Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Status
Not open for further replies.
Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania

web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????

Maaskofu wamefanya nini? Unajua kanisa linaanzia kwenye jumuiya ndogo ndogo? Kwanini nwasijue wana waumini wangapi maana wana register yao. Kama wanajua wako 40 na Taifa lina watu 800, nini kigumu kupata asilimia yao? Jamani elimu inaanza kwanza...mkiendelea kudharau elimu mtajidhalisha mbele ya safari. Game plan is changing everyday and those that are smart upstairs would be able to cope with changes...mwenye masikio na asikiye.
 
Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania

web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????

Tatizo ni Shule mnashindwa hata Kutofautisha kati ya Research na Sensa..... Hizo ni research zinaulizwa Parokia pekee hafuatwi mtu.

Tukishajua sisi ni Mil 30 unadhani nyie mtakuwa wapi katika mil 43 za serikali? Fanya hesabu mwenyewe, ukishindwa Reply nikujibu
 
Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania

web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????

Na nyie tafyteni yenu muweke takwimu
 
Mkuu,soma bandiko langu la kwanza vyema.Madhumuni halisi ya thread hii,ni kwanza kulingalia tatizo na nature yake,then kuangalia how we can move forward,mawazo,nasaha,ushauri na busara za wana JF vinahitajika hapa.Hatwezi kulitatua tatizo kama hatu acknowledge kwamba lipo.

Nakubali mkuu ila si kama tunavyotaka kuaminishwa na baadhi ya watu ambao wana maufaa na ajenda hii

Kuna sehemu mtu kawahi kubaguliwa kwa dini yake sehemu za huduma ya jamii???
Hili la NECTA na matokeo mimi siwezi liongelea sana as sina evidence ya hivyo.....ila kama kuna mtu anazo aziweke wazi ili kwa umoja wetu sasa tuamue way forward

Lakini kwa tulipofikia mkuu we are now complaining.......we are beyond the acknowledgment level

Sisi ni wengi kuliko wenye ajenda yao......tukiamua hawataweza kutugawa mkuu
 
Na nyie tafyteni yenu muweke takwimu

Sisi kanisani tunajuwa idadi ya waumini sasa tukijumlisha makanisa yote tunajuwa idadi kamili na kama tunajuwa wakristo ni kiasi gani si tunachukuwa idadi ya watanzania tunatowa wakristo tunapata idadi ya waislamu,is very simple acheni udini kama vipi na nyie jihesabuni huko misikitini mjuwe mpo wangapi
 
Nakubali mkuu ila si kama tunavyotaka kuaminishwa na baadhi ya watu ambao wana maufaa na ajenda hii

Kuna sehemu mtu kawahi kubaguliwa kwa dini yake sehemu za huduma ya jamii???
Hili la NECTA na matokeo mimi siwezi liongelea sana as sina evidence ya hivyo.....ila kama kuna mtu anazo aziweke wazi ili kwa umoja wetu sasa tuamue way forward

Lakini kwa tulipofikia mkuu we are now complaining.......we are beyond the acknowledgment level

Sisi ni wengi kuliko wenye ajenda yao......tukiamua hawataweza kutugawa mkuu
Tatizo mkuu wa nchi mdini,huyu jamaa ana kipaji cha kuchanganya aisee!ni mdini huyu jamaa mkuu wangu.Hii nchi haijafikia hapa kwa bahati mbaya.Anasema eti anakemea,mbona kuna wanaofungiwa?ama haamini kuwa udini ni hatari kwa usalama wa Taifa?
 
Kweli kuna udini kila anapo ongoza muislam makanisa na washirika wake huwa wanampiga vita
Huu ndo udini anaokumbana nao kikwete
AMA ponda hakuna fujo wala amani anayo vunja
Ndo huo udini wenyewe waislam wak protest makanisa na mawakala wao kelele
Katika democracy unapadai haki unayo amini ni Sawa serikali njia ya kistaaranu Kabila mi mgomo kama wali vofanya kina ilimboka
Na njia nyengne ya kiistaraabu zaid ni Civil disobidience Kama Ponda na waislam wanavofanya
Hawajatuma kupiga mtu
Hata unayosema wewe ndo uchochezi
Au wakigoma kina ulimboka kwa amri ya kanisa na kusababisha vifo kwa wagonjwa ni Sawa? Wacheni kupotosha lengo na sababu za waislam kukataa sensor
 
Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania

web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????

Sasa wanatoa ni estimates... na kwanza wanaonyesha kuwa hakuna uhakika na estimates zinawafavor MUSLIMS na WASIO na

DINI kwa WIKIPEDIA, SHEIKH PONDA angefurahi sana kuona hiyo Estimates Wamewashinda Wakristo zaidi au labda angependa

pia kuwashinda wasio na DINI? Unajua kuna Waislamu Wengine ambao Wanatanguliza KABILA lao kwanza halafu DINI yao?

Kama pia walivyo WAKRISTO? Wanatanguliza UKABILA kwanza halafu DINI yao...

Tanzania's population has been estimated to consist of roughly – Christian unknown%, Muslim unknown%, followers of indigenous religious groups unknown%.[SUP][32][/SUP] The CIA World Factbook however states that 30% of the population is Christian with Muslim being 35% and indigenous beliefs 35%.
 
