Kwa Mbumbumbu mnaojitoa ufahamu na kudai kupinga chanjo ya corona ni "uharibifu" uliofanywa na serikali ya awamu ya 5. Cheki hapa!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,037
Nyomi hii ya maandamano ya kupinga corona mjini London Uingereza. Sipuka Ndugayi waite na hawa kwenye kamati ya maadili!! Waliharibiwa pia na JPM!! Watu wanafiki wanatia kichefuchefu sana!! Alipokuwepo ndio walioongoza hoja ya kuvunja katiba ili aongezewe kipindi cha kutawala zaidi ya miaka 10, alipoondoka ndio walioongoza kuporomoa mambo aliyokuwa akiyajenga!! Mnafiki namba moja yuko mjengoni!! Mama mwepuke huyo ni nyoka!!! Nyoka ni nyoka tu!! Kazi yake ni kuuma tu!! Hafai!!!
 
Attachments

  • VID-20210910-WA0001.mp4
    4.9 MB
Chanjo ni hiari yako ILA mkuu chanja chanjo pls ,Covid 19 ipo na ni balaa,kimbia kachanje before its to late
 
Nyomi hii ya maandamano ya kupinga corona mjini London Uingereza. Sipuka Ndugayi waite na hawa kwenye kamati ya maadili!! Waliharibiwa pia na JPM!! Watu wanafiki wanatia kichefuchefu sana!! Alipokuwepo ndio walioongoza hoja ya kuvunja katiba ili aongezewe kipindi cha kutawala zaidi ya miaka 10, alipoondoka ndio walioongoza kuporomoa mambo aliyokuwa akiyajenga!! Mnafiki namba moja yuko mjengoni!! Mama mwepuke huyo ni nyoka!!! Nyoka ni nyoka tu!! Kazi yake ni kuuma tu!! Hafai!!!
Kwa hiyo wewe unaamini uingereza ndio wamejaa wenye akili pekeee? Na ndio role models wako? Basi jua kuwa Hata uingereza mambumbumbu wengi tu tena wenye mawazo na fikra duni kama zako.
 
Back
Top Bottom