hakuna hata siku moja tulishawahi kuwa na tatizo la kusema dini zikae pamoja.Kwasbabu tayari tulikuwa na umoja wa kitaifa na agenda za taifa.
Sasa mgombea urais anayekwenda msikitini na kusema mnichaguwe mimi kwasbabu ni muislam mwenzenu na nitapigania haki zenu,alishaulizwa atazipigania kwa njia gani?Hatuna haja ya kukusanyana kwa misingi ya kidini.Tutakusanyana kwa misingi ya utaifa.That's my stand.Mimi ni mtanzania kwanza,mengine ni ya kiroho.Imani yangu mimi itanisaidia tu kuwa mtanzania mwema,lakini kamwe siwezi kujiona niko juu zaidi ya mtanzania mwingine kwasababu ya imani yangu!Tukishaipoteza tu ile dhana ya utaifa,basi tumekwisha.Ile dhana ya nationalism and patriotism ambayo alitujengea mwalimu inamalizwa na huyu kilaza!
Hatuhitaji maafikiano based on religion,nakuhakikishia tukienda huko,kesho tutafwata mawazo ya Sideeq kuwa nchi igawanywe kwa misingi hiyo.Tuna matatizo ya kitaifa ambayo rais ameshindwa kuyapa kipaumbele,badala yake,anataka kuificha failure yake kwenye mwavuli wa udini.Sijakuelwea unaposema hakuna tatizo na hapo hapo unadai eti kuna ambao wako less priveledged?yani kwa misingi ya dini siyo?sasa this double standard,sorry.kwasababu unayohubiri humu ndo hayo wanayoyahubiri wafuasi wa JK humu kila kukicha.Na akiguswa tu,ni hayo ya udini,hata ufisadi alipoguswa,kulizuka mjadala humu eti mafisaid ni watu wa dini flani nk.Yote ni yeye anaya engineer!hapa nachoona, kwanza, si wote tunaamini tatizo la udini lipo, na kama hatujaliona hatuwezi litatua.
Na kingine, naona kuna dhana ya 'wanaoathiri' na 'walioathiriwa'. Hatuwezi kuingia kwenye mijadala ya kutafuta suluhu kama baadhi watajiona ni victims au less prevelaged sababu hayo maafikiano wengine watajiona wameburuzwa kuyakubali.
Natamani watu wamengemwaga mapweint kuliko kunyoosheana kidole. Tayari tushafika hapa, tunarudije tukikotoka?? Kama ni jahazi tumepanda sote, likizama ndo basi tena.
Nyie wala hamna lolote manake kwanza hamjielewi.....sasa mbona kipengele hakijawekwa na mumehesabiwa?......yale mapovu yenu mlokuwa mnayatoa kama mmenyweshwa sabuni ya OMO yameijggghjj
Kugomea sensa ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha miezi sita, sasa nawashangaa sana wakina ponda na radio yao wanapata wapi ujasiri wa kushawishi watu kugomea sensa au ndio mkuu yuko nyuma yaobbbbbbbbbbbbbbbbb
Yea,Dr Slaa alikwenda makanisani akasema achaguliwe kuwa rais kwasababu ni mkristu mwenzao,pia alikwenda uchaggani na kusema hayo hayo kwamba achaguliwe na wachagga kwasababu na yeye ni mchagga.Si ndiyo?
Kikwete mpaka leo hii , hajaonesha udini wowote ule. Hivyo naomba msimsingizie mambo asiyoyatenda.nakuhakikishia na kusema uwazi, kikwete sio mdini kabisaa na anatawala nchi bila kuonesha udini wowote ule. Udini ni ule alioufanya mwinyi ndio ulikuwa mbaya sana.Mwinyi alileta mihadhala ya kukashifu ukristo na kumfanya Ponda kuwa wa maana sana kwa kukashifu dini ya kikristo pale mwembe chai. Mkapa kamkomoa Ponda kwa kuweka kipengere cha kushtakiwa ukikashifu dini. Ndio maana sasa Ponda alitegemea JK angelegeza kamba, lakini JK kammkazia uzi ponda.
THE BEST PRESIDENT AMBAE HAJAWAHI TOKEA TANZANIA.Ukweli ndo huo.
Nataka kipengele, lakini sikubaliani na wewe kwenye hili la JK, anatuzuga sana Waislam, kwani si yeye ndio kasema hicho kipengele ni NO.
Nchi ilipofikia,credits huwa anapewa rais na serikali yake,kwahili la udini,hakuna ubishi umeshaota mizizi.Na sijawahi kusikia kauli ama vitendo kutoka kwa JK vya kukemea haya mambo ya udini.
Kinachonifanya niamini ni JK,ni kwasababu hao wanaopinga kasi ya upinzani,wanapoijibia serikali ya ccm,basi wanaoonyesha chuki za wazi kabisa za kidini.Ule udugu tuliokuwa nao wakitanzania haupo tena,na sijui utarudi kwa njia gani.
