Kwa mara ya kwanza Tsh Milioni 350 imeingia kwenye account

KKama
Wabarikiwe wazee waliojipinda kutafuta mali na kupiga kitabu kwa sana, leo hii wajukuu tunakula matunda yenu na sisi wajukuu tunapambana kwa jasho na damu kutafuta mali ili wajukuu zetu waje kula matunda ya Babu zao wasije kuishi kwa shida.

Poleni kwa wale ambao wazee/Babu zenu walikimbia shule ingawa walikuwa na utajiri wa ardhi mwenge, Oysterbay, Masaki ila waliendekeza ngono wakauza ardhi yote, wao wamekufa wajukuu mmeachiwa msala mnakula msoto na bahasha mkononi. Pole sana

Mjifunze muanze kupambana muwatengenezee njia wajukuu wenu
Kama kijana tunakitu chakijifunzaa kwa huyu mleta mada maana maisha yako ya sasa ndio yanaamuza kizazi kijacho chako kiishije...

Hongera na kwa niaba ya wazee wako
 
Oyaa wakuu acheni wivuu,,,Haijalishi jamaa hiyo pesa ni ya Urithi au kapewa,,kaiokota au kaiba ila ukweli unabaki pale pale kwamba jamaa ndio kashatusua hivyoo ,,

Tatizo mnataka kuleta theory zenu kwenye pesa za watu,,,mwacheni atambe zikiisha atarudi mwenyewe kuja kuleta uzi wa namna gani Alikiba aliimba vyema ule wimbo wa MACMUGA
 
Wewe nae kipa katoka
 
350m haufiki nayo hata miezi 6 wewe ,kuna watu tunawajua walishika fedha na wameporomoko!!
 
Wabarikiwe wazee waliojipinda kutafuta mali na kupiga kitabu kwa sana, leo hii wajukuu tunakula matunda yenu na sisi wajukuu tunapambana kwa jasho na damu kutafuta mali ili wajukuu zetu waje kula matunda ya Babu zao wasije kuishi kwa shida.

Poleni kwa wale ambao wazee/Babu zenu walikimbia shule ingawa walikuwa na utajiri wa ardhi mwenge, Oysterbay, Masaki ila waliendekeza ngono wakauza ardhi yote, wao wamekufa wajukuu mmeachiwa msala mnakula msoto na bahasha mkononi. Pole sana

Mjifunze muanze kupambana muwatengenezee njia wajukuu wenu
Mtoa mada naona ni mtunga mashairi ya taarabu.
Alf miaka yote hyo usikute alikua akilishwa na mwanamke na kuolewa juu🤣🤣🤣
 
Mleta mada kila la heri kwenye maisha yako ila acha ushamba nawe kula Mbususu + kilevi acha ufala.
 
Umetukana babu zetu!
G Lema hupenda kuonya kwa kusema,"tubu".
Ndugu hii forum ina member wengi sana,umetukana na kudhihaki watu wa kila rika humu;Ma Babu,ma bibi,watu wazima na vijana,
Ndugu hujachelewa tubu haraka kabla hujaharibikiwa.
 
Wabarikiwe wazee waliojipinda kutafuta mali na kupiga kitabu kwa sana, leo hii wajukuu tunakula matunda yenu na sisi wajukuu tunapambana kwa jasho na damu kutafuta mali ili wajukuu zetu waje kula matunda ya Babu zao wasije kuishi kwa shida.

Poleni kwa wale ambao wazee/Babu zenu walikimbia shule ingawa walikuwa na utajiri wa ardhi mwenge, Oysterbay, Masaki ila waliendekeza ngono wakauza ardhi yote, wao wamekufa wajukuu mmeachiwa msala mnakula msoto na bahasha mkononi. Pole sana

Mjifunze muanze kupambana muwatengenezee njia wajukuu wenu
Ugoro mtupu, uzi wa hovyo kuwahi kutokea JF!
 
