Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,677
- Thread starter
- #41
swaumu oyeeeeeeeTupo kwenye mfungo usituharibie swaumu yetu
swaumu oyeeeeeeeTupo kwenye mfungo usituharibie swaumu yetu
Ndugu yangu kama kuongelea kitu usichokijua ni shaba basi kukaa kimya dhahabu Uswahilini matola kuna misikiti si chini ya minne kwa taarifa yako! na mingine ni mikongwe haikuanza jana wala leo.PJ,picha imepigwa Mbeya,hakuna waislam kule.Wapo wachache sana kule juu Uswahilini Matola...Ndio,kuna msikiti mmoja pia huku chini karibu na Mafiati,nilikuwa nawaona wazee wanne tu wanaingia pale,halafu ukikunja kona mita ishirini tu hapo wametundikwa shwaini na watu wanakula ulanzi na kuna kitu inaitwa Kadansana,inatoka Malawi,hiyo machozi ya simba cha mtoto.
kuna haja ya kuanzisha chama cha kukutea wanyama
Acha uongo wewe Uswahilini Matola nimeishi pale kuna Misikiti mi4 na Kanisa moja la Moravian sasa unaposema kuna msikiti mmoja unamaanisha nin?[/QUOT
Kweli kabisa ni uongo mtupu anaosema Sokomatola asilimia kubwa ni waislam na eneo lenyewe lina misikiti mingi kuliko makanisa na bahati mbaya haijuwi kabisa sokomatola ya akina mzee Kaparata.
Ndugu yangu kama kuongelea kitu usichokijua ni shaba basi kukaa kimya dhahabu Uswahilini matola kuna misikiti si chini ya minne kwa taarifa yako! na mingine ni mikongwe haikuanza jana wala leo.
Ndugu yangu kama kuongelea kitu usichokijua ni shaba basi kukaa kimya dhahabu Uswahilini matola kuna misikiti si chini ya minne kwa taarifa yako! na mingine ni mikongwe haikuanza jana wala leo.
Misikiti yote uliyotaja sahihi isipokuwa umesahau pia karibu na Olefea kwenye kona kuna msikiti siku hizi.Zamani haukuwa msikiti ila siku hizi ni msikiti umebadilishwa.Nimekaa sana soko Matola, kuna misikiti mitatu tu, upo ule wa Barabara ya Pili, aliokuwa anaswali Mzee Mwampyate, upo wa Barabara ya Nne na upo wa Barabara ya Nane kama unaenda kwa Mwalalika.
Huo wa nne unaouongelea ni upi?
Usije ukasema Olofea nao ni msikiti