wa Makonda; (akasimama haraka) haina uhusiano mheshimiwa hakimu
Hakimu: Bwana Makonda jibu swali uliloulizwa
Makonda: Sikumbuki, nina shughuli nyingi siwezi kukumbuka nilichokula
Lissu; Ikiwa huwezi kukumbuka hata ulichokula juzi, unaiaminishaje mahakama kuwa utakuwa na kumbukumbu sahihi ya miaka zaidi ya mitano iliyopita?
Makonda; Nakumbuka mambo yote ya muhimu
Lissu: Kwahiyo chakula siyo muhimu kwako, unaweza kuishi bila ya kula? usilijibu hilo tafadhali.
Lissu: Katika kiapo chako cha ukuu wa mkoa, ni kweli uliapa kutii, kusimamia na kuilinda katiba ya nchi?
Makonda: Ndiyo.
Hakimu; Bwana Makonda ukijibu sema sentensi kamili, kama ni ndio unasema ndio niliapa, kama ni siyo, unasema sivyo haikuwa hivyo. naamini mmenielewa. Wakili endelea
Lissu: Ahsante mheshimiwa, Bwana Makonda, katiba uliyoapa zaidi ya mara moja kuitii, kuilinda na kuisimamia ni kweli umeisoma na kuielewa?
Makonda: Nimeisoma kwa zaidi ya miaka 10 sasa, nifahamu vyema.
Lissu: Sheria ya 1984 Na 15 ibara ya 6 inasema "Kila Raia wa Jamhuri ya Muungano anayo haki ya kwenda popote katika Jamhuri ya Muungano na kuishi sehemu yoyote, kutoka nje na kuingia, na pia HAKI YA KUTOSHURUTISHWA KUHAMA AU KUFUKUZWA Kutoka sehemu ya Jamhuri ya Muungano" Je, unakubali kuwa anayepinga kauli hii ni adui mkubwa wa Jamhuri?
Makonda: Ndio, nakubali kabisa
Lissu: Uliwahi kusema kwenye umati kuwa una uwezo wa kumfukuza mtu yeyote nje ya mkoa wako muda wowote na asiondoke hata na ndalla, je, kwa kauli hii inayokinzana na hiyo sheria wewe ni adui wa Jamhuri?
Makonda; Ni kweli nilisema ivyo lakini sikueleweka vizuri, nitumie nafasi hii kuwaambia tena wakazi wote wa Mkoa wangu kuwa sina ugomvi nao wa kuwafukuza, wale wa madawa ya kulevya ndio nitawahamisha mji.
Hakimu: Bwana Makonda, huu ni muhimili unaojitegemea, siyo sehemu yako ya kutoa kauli wala order! wakili endelea
Lissu: Unamfahamu Paul Christian, Kagenze?
Makonda: hapana, simfahamu
Lissu; Unamfahamu Daudi Albert, Bashite?
Makonda: Hilo ni jina langu nililokuwa natumia zamani, lakini nililibadilisha kihalali kabisa kwa mheshimiwa hakimu.
Lissu: kwa katiba hiyo unayoifaham vyema, unajua ni kosa la jinai kughushi ama kununua cheti cha mtu na kukitumia kama chako?
Makonda: ndio nafaham.
Lissu: umeiambia mahakama kuwa humjui Paul Christian, kagenze. unaweza kuiambia mahakama kuwa ulipata daraja la ngapi baada ya kuhitimu kidato cha nne?
WAKILI WA MAKONDA: Mheshimiwa, matokeo ya mtu ni siri yake mwenyewe
Makonda: mtu akishakuwa public figure, maisha yake automatically yanakua public and of public interest. Mheshimiwa kwa taarifa tu, utaratibu wa baraza la mitihani NECTA hutoa matokeo ya shule zote hadharani na kila mtahiniwa unaweza kuona matokeo yake kama matokeo ya Daudi Albert Bashite yanavyoonekana hapa kwenye kiambatanisho (lissu anamsogelea hakimu na kumkabidhi kiambataniho cha matokeo)

Makonda; Sikufanikiwa kufaulu mheshimiwa wakati huo
Lissu: Unaweza kuiambia utaratibu ulioufuata kisheria uliobadili matokeo yako na kukuwezesha kujiunga na chuo cha fisheries na kubadili majina yako kuwa Paul Christian, Makonda?
Hakimu: Mahakama itaendelea kusikiliza kesi hii baada ya saa moja na nusu, tu naenda kwenye mapumziko ya Lunch tukirejea tutamaliza hii kesi.
.................
Am just thinking out loud. just in case ikitokea