Hapa anachozungumzia ni inshu ya wazee walionunua viwanja mwenge na oystebay mapema miaka hiyo mpaka sasa hivi wajukuu wanafaidi. Wewe pia unaweza kununua kiwanja kwa ajiri yako sasa hivi baadae wewe, watoto na wajukuu watafaidika. Nunua kiwanja Kibaha, Bagamoyo na Vikindu. Yaani maeneo ambayo yamepakana na Dar.

Haya hivi hapa viwanja tena ofa. 👇👇👇
UWEKEZAJI BORA NI KWENYE ARDHI.
Eneo lenye ukubwa wa heka 45 linauzwa eneo lipo mkoa wa pwani vigwaza visezi barabara ya kuelekea bandari kavu eneo ni zuli kwa kujenga yard gereji na Mambo mengine bei kwa kila heka moja mil 3 tu kutoka barabara ya zege miter 400 tu maji umeme vipo hapo

Eneo lingine lipo mkoa wa pwani pia maeneo ya chalinze heka 100 kila heka moja bei ni mil 1 eneo lipo umbali wa km 7

Na lipo lingine pingo chalinze km 2 bei mil 2 kwa kila heka zipo heka 10

Na lipo lingine heka 8 kila heka bei mil 1.5 umbali wa km 3 tu .

Pia tuna heka saba makurunge,bagamoyo,kila heka 3M.

Aridhi ni sehemu ya kuwekeza hasa kwa mkoa wa Pwani ,Morogoro road na Bagamoyo road .

Nipigie leo 0762815104
 
Nimeweka angalizo mpambanie kombe wajukuu/watoto wenu wasije kuteseka Kama mnavyoteseka nyinyi
Kuwa makini mwenzako huku January 2022, wameuza nyumba mgao 150m. haraka kanunua nyumba mbili, moja NI kubwa, nzuri na ina eneo kubwa Sana akanunua na gari jamaa kabla ya hapo alikuwa msukuma mkokotena hivi naaandika hadi December atakuwa karudi kwenye kazi yake ya asili, maana kauza ile nyumba nzuri kwa 40m chini ya Bei aliyonunulia, kauza gari na Sasa kaanza kuuza fanicha za ndani anadai "kimfaacho mtu chake" na mwisho usizuzuke na hiyo pesa ukadharau wenzio maana hujui tunaishije
 
Nilidhani utaonesha hizo mil 350 ama useme ulipozipata,, kumbe umekuja kutukana wazazi wetu????

We kweli hamnazo.... shukuru Mungu umezaliwa ulipozaliwa ila usitukane wazazi wa wenzako, maana hakuna aliyechagua pa kuzaliwa.
Umemaliza mzee atajirekebisha
 
Hizo sio pesa za kuvimba kijana kaa kwa kutulia. Ila naona ushapata na chawa kabisa wanatetea ujinga wako wa kufikirika. Smh..
 
Hongera kwa wazazi wako kutimiza jukumu lao kwa vizazi vijavyo.

Ila, Mambo ya kawaida hayo yasikufanye ukajinyanyua sana ni aibu kudharau mpaka wazazi wa wengine kwa m350 🤣🤣, inaonyesha hukuzoea pesa. Ukizizoea hata yule mwenye kidogo kabisa utamuheshimu.
 
Wabarikiwe wazee waliojipinda kutafuta mali na kupiga kitabu kwa sana, leo hii wajukuu tunakula matunda yenu na sisi wajukuu tunapambana kwa jasho na damu kutafuta mali ili wajukuu zetu waje kula matunda ya Babu zao wasije kuishi kwa shida.

Poleni kwa wale ambao wazee/Babu zenu walikimbia shule ingawa walikuwa na utajiri wa ardhi Mwenge, Oysterbay, Masaki ila waliendekeza ngono wakauza ardhi yote, wao wamekufa wajukuu mmeachiwa msala mnakula msoto na bahasha mkononi. Pole sana

Mjifunze muanze kupambana muwatengenezee njia wajukuu wenu.
Mnaanzaga hivi zikiisha mnabaki kuwa wasenge, usipende vya bure leo cha babu kesho utakula cha balabuu,
 
Back
Top Bottom