Kwa mara ya kwanza Tsh Milioni 350 imeingia kwenye account

Milioni 350 ya urithi inakupa jeuri ya kutukana watu hata huwajui na matusi yako based na hisia kuwa Baba zao walikimbia umande na waliendekeza ngono?..
Wewe bado sio tajiri..na hiyo mentality itaku cost very soon
Itakuwa mali ya urithi.. ndio mana amewasifia sana wazee wake... namjulisha aweke akiba ya maneno.. matajiri hawanaga hizi tabia za makelele
 
Wabarikiwe wazee waliojipinda kutafuta mali na kupiga kitabu kwa sana, leo hii wajukuu tunakula matunda yenu ..na sisi wajukuu tunapambana kwa jasho na damu kutafuta mali ili wajukuu zetu waje kula matunda ya Babu zao wasije kuishi kwa shida.
Poleni kwa wale ambao wazee/Babu zenu walikimbia shule ingawa walikuwa na utajiri wa ardhi mwenge,osterbay,masaki ila waliendekeza ngono wakauza ardhi yote ....wao wamekufa wajukuu mmeachiwa msala mnakula msoto na bahasha mkononi...pole sana
Mjifunze muanze kupambana muwatengenezee njia wajukuu wenu
Aisee
Mbona unazingua mkuu?
 
Nilichokiona hapa wewe utabarikiwa kwa kuzitapanya hiZo mali.
 
Sasa wazazi wetu wamekukosea nini maskini ya Mungu! Sisi maskini ndio na tunawapenda wazazi wetu haijalishi wako hai au wametangulia mbele za haki mengine matokeo, wakati unafurahia 350 milioni ujue kuna wenzako wanafurahia bilioni 10 na wako kimya na wanatuheshimu, Hustler popote alipo hana majivuno wala dharau kwa wengine, jifunze kuheshimu watu ndio kanuni kubwa ya dunia
 
Wabarikiwe wazee waliojipinda kutafuta mali na kupiga kitabu kwa sana, leo hii wajukuu tunakula matunda yenu ..na sisi wajukuu tunapambana kwa jasho na damu kutafuta mali ili wajukuu zetu waje kula matunda ya Babu zao wasije kuishi kwa shida.

Poleni kwa wale ambao wazee/Babu zenu walikimbia shule ingawa walikuwa na utajiri wa ardhi mwenge,osterbay,masaki ila waliendekeza ngono wakauza ardhi yote ....wao wamekufa wajukuu mmeachiwa msala mnakula msoto na bahasha mkononi...pole sana
Mjifunze muanze kupambana muwatengenezee njia wajukuu wenu
Rusha hata cha kumi mkuu njia inanitandika hapa,
Nakupa wosia, kila senti moja hakikisha unanunua nyumba maeneo Viwanja majengo, hela hizo nazifahamu sana baada ya kununua jengo, chukua kodi yako, hiyo kodi sasa RUHSA KUJINYWEA BIA MBILI, TATU,
#Take this as gift wise! Utanishukuru baadae.
 
Wabarikiwe wazee waliojipinda kutafuta mali na kupiga kitabu kwa sana, leo hii wajukuu tunakula matunda yenu ..na sisi wajukuu tunapambana kwa jasho na damu kutafuta mali ili wajukuu zetu waje kula matunda ya Babu zao wasije kuishi kwa shida.
Poleni kwa wale ambao wazee/Babu zenu walikimbia shule ingawa walikuwa na utajiri wa ardhi mwenge,osterbay,masaki ila waliendekeza ngono wakauza ardhi yote ....wao wamekufa wajukuu mmeachiwa msala mnakula msoto na bahasha mkononi...pole sana
Mjifunze muanze kupambana muwatengenezee njia wajukuu wenu
Kipato huleta majivuno.
 
Back
Top Bottom