Ni mimi mkuu, mambo vipi?
majukumu pasipo jf mambo hayataendamajukumu tu kaka ila nipo
majukumu pasipo jf mambo hayataenda
nikitaka kujua dunia inaendaje kwa haraka napija jf then najua nini kinaendelea duniani.kweli englibertm na hii sehemu ya maisha ya ki-jf naikumbuka sana, naona jukwaa lako limevamiwa
wish you all the bestnikweli, hakuna habari yoyote utakayoikosa jf tena kwa mda husika
utafiti siku hizi kuna MCHUNGUZI HURU ni jirani yako?