MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,182
Unajuaje kama Kabila kaja kuzungumzia masuala ya kiuchumi..?? Ukizingatia ni juzi au jana tume ya Uchaguzi ya DRC imeahirisha Uchaguzi wa kwa miaka 2 .. Uchaguzi wao ni mpaka mwishoni mwa 2018...
Mbakaji mkubwa wa Demokrasia!!!!
Mbakaji mkubwa wa Demokrasia!!!!