Four
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 252
- 180
- Thread starter
- #21
Dah kitambo sana,nilifanikiwa bwana malipo yaliyofanyika na kitabu nilipataUmelipia kwa njia gani mastercard,Visa,skrill,,webmoney,,paypal, au nn na je kwan ujaona zile verification emails za kuthibitisha kama umelipia au hujalipa?? Angalia vizuri mkuu ukute ushapigwa zamaaaanii
Asanteni