Kuna habari kuwa hata mtu na mke wake wanataka kutoana roho kwasbabu hizo hizo.Sheick Ponda alipotoa kauli kinyume na yakwake kuhusu sensa,kaliachia na gazeti lenye kusambaza sumu hizo huku akilifungia lenye kusema ukweli(mwanahalisi)
Ninamini kabisa kuwa tulipofikia,uwezekano wa kuingia kwenye vurugu na mapigano ya kidini ni mkubwa kuliko wakati wowote ule kwenye historia ya Tz toka tupate uhuru.
Kama JK ni mdini,tufanyeje?Ni wazi anapenda haya yaendelee kuwepo kwasababu ni kama anauwa ndege wawili kwa jiwe moja,yani kwasababu yeye ni fisadi na mdini,basi issue za ufisadi wake anazifukia kwa kupenyeza sentiments za kidini kwasababu anajuwa the issue is extremely sensitive.
Je kama taifa tutapona dhidi ya udini huu wa JK?je kukitokea mapigano,nani atakuwa responsible?Je nini kifanyike kukomesha udin8I hu?ama tumeridhika?!....
tutajipamba hapa kwa maneno, lakini ikitokea vita, tutakaoathirika hasa ni sie tusokuwa na uwezo wa kugharimia familia zetu kwenda kuishi nje.
Wao utakuta familia zote ziko nje.
Na mwanahalisi tungeachiwa wananchi tuamuwe wenyewe,ndo hapo double standards...Yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Hakuna sababu yoyote ya kumnyoshea kidole mtu yeyoye kuwa anasababisha udini. Ni sisi wenyewe wananchi tunaopandikiza mbegu chafu miongoni mwetu. Si Mwinyi, si Mkapa wala si JK wa kumnyoshea kidole , kwani tukikataa wangetulazimisha? Tuwaache viongozi wetu , na tukae tukijua kuwa dhamana ya amani ya Taifa letu iko mikononi mwetu na si mikononi mwa viongozi. Kitendo hata cha kuweka mada za udini humu JF na katika mitandao mingine ya kijamii na hata katika mihadhara tayari huo ni udini na sisi ndiyo tunapaswa kunyoshewa kidole. Kwani tumeshindwa kumwabia PONDA sisi wenyewe kuwa anatupeleka pabaya mpaka tuanze kuwasingizia viongozi?
acha propaganda zisizo na mashiko, unatoa tuhuma bila hata ushahidi.
Ulisha msikia jk akiwa na waslam mcktn na wanayo ongea?
Unaweza kuyathibitisha au unaleta stori za vijiweni?
Hivi kwa vile ni jk ndo asingiziwe kila kitu?
Mbona hauwakosoi mapadri walisema yeye ni chaguo la mungu?
Mbona hauwakosoi walipoingeza serekali kwa kuwauwa watu ndani ya mckt wa mwembechai na pemba wkt mauaji ya arusha viongozi haohao waliyalaani?
Au arusha ndio kuna watu wenye thamani lkn co dar wala pemba?
Mbona haukukosoa kanisa walipotoa muongozo kwenye uchaguzi mwaka juzi, hawakua wanaingilia yasowahusu na kuleta udini?
Mbona chaguzi zote zilizopita hawakuwa wanafanya hivyo?
Mbona hausemi leo kanisa katoliki linahusishwa na kuifadhili cdm, kwanini usiwashauri wakanushe kwanza kuliko kuendelea kukaa kimya?
Wewe ndio mdina na yote uloandika inaonyeshwa jinsi ulivyo. Unatoa tuhuma nzito zisizo na ushahidi na wadini wenzako wanashabikia tu.
natamani kuwa mchaga kwa vile tu sio rahisi kubadilsha kabila..ukienda moshi kule migombani utashangaa baabaangu yaani kuna kila kitu maji umeme barabara za lami yani maendeleo kwenda mbele mjini ndio usiseme pasafi hata ukitupa kichungi cha sigara unakamatwa...
slaa sio mchaga ni mmbulu wa karatu hana tofauti na mama nagu
Kugomea sensa ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha miezi sita, sasa nawashangaa sana wakina ponda na radio yao wanapata wapi ujasiri wa kushawishi watu kugomea sensa au ndio mkuu yuko nyuma yao.
Kinachonishangaza kupita yote ni jinsi redio imaan inachonganisha na kutukana dini nyingine na hakuna mtu wa kukemea. Nafikiri katiba yetu iko wazi kwamba mtu ana haki ya kuamini dini yoyote maradi asivunje sheria. Sasa kwanini mtu mwingine awe na haki ya kukashifu wengine???
nashukuru kwa complements za ukweli kuhusiana na maendeleo kwenye maeneo hayo,tunataka the whole country iwe hivyo.natamani kuwa mchaga kwa vile tu sio rahisi kubadilsha kabila..ukienda moshi kule migombani utashangaa baabaangu yaani kuna kila kitu maji umeme barabara za lami yani maendeleo kwenda mbele mjini ndio usiseme pasafi hata ukitupa kichungi cha sigara unakamatwa...
slaa sio mchaga ni mmbulu wa karatu hana tofauti na mama nagu
Anayebisha kuwa udini hakuna aendeleee kusibiri kwani atauona siku za karibuni sana.