Kwa matokeo haya nitaweza kusoma PGM kama private candidate?

killer whale

Member
Nov 9, 2017
60
19
Habari za muda huu waungwana!..

Nimemalza kidat cha 4 mwaka 2010 na kupata ufaulu huu

div 3 pt22
Phy=>C
Bios=>C
Chem=>C
Math=>D
Geog=>D.. nk. kiufupi hakuna somo nlilopata F

Nilichaguliwa Tambaza ktk tahasusi ya PCB lakini nilipofika kidato cha 6 nilipata matatizo ya macho na kichwa na kushindwa kufanya mtihani, niliacha shule bila kutoa taarifa shuleni na nlikaa huku nkifanya shughul zang bnafs Tangu mwak 2013 na sasa nataka kufanya mtihan mwak 2019 km private candidate, sasa hivi nina miaka 28.

Nataman kusoma PGM coz tangu O level nilikuwa na uwezo katika math na geog ila sikuweka sana mkazo huko kwakuwa nilitaka kusoma PCB ila kwa sasa nataka kuepuka manotes mengi ya chem na bioz na practical zake, ndio maana nime-aim kusoma PGM, kama itawezekana kusoma PGM kwa matokeo hayo ya O level, ni hatua gani nipitie ili niwe mtahiniwa halali wa kujitegemea hapo mwaka 2019??
 
Habari za muda huu waungwana!..

Nimemalza kidat cha 4 mwak2010 na kupata ufaulu huu

div 3 pt22
Phy=>C
Bios=>C
Chem=>C
Math=>D
Geog=>D.. nk. kiufupi hakuna somo nlilopata F
nlichaguliwa Tambaza ktk tahasusi ya PCB lkn nlipofika kdto cha 6 nlipata matatzo ya macho na kichwa na kushindwa kufanya mtihan,nliacha shule bila kutoa taarifa shuleni,na nlikaa huku nkifanya shughul zang bnafs Tangu mwak 2013 na sasa nataka kufanya mtihan mwak 2019 km private candidate,saiv nna miaka 28 .nataman kusoma PGM coz tang o level nlikuwa na uwezo ktk math na geog ila ckuweka sana mkazo huko kwakuwa nlitaka kusoma PCB ila kwa sasa nataka kuepuka manotes mengi ya chem na bioz na practical zake,ndiomaana nme aim kusoma PGM,km itawezekana kusoma PGM kwa matokeoa hayo ya o level,ni hatu gani nipitie ili niwe mtahiniwa halal wa kujitegemea hapo mwak 2019??
Mkuu unaweza kusoma kabisa ondoa shaka pia nikutakie kila la heriii
 
Unaweza kijana, cha msingi juhudi tu.
Hakuna linalo shindikana.
Mhimu ujue unataka nini! Ni mambo rahisi sana hayo.
Kila la kheri
 
97b1530a752e15bf67431d95d46edf19.jpg

Nmeoa mwaka jana mwez wa 8 mpk sasa nna miez 5 na nusu hivi..
We jamaa hapa sio facebook, picha ya nini sasa! Utajiletea matatizo, ohoo
 
Nikipata uhakika nitarejea hapa, kuna dogo yamemkuta hayo anataka kuwa PC, endapo nikizungumza naye ntakuambia.

Kwanini hujawaza kusoma chuo!!? Au salio ni tatizo, umri nao si haba huo
Salio haliruhusu mkuu,mwak 2015 nlienda kusoma pre entry pale DIT lkn ishu ya ada ikanitoa nje ya kamba
 
Habari za muda huu waungwana!..

Nimemalza kidat cha 4 mwaka 2010 na kupata ufaulu huu

div 3 pt22
Phy=>C
Bios=>C
Chem=>C
Math=>D
Geog=>D.. nk. kiufupi hakuna somo nlilopata F

Nilichaguliwa Tambaza ktk tahasusi ya PCB lakini nilipofika kidato cha 6 nilipata matatizo ya macho na kichwa na kushindwa kufanya mtihani, niliacha shule bila kutoa taarifa shuleni na nlikaa huku nkifanya shughul zang bnafs Tangu mwak 2013 na sasa nataka kufanya mtihan mwak 2019 km private candidate, sasa hivi nina miaka 28.

Nataman kusoma PGM coz tangu O level nilikuwa na uwezo katika math na geog ila sikuweka sana mkazo huko kwakuwa nilitaka kusoma PCB ila kwa sasa nataka kuepuka manotes mengi ya chem na bioz na practical zake, ndio maana nime-aim kusoma PGM, kama itawezekana kusoma PGM kwa matokeo hayo ya O level, ni hatua gani nipitie ili niwe mtahiniwa halali wa kujitegemea hapo mwaka 2019??
Unaweza kabisa na pengine ni kipanga mtarajiwa.
 
Back
Top Bottom