mtetezi wa wanyonge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Mtetezi wa Wanyonye adaiwa kupewa sumu

    Nimepokea taarifa kuwa kuna njama za kumdhuru kwa kumuwekea sumu kwenye chakula Mtetezi wa Wanyonge, Mwenyezi Mungu ni mwemba amnusuru. Kwa sasa siwezi kuthibitisha kwa undani kilichotokea, lakini naamini ukweli utajulikana. Kasi yake ya kukubalika kila Kona ya nchi imewatisha, wananchi wote...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kupata Msimbo kutoka NACTE ili kusajiliwa chuoni, tusaidieni jinsi ya kutatua changamoto kama hii

    TATIZO LA WANAFUNZI WA DIPLOMA WALIOENDA KULIPOTI MWAKA WA KWANZA LAKINI WAKAPATA CHANGAMOTO YA KUPATA MSIMBO ILI KUSAJILIWA CHUONI MNATUSAIDIAJE WAKUBWA ZETU
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wanyonge aliokuwa anawasema Hayati Magufuli kwamba anawatetea ni wa wapi?

    Hata retention fee tu bodi ya mikopo hakuiondo imekuja kuondolewa na Samia. Zaidi sana aliongeza makato kutoka asilimi 5 mpaka asilimia 15. Ajira hakuzipa kipaumbele kabisa zaidi sana hata chache zilizomuwepo alizimaliza kwa kuwakimbiza wawekezaji sector binafsi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa mtetezi wa wanyonge kweli au alikuwa na lengo la kuwafanya watanzania wote wawe wanyonge?

    Ni kipindi chake ndo machinga(wanyonge) walikuwa wengi na wanaongezeka daily na hakuna mpango mkakati wowote wa kuwapunguza kwa kupanua sector binafsi mana serikali ilikataa kabisa kuajiri kisa Barbara. Sector binafsi ilikufa kabisa au iikuwa inapumulia mashine kiasi ambacho wote waliokuwa...
  5. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Kwa matukio haya sioni uzalendo na utetezi wa wanyonge wa hayati. Dkt. Magufuli

    Najua nitatukana na machawa ya mwendazake lakini ukweli lazima usemwe Je, uzalendo na utetezi kwa wanyonge aliojiita mwendazake upo wapi kama haya aliweza kuwatendea hao hao wanyonge? 1. Kuwadanganya kuwa tutalipwa kodi ya tril. 360 za Barrick kumbe ni kanyaboya? 2. Fedha za plea bargain...
Back
Top Bottom