Kwa Mara ya kwanza ushauri wangu umezingatiwa na Rais

Kwa Mara ya kwanza ushauri wangu umezingatiwa na Rais

Sasa kama Kabila ndiye aliyekuja nchini, na wala si JPM aliyeenda DRC, iweje useme kauli yako imesikilizwa na JPM?
Then kati ya population 20M ya watu wazima anataka yeye tu asikilizwe wengine wakisikilizwa ananuna!
 
"Kumbe sometime Rais Magufuli anatusikiliza hapa jamii forum"

Asante kwa mchango wako mzur mkuu, ingependeza zaidi kuanza na Cheo kisha jina.
Jina likishakuwa maarufu sana, likitajwa tu, lenyewe linakuwa ni wadhifa, kama vile ukisema 'Obama' bila kuweka kielelezo chochote, katika mazingira yetu, moja kwa moja mtu anajua ni Rais wa Marekani! Ni kawaida sana.
 
mkuu naona unafanya speculation. Mtu yoyote mjuzi wa mambo angeweza gusia maeneo hayo ambayo wewe umejiwahi as if wengine hawawezi yasema. Hongera kwa kutangulia kusema
Haaaaah nilifanya hivyo kabla!!
 
KWANINI AKUSIKILIZE WEWE?? HARAFU KWANINI UNATOA PONGEZI WAKATI SERA YA CHADEMA NIKUHAKIKISHA MH RAIS ANASHINDWA ILI TUPATE AGENDA..HII HALI YA WEWE MWANACHADEMA MWENZANGU KUANZA KUPONGEZA HAIKUBALIKI KWANI HAIENDANI NA FALSAFA YETU. WEWE HUONI TUMEIOMBA MAREKANI NA JUMUIYA YA ULAYA IKATE MISAADA...HALAFU WEWE UNAPONGEZA MH RAIS KUKUSIKILIZA.
Kwani simu yako au computer yako haina herufi ndogo.. Hata Ukiandika kwa herufi ndogo ujumbe utafika....
 
Ila Kagame kiboko!
Ile mnamaliza tu kutekeleza ushauri wake yeye anashusha Boeing!!'

Sijui JPM anataka kumbadilishia kibao akawafurushe waasi kule kongo!!?

Magu kauzu naye!!
 
Hakuna asiye na umuhimu kwetu. Kagame ni kisima cha mipango na ana akili. Huu ubaguzi mimi sipendi kusikia.
 
Kumbe ndio ulimshauri rais hivyo
Mshauri na mengine basi
 
Mimi ombi langu kwake ni moja tu naomba apitishe katiba yetu ambayo ilipigiwa kura na sisi wananchi (KATIBA YA WARIOBA) Akifanikiwa hili basi nitaamini JF pia tunasikilizwa.


Unaweza kukata tawi ulilokalia mwenyewe!? Natamani kuona umahiri wa ukaaji juu ya huo mti
 
N
Mimi ombi langu kwake ni moja tu naomba apitishe katiba yetu ambayo ilipigiwa kura na sisi wananchi (KATIBA YA WARIOBA) Akifanikiwa hili basi nitaamini JF pia tunasikilizwa.
non sense, yaani badala ya kushauri una shinikiza.
 
Kila mtu/nchi ina umuhimu katika dunia hii ina umuhimu ila tu viwango vinatofautiana. Labda awe anayesababisha hasara tu.
 
Nyie si ndio wale wale wa kitengo mnakuja humu kutudanganya...... Tulopoke?
 
Niliumia sana kuona Mh. Rasisi anakopa mabilioni ya dolari ili kujenga reli inayoishia mpakani mwa raia wachache (ambao kwa bahati mbaya zaidi) hawana uchumi na wafanyabiashara imara kama wa DRC
 
Back
Top Bottom