technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,702
- 58,771
Kumbe sometimes Rais Magufuli anatusikiliza hapa JamiiForums?
1: Nilishauri tusimpoteze Kabila kwa sababu ya Kagame mwezi wa 9 (Kwanini tunampoteza Kabila Kwa sababu ya Kagame?). Sasa Kabila tayari ameingia nchini kwa mazungumzo.
Naomba pia mazungumzo yake na Rais Magufuli yazingatie yafuatayo
A: Kuongeza wanajeshi wetu Congo ili kupambana na waasi Wa FDC wanaosemekana wanafadhiliwa na Rwanda ili tusambalatishe wahujumu uchumi wetu .
B: Kurudisha wafanyabiashara waliokuwa wameama bandari yetu na kwenda Beira Msumbiji.
C: Kujenga Reli moja kwa moja mpaka DRC
D: Kushawishi aimarishe ulinzi kwa wafanya biashara wanasafirisha mizigo kwa malori kwenda DRC.
Bado naamini Kabila ni muhimu kuliko Kagame..