Kwa Mara ya kwanza ushauri wangu umezingatiwa na Rais

hata mie nashkuru mueshimiwa kasikiliza ushauri wangu,nilishauri anunue boeng 787 yeye kanunua zaidi ya boeng,kaniletea bombaedier Q400.huyu ndo kiongozi anayesikiliza ushauri wa wananchi wake
 
Akili ndogo bwana! Wkt Magufuli anatinga magogoni Tanzania ilikuwa na Uhasama na Rwanda, uhusiano wa Tanzania na DRC ulikuwa poa. Hivyo busara ilikuwa kuweka mambo sawa na ambaye hamuelewani, DRC hawawez kuichagulia TZ nani rafiki na nani asiwe! Tz ndo inahaki ya kuchagua marafiki wake, magufuli angependa wote wawili waendelee kuwa marafiki ndio maana hadi Leo wajeda wapo DRC pamoja na kwamba magufuli anaonekana kuwa mshikaji wa Paulo! Nyumbu buana!
Nje ya hoja tunazungumzia ushauri wa mtoa hoja kwa magu. Nyie ni wale wale
 
Kumbe sometime Magufuli anatusikiliza hapa jamii forum?

1: Nilishauri tusimpoteze kabila kwa sababu ya kagame mwezi wa 9 sasa kabila tayari ameingia nchini kwa mazungumzo.

Naomba pia mazungumzo yake na Rais magufuli yazingatie yafuatayo

A: Kuongeza wanajeshi wetu Congo ili kupambana na waasi Wa FDC wanaosemekana wanafadhiliwa na Rwanda ili tusambalatishe wahujumu uchumi wetu .

B: Kurudisha wafanyabiashara waliokuwa wameama bandari yetu na kwenda Beira msumbiji.

C: Kujenga Reli moja kwa moja mpaka DRC

D: Kushawishi aimarishe ulinzi kwa wafanya biashara wanasafirisha mizigo kwa malori kwenda DRC.

Bado naamini Kabila ni muhimu kuliko Kagame..
Mkuu kumbe na wewe ni hatari umetoa ushauri mpaka Magufuli amekubali ushauri wako hiyo siyo kazi rahisi.
 
Wacongo ni wamuhimu kwetu kwenye maswala ya biashara
 
Kabila kaja kuomba sapoti baada ya kuahirisha uchaguzi mkuu kwa mabavu ili aendelee kutawala kwa miaka miwili zaidi, hana chochote, mroho wa madaraka tu!
 
Kumbe sometime Magufuli anatusikiliza hapa jamii forum?

1: Nilishauri tusimpoteze kabila kwa sababu ya kagame mwezi wa 9 sasa kabila tayari ameingia nchini kwa mazungumzo.

Naomba pia mazungumzo yake na Rais magufuli yazingatie yafuatayo

A: Kuongeza wanajeshi wetu Congo ili kupambana na waasi Wa FDC wanaosemekana wanafadhiliwa na Rwanda ili tusambalatishe wahujumu uchumi wetu .

B: Kurudisha wafanyabiashara waliokuwa wameama bandari yetu na kwenda Beira msumbiji.

C: Kujenga Reli moja kwa moja mpaka DRC

D: Kushawishi aimarishe ulinzi kwa wafanya biashara wanasafirisha mizigo kwa malori kwenda DRC.

Bado naamini Kabila ni muhimu kuliko Kagame..
AMEKUJA KUDAI MAGARI YAKE YA KUWASHAWASHA SI MLIMDANGANYA MTAMLIPA BAADA YA UCHAGUZI AKIONDOKA BILA YA HAYO MAWASHAWASHA NAJITOA JF
 
mkuu naona unafanya speculation. Mtu yoyote mjuzi wa mambo angeweza gusia maeneo hayo ambayo wewe umejiwahi as if wengine hawawezi yasema. Hongera kwa kutangulia kusema
 
Tunataka Wacongo warudi kutumia bandari yetu,mizigo ni michache Sana
 
Kumbe sometime Rais Magufuli anatusikiliza hapa jamii forum?

1: Nilishauri tusimpoteze kabila kwa sababu ya kagame mwezi wa 9 sasa kabila tayari ameingia nchini kwa mazungumzo.

Naomba pia mazungumzo yake na Rais magufuli yazingatie yafuatayo

A: Kuongeza wanajeshi wetu Congo ili kupambana na waasi Wa FDC wanaosemekana wanafadhiliwa na Rwanda ili tusambalatishe wahujumu uchumi wetu .

B: Kurudisha wafanyabiashara waliokuwa wameama bandari yetu na kwenda Beira msumbiji.

C: Kujenga Reli moja kwa moja mpaka DRC

D: Kushawishi aimarishe ulinzi kwa wafanya biashara wanasafirisha mizigo kwa malori kwenda DRC.

Bado naamini Kabila ni muhimu kuliko Kagame..
population ya Congo ni kubwa Sana na ni fursa kwetu. Ile reli ya standard gauge ingeelekezwa Congo kwanza then Rwanda bdae. Sina iman kabsa na Kagame Kwenye maslahi mapana ya taifa langu pendwa Tanzania.
 
Tunataka Wacongo warudi kutumia bandari yetu,mizigo ni michache Sana
NA UKIONA MAMA JANETH ANAPIGA MAWAX SIO KHANGA ZA KTM LIPIA TINNUMBER YA KAMPUNI YAKO HALAFU ANZA KUZUNGUKAZUNGUKA LONGROOM UPATE MIZIGO YA CLEARANCE
 
Back
Top Bottom