Kwa mara ya kwanza nimeona twiga chokoraa!!

banned do

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
574
506
Twiga hawa wamekuwa wakizagaa hovyo maeneo mbalimbali ya jiji.Juzi niliwaona kariakoo leo nimewaona Kino.Wiki iliyopita niliwaona wengine maeneo ya Coco beach.Na kila wanapopita nimekuwa nikisikia vidume vikisema"cheki twiga hao".Cha ajabu twiga hawa hawali nyasi bali hupenda chipsi kuku na mapochopochopo ya kimjinimjini.Twiga wa mjini bhanaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom