Kwa matokeo haya nitaweza kusoma PGM kama private candidate?

Bro ushapoteza mda mwingi kitaa.... Kua makini usipoteze mda wako tena... Nenda chuo directly....kwa mda uliokaa kitaa I hope umejifunza mengi sana.... Maisha sikuhzi makapuku hatuangalii unapendelea nn bali we focus on what the market wants... Nikimaanisha hitaji letu kubwa n ajira na sio fani tulizoota tangi zamani

Cha msingi nenda Veta,D.I.T au vyuo vvya afya kasome achana na huo mpango wa kurisiti utajutia pesa na muda wakoo....

All the best...
Nashkuru ndugu acha niangalie uwezekano
 
Kwa mtazamo wangu chuo ndio the best option kwako kwa muda huu!!
Ila...
Kama lengo ni hili hapo una option mbili ila kwa sababu umesema DIT ni ghali basi komaa na pgm au egm!! Lazima ujue hamna kombi rahisi wala ngumu... Ni wewe mwenyewe utavyojipanga!! Na pia ujue risk iliyoko kwa private candidates!!

Pia unasema tatizo ni ela ila jua ukimaliza form6 degree ukabaniwa mkopo... Hapo napo itakuaje?? Maana sasa hivi mikopo ya chuo haina guarantee kama enzi zetu!!

Weka nia utafanikiwa mkuu...

Kila la heri!!
Nashkuru kwa kunionyesha njia mkuu
 
Mpk mwez may mwak huu naturn 28yrs
kama utakuwa haujafikisha 30yrs wakati wa kuomba mkopo hapo sawa ila unatakiwa usijiwekee 100% kuwa lazma upate mkopo maana kwa awamu hii ya JPM mikopo ya elimu ya juu imekuwa kama bahati nasibu
nakutakia kila la heri
 
Nenda tu shule iliyokaribu nawe utapewa maekekezo, no simple tu
 
Nakushauri uachane na A level, haina faida. Kama kuna taaluma unaipenda, anza nayo kwa diploma (NTA 6 katika mfumo wa NACTE) kisha utaendelea na degree hadi hatua unayotaka.
 
Habari za muda huu waungwana!..

Nimemalza kidat cha 4 mwaka 2010 na kupata ufaulu huu

div 3 pt22
Phy=>C
Bios=>C
Chem=>C
Math=>D
Geog=>D.. nk. kiufupi hakuna somo nlilopata F

Nilichaguliwa Tambaza ktk tahasusi ya PCB lakini nilipofika kidato cha 6 nilipata matatizo ya macho na kichwa na kushindwa kufanya mtihani, niliacha shule bila kutoa taarifa shuleni na nlikaa huku nkifanya shughul zang bnafs Tangu mwak 2013 na sasa nataka kufanya mtihan mwak 2019 km private candidate, sasa hivi nina miaka 28.

Nataman kusoma PGM coz tangu O level nilikuwa na uwezo katika math na geog ila sikuweka sana mkazo huko kwakuwa nilitaka kusoma PCB ila kwa sasa nataka kuepuka manotes mengi ya chem na bioz na practical zake, ndio maana nime-aim kusoma PGM, kama itawezekana kusoma PGM kwa matokeo hayo ya O level, ni hatua gani nipitie ili niwe mtahiniwa halali wa kujitegemea hapo mwaka 2019??

Sikushauri kusoma private candidate masomo ya sayansi kwa advance
Kama vipi soma
EGM au HGE kama unapenda hesabu
Vingenevyo pigs arts pure
HkL,HGK,HGL etc
Nilisoma PGM advance Tosamaganga japo lengo la kwenda chuo lilitimia ila muziki niliuona PGM ni combination ambayo masomo yake hayana ushirikiano bora PCM kwa school candidate ila si private candidate
By the way kipendacho roho ULA nyama mbichi
Kila lakheri mkui
 
Nmejifunza kitu, shukran ndugu
 
Kwa matokeo yako unaweza kwenda diploma ukasoma course za afya ambazo una utakua na uhakika wa ajira kidogo na utaweza kuja kujiendeleza uko mbeleni kuliko kwenda kupoteza mda tena advance.

