Kwa mbali naona Trafiki waleee

Kwa mbali naona Trafiki waleee

1002460_651565558204291_1920357197_n.jpg

Geita mjini hapa au?
 
...msimu wake huu,demand imeongezeka maradufu...
 
Tupo kwenye mfungo usituharibie swaumu yetu

PJ,picha imepigwa Mbeya,hakuna waislam kule.Wapo wachache sana kule juu Uswahilini Matola...Ndio,kuna msikiti mmoja pia huku chini karibu na Mafiati,nilikuwa nawaona wazee wanne tu wanaingia pale,halafu ukikunja kona mita ishirini tu hapo wametundikwa shwaini na watu wanakula ulanzi na kuna kitu inaitwa Kadansana,inatoka Malawi,hiyo machozi ya simba cha mtoto.
 
Salamander kadansana bado ipo?
Zamani pale magorofani Forest kulikuwa na dokta, anauza pombe yake tulikuwa tukiita nyuki.....du nduki yake ilikuwa noma.
Unakunywa pombe Forest, pombe zinaenda kupandia Mount Livingstone kudadadeki
 
Last edited by a moderator:
Salamander kadansana bado ipo?
Zamani pale magorofani Forest kulikuwa na dokta, anauza pombe yake tulikuwa tukiita nyuki.....du nduki yake ilikuwa noma.
Unakunywa pombe Forest, pombe zinaenda kupandia Mount Livingstone kudadadeki

Inatoka Malawi ile,ilikuwa inauwa watu sana,polisi wakaipiga marufuku,lakini bado inauzwa kinyelela.Ukizoea ile,Mbeya huami.
 
PJ,picha imepigwa Mbeya,hakuna waislam kule.Wapo wachache sana kule juu Uswahilini Matola...Ndio,kuna msikiti mmoja pia huku chini karibu na Mafiati,nilikuwa nawaona wazee wanne tu wanaingia pale,halafu ukikunja kona mita ishirini tu hapo wametundikwa shwaini na watu wanakula ulanzi na kuna kitu inaitwa Kadansana,inatoka Malawi,hiyo machozi ya simba cha mtoto.

Acha uongo wewe Uswahilini Matola nimeishi pale kuna Misikiti mi4 na Kanisa moja la Moravian sasa unaposema kuna msikiti mmoja unamaanisha nin?
 
Nimekaa sana soko Matola, kuna misikiti mitatu tu, upo ule wa Barabara ya Pili, aliokuwa anaswali Mzee Mwampyate, upo wa Barabara ya Nne na upo wa Barabara ya Nane kama unaenda kwa Mwalalika.
Huo wa nne unaouongelea ni upi?
Usije ukasema Olofea nao ni msikiti
 
Kaka,kwetu kumwita mtu mwongo bila sababu ni tusi,mi nimesema Mbeya waislamu wachache,sasa unabisha nini?Watu wanapiga kitimoto kwa kwenda mbele.
 
Nimekaa sana soko Matola, kuna misikiti mitatu tu, upo ule wa Barabara ya Pili, aliokuwa anaswali Mzee Mwampyate, upo wa Barabara ya Nne na upo wa Barabara ya Nane kama unaenda kwa Mwalalika.
Huo wa nne unaouongelea ni upi?
Usije ukasema Olofea nao ni msikiti

Bubuji respect, we kweli m-mbeya(mtu wa mbeya)! Nakumbuka zamaaani sehem paitwa uwanja ngoma
 
Ndo maana wachina wanaipenda Mbeya,manaake wao wakifika wanabeba maburungutu na kuweka kwenye gari kwanza,halafu wanarejea kuanza kula.Kule kitimoto wanapiga misele mitaani,kama unavyoona kuku mikoa ya Pwani.
Kwahiyo,kuona kitimoto ni kuondoa swaumu?Mi nna wasiwasi waislamu wa kule wote hawana swaumu.
 
Usinikumbushe Kiwira, wale wasomali wa Kiwira wanakula nguruwe utadhani hawana akili timamu
 
Back
Top Bottom