Fallacy..Just because event A occurred before event B. It doesn't imply that event A influenced event B..."Kumbe sometime Rais Magufuli anatusikiliza hapa jamii forum"
Asante kwa mchango wako mzur mkuu, ingependeza zaidi kuanza na Cheo kisha jina.
NEver theles they guy had the same opinion,its a brilliant idea thenFallacy..Just because event A occurred before event B. It doesn't imply that event A influenced event B...
Kuna faida pia we uoni Kenya wamefanikiwa kuwadhibiti alshab sasa hivi biashara na somalia imerudiKupeleka wanajeshi wengi Kongo ni kutaka Kabila aendelee kuyatumia majeshi yetu kubaka demokrasia; mimi skubali.
Hadithi ya Kenya ni tofauti. Al Shabaab wamekuwa wakifanya vitendo vya kigaidi Kenya hata kabla ya kupeleka majeshi. Pia Somalia ni nchi iliyoparaganyika kiasi cha kuhitaji stability. Kongo ni moja isipokuwa Rais Kabila ni aina ya ving'ang'anizi vya madaraka, na kwa hali hiyo ni heri kukosa faida za kiuchumi kwa kuitetea demokrasia kuliko kuyaingiza majeshi yetu kuutetea udikteta.Kuna faida pia we uoni Kenya wamefanikiwa kuwadhibiti alshab sasa hivi biashara na somalia imerudi
Uko sawa KabisaMimi ombi langu kwake ni moja tu naomba apitishe katiba yetu ambayo ilipigiwa kura na sisi wananchi (KATIBA YA WARIOBA) Akifanikiwa hili basi nitaamini JF pia tunasikilizwa.
HatuitakiMimi ombi langu kwake ni moja tu naomba apitishe katiba yetu ambayo ilipigiwa kura na sisi wananchi (KATIBA YA WARIOBA) Akifanikiwa hili basi nitaamini JF pia tunasikilizwa.
Haaah nikupe tu ushauri kazi some nchi zote ambazo us aliziingila kijeshi alitaka nini?Hadithi ya Kenya ni tofauti. Al Shabaab wamekuwa wakifanya vitendo vya kigaidi Kenya hata kabla ya kupeleka majeshi. Pia Somalia ni nchi iliyoparaganyika kiasi cha kuhitaji stability. Kongo ni moja isipokuwa Rais Kabila ni aina ya ving'ang'anizi vya madaraka, na kwa hali hiyo ni heri kukosa faida za kiuchumi kwa kuitetea demokrasia kuliko kuyaingiza majeshi yetu kuutetea udikteta.
Unamzungumzia KABILA huyu huyu "BINGWA" wa demokrasia!?Kumbe sometimes Rais Magufuli anatusikiliza hapa JamiiForums?
1: Nilishauri tusimpoteze Kabila kwa sababu ya Kagame mwezi wa 9 (Kwanini tunampoteza Kabila Kwa sababu ya Kagame?). Sasa Kabila tayari ameingia nchini kwa mazungumzo.
Naomba pia mazungumzo yake na Rais Magufuli yazingatie yafuatayo
A: Kuongeza wanajeshi wetu Congo ili kupambana na waasi Wa FDC wanaosemekana wanafadhiliwa na Rwanda ili tusambalatishe wahujumu uchumi wetu .
B: Kurudisha wafanyabiashara waliokuwa wameama bandari yetu na kwenda Beira Msumbiji.
C: Kujenga Reli moja kwa moja mpaka DRC
D: Kushawishi aimarishe ulinzi kwa wafanya biashara wanasafirisha mizigo kwa malori kwenda DRC.
Bado naamini Kabila ni muhimu kuliko Kagame..
Kumbe sometimes Rais Magufuli anatusikiliza hapa JamiiForums?

Sababu kuu ni kuwa na wanajeshi wetu Congo yanayowapiga waasi wanafadhiliwa na Rwanda wakati huo huo tunajifanya marafiki wa RwandaNi sababu zipi zilikufanya wewe Uamini kuwa Congo iliutilia mashaka uhusiano wa Tz na Rwanda?
Hatukuwahi kuwa na uhusiano mbaya na Congo, wote tunafahamu matatizo yaliyokuwepo ktk bandari yetu na ndio yalikuwa sababu kubwa ya kupungua kwa mizigo kutoka mataifa yanayotumia bandari hii ikiwemo Congo.
Japokuwa Jk alishawahi kuhitilafiana na Kagame, lkn uhusiano wao uliimarika tena kabla hata Jk hajaondoka madarakani, nakumbuka Kagame alikuja Tz, alitembelea bandari yetu na kumuahidi Jk kuendelea kutumia bandari yetu, na wakati huo Congo ilikuwa ikiendelea kutumia bandari yetu.
Hivyo siamini kama urafiki wa Kagame na Jpm uliathili uhusiano wetu wa kibiashara na Congo, bali ni matatizo yaliyokuwepo ktk bandari yetu.
Tanzania na DRC wanapakana majini tu. Reli itapita wapi?Kumbe sometimes Rais Magufuli anatusikiliza hapa JamiiForums?
1: Nilishauri tusimpoteze Kabila kwa sababu ya Kagame mwezi wa 9 (Kwanini tunampoteza Kabila Kwa sababu ya Kagame?). Sasa Kabila tayari ameingia nchini kwa mazungumzo.
Naomba pia mazungumzo yake na Rais Magufuli yazingatie yafuatayo
A: Kuongeza wanajeshi wetu Congo ili kupambana na waasi Wa FDC wanaosemekana wanafadhiliwa na Rwanda ili tusambalatishe wahujumu uchumi wetu .
B: Kurudisha wafanyabiashara waliokuwa wameama bandari yetu na kwenda Beira Msumbiji.
C: Kujenga Reli moja kwa moja mpaka DRC
D: Kushawishi aimarishe ulinzi kwa wafanya biashara wanasafirisha mizigo kwa malori kwenda DRC.
Bado naamini Kabila ni muhimu kuliko Kagame..
Kuna haja ya watanzania kuanza kuwaombea watu aina yako.!Kabila kaja kuomba sapoti baada ya kuahirisha uchaguzi mkuu kwa mabavu ili aendelee kutawala kwa miaka miwili zaidi, hana chochote, mroho wa madaraka tu!
Bingwa wa democrasia ndio nini ......Unamzungumzia KABILA huyu huyu "BINGWA" wa demokrasia!?
Kumbe sometimes Rais Magufuli anatusikiliza hapa JamiiForums?
1: Nilishauri tusimpoteze Kabila kwa sababu ya Kagame mwezi wa 9 (Kwanini tunampoteza Kabila Kwa sababu ya Kagame?). Sasa Kabila tayari ameingia nchini kwa mazungumzo.
Naomba pia mazungumzo yake na Rais Magufuli yazingatie yafuatayo
A: Kuongeza wanajeshi wetu Congo ili kupambana na waasi Wa FDC wanaosemekana wanafadhiliwa na Rwanda ili tusambalatishe wahujumu uchumi wetu .
B: Kurudisha wafanyabiashara waliokuwa wameama bandari yetu na kwenda Beira Msumbiji.
C: Kujenga Reli moja kwa moja mpaka DRC
D: Kushawishi aimarishe ulinzi kwa wafanya biashara wanasafirisha mizigo kwa malori kwenda DRC.
Bado naamini Kabila ni muhimu kuliko Kagame..
Aende nao wote Kagame na Kabila taratibu wote ni wateja wetu wazuri.Kumbe sometimes Rais Magufuli anatusikiliza hapa JamiiForums?