Kama bado umeshikilia msimamo wako wa kufanya mtihani wa Advance, tafuta center ya kufanyia mtihani karibu na unapoishi. Ukimaliza kujiandikisha, wataonana na wewe siku ya mtihani. Kusoma itakua juu yako.
 
No,hapa ntakachofanya ni kusoma tuition tu ambazo naziamin na kununua vitab,tayr nnyo nelkon hapa, ntatafuta chand na vitab vngne km review nk alaf ntalipia kituo cha kufanyia mtihan,na hatimae ntafanya mtihan,lkn simaanishi kuwa ntasoma shule A level huku nmeva uniform, na kuhus chuo nahis nahis naweza pata mkopo. Wa kozi ntakayochagua either, civil,electrical, mecha su automobile.

Usiwe na matumaini ya mkopo sana, uyu mzee anaweza kukuacha mdomo wazi ukabaki nyumbani tena. Tena mpaka uingie chuo utakua umefikisha miaka 30, sidhani kama utakua kwenye range ya kupewa mkopo.
 
Hiki kitu nilikua nahofia pia... Ndio maana nikamshauri asome diploma!! Hii nchi haina uhakika sasa hivi...
 
Kwa matokeo yako unaweza kwenda diploma ukasoma course za afya ambazo una utakua na uhakika wa ajira kidogo na utaweza kuja kujiendeleza uko mbeleni kuliko kwenda kupoteza mda tena advance.

Kama bado umeshikilia msimamo wako wa kufanya mtihani wa Advance, tafuta center ya kufanyia mtihani karibu na unapoishi. Ukimaliza kujiandikisha, wataonana na wewe siku ya mtihani. Kusoma itakua juu yako.
Aisee,acha niangalie uwezekano wa kwenda diploma
 
Habari za muda huu waungwana!..

Nimemalza kidat cha 4 mwaka 2010 na kupata ufaulu huu

div 3 pt22
Phy=>C
Bios=>C
Chem=>C
Math=>D
Geog=>D.. nk. kiufupi hakuna somo nlilopata F

Nilichaguliwa Tambaza ktk tahasusi ya PCB lakini nilipofika kidato cha 6 nilipata matatizo ya macho na kichwa na kushindwa kufanya mtihani, niliacha shule bila kutoa taarifa shuleni na nlikaa huku nkifanya shughul zang bnafs Tangu mwak 2013 na sasa nataka kufanya mtihan mwak 2019 km private candidate, sasa hivi nina miaka 28.

Nataman kusoma PGM coz tangu O level nilikuwa na uwezo katika math na geog ila sikuweka sana mkazo huko kwakuwa nilitaka kusoma PCB ila kwa sasa nataka kuepuka manotes mengi ya chem na bioz na practical zake, ndio maana nime-aim kusoma PGM, kama itawezekana kusoma PGM kwa matokeo hayo ya O level, ni hatua gani nipitie ili niwe mtahiniwa halali wa kujitegemea hapo mwaka 2019??
Combination inatakiwa iwe na CCC kwenda juu au Atleast CCD. NDIO MAMBO YA SIKUIZI
 
Kwamaksi zako naushindan wa mwaka huu huwezi
 
Geog ina notes nying kuliko chemistry kwani yapo mambo ambayo unaitaji kujua formula na concept kwenye chemistry eg general or physical chemistry
Lakini sikushauri uchague combination kwa kuangalia kiasi cha notes bali kwa kuangalia future yako, maono yako
(Uwezo wa kuajiriwa na kujiajiri)
 
Yap hapa dar ipo dit lkn tatzo hela mkuu,.. Nmekataa PCM kwakuwa Chem ina notes nying,haswa organic na inorganic, pili nmetaka kupunguza mzigo wa mitihani chem ina paper1 na 2 na prac phys ina paper 1na 2 na prac math ina paper 1na 2..nkisoma PGM nakutana na prac ktk physics tu,mana gharama ya kutafuta kituo cha kujifunza prac itapungua

Kuhus EGM nahis km haina future nzur,na ni vzur ukiisoma ukiwa shuleni, mana hiyo E nahis tuition zake ni chache na haina wanafunz weng wa kudiscuss nao
Egm haina future ??????????
 
Back
Top Bottom