killer whale
Member
- Nov 9, 2017
- 60
- 19
- Thread starter
- #41
Nashkuru ndugu acha niangalie uwezekanoBro ushapoteza mda mwingi kitaa.... Kua makini usipoteze mda wako tena... Nenda chuo directly....kwa mda uliokaa kitaa I hope umejifunza mengi sana.... Maisha sikuhzi makapuku hatuangalii unapendelea nn bali we focus on what the market wants... Nikimaanisha hitaji letu kubwa n ajira na sio fani tulizoota tangi zamani
Cha msingi nenda Veta,D.I.T au vyuo vvya afya kasome achana na huo mpango wa kurisiti utajutia pesa na muda wakoo....
All the best...