Endelea kujidanganya.Tulipofika kama taifa ni critical point kwenye suala la udini.Asiyeona haya ni maiti

Critical point ya uhai wa mtu huanza kuonekana kwa Vital signs......acidity and alkalinity waeza tumia litmus paper.....wewe hapa unatumia nini kusema ni critical point?????

Nyie ndo wachochezi wa hili balaa.....hebu tuwekee levels of indication then tutasema kweli au hapana........
 
Mimi Bado ninaamini kuna watu tena wakubwa serikalini wapo nyuma ya hili pazia la udini..kuna uwongo mwingi sana unaenezwa kujenga chuki dhidi ya Watanzania.. e.g MOU sijui ni wapi watu waliona hiki kitu na kama JK analijua awaambie watu ukweli kuliko kuacha propoganda hizi zinazochochea chuki kwa wanajamii yetu.
Wanasiasa wasifikiri huu ni mtaji wa kisiasa kwao maana kama hawataangalia hili madhara yake ni makubwa sana na hayataishia kwa CUF na CDM pake yake..
Ndo hapo mkuu,wamo ndani ya ccm wanajuwa kabisa.Hao ndo wenye madaraka sasa hivi kwasababu wanapingana na serikali hiyohiyo,yani wanapingana wenyewe kwa wenyewe,halafu ukiuliza,wanatupa lawama kwa chadema na mwalimu Nyerere.Sasa jiulize hao wana ccm ni wa aina gani?kama ccm imeshindwa kuongoza Tanzania walioachiwa na mwalimu,ni bora waondoke madarakani kwa amani,waachie watu waendeshe siasa bila kuleta udini,na watakaoleta udini,wachukuliwe hatua madhubuti,lasivyo,tutaendelea kuhoji uhalali wa rais mdini madarakani.
 
Sasa wanatoa ni estimates... na kwanza wanaonyesha kuwa hakuna uhakika na estimates zinawafavor MUSLIMS na WASIO na

DINI kwa WIKIPEDIA, SHEIKH PONDA angefurahi sana kuona hiyo Estimates Wamewashinda Wakristo zaidi au labda angependa

pia kuwashinda wasio na DINI? Unajua kuna Waislamu Wengine ambao Wanatanguliza KABILA lao kwanza halafu DINI yao?

Kama pia walivyo WAKRISTO? Wanatanguliza UKABILA kwanza halafu DINI yao...

Tanzania's population has been estimated to consist of roughly – Christian unknown%, Muslim unknown%, followers of indigenous religious groups unknown%.[SUP][32][/SUP] The CIA World Factbook however states that 30% of the population is Christian with Muslim being 35% and indigenous beliefs 35%.

Kwa mtu mwenye akili timamu lazima a-doubt hapo yaani wapagani wanalingana na waislam
 
C.c.m watavuna walichoasisi. Wameasisis udini na baadhi wa watu wajinga wamekublai kuimba. Mwaka 2015 si mbali utaonekana dhahiri kwa wana c.c.m. Wiki iliyopita nuilikutana na ndugu mmoja wa ambaye ni mwislamu akienda mpanda, aliapa kwamaba 2015 c.c.m wakimsimamisha mkristo kura wanapeleka kwa lipumba wote. Sasa tumefika huko. Tuchague mtu kwa sifa zake hata dini yake hatutaki kuijua kwani haitusaidii kitu sisi. Tunaomba hata cv yake kipengele cha dini kiondolewe kama kipo. Mbonna mwinyi, na mkapa walitawala kwa amani bila udini jamani?
 
Kweli kuna udini kila anapo ongoza muislam makanisa na washirika wake huwa wanampiga vita
Huu ndo udini anaokumbana nao kikwete
AMA ponda hakuna fujo wala amani anayo vunja
Ndo huo udini wenyewe waislam wak protest makanisa na mawakala wao kelele
Katika democracy unapadai haki unayo amini ni Sawa serikali njia ya kistaaranu Kabila mi mgomo kama wali vofanya kina ilimboka
Na njia nyengne ya kiistaraabu zaid ni Civil disobidience Kama Ponda na waislam wanavofanya
Hawajatuma kupiga mtu
Hata unayosema wewe ndo uchochezi
Au wakigoma kina ulimboka kwa amri ya kanisa na kusababisha vifo kwa wagonjwa ni Sawa? Wacheni kupotosha lengo na sababu za waislam kukataa sensor
Mmelishwa kasa,mbona hamkumlaumu kuwa yuko kinyume na waislam aliposema muhesabiwe?ama kwasababu ni "muislam mwenzenu"?huo ndo udini wenyewe sasa huo.
Mkataba wa Mou uliingiwa na serikali hiyohiyo ya ccm iliyomlelea hadi na urais akaupata,sasa maybe alikuwa na agenda za siri tusizozijuwa,kwasababu tokea amechukua madaraka kuna chuki za udini sijawahi kuona!na yeye ndo kinara wake na mnafiki sana.Hilo ndo nguzo yake,unafiki!
Just because JK ni mdini,basi haina maan kuwa waislam wote ni wadini.Tutajuta kumwingiza huyu madarakani,lakini namwambia kuwa analindwa na jeshi la watanzania,polisi wa watanzania usalama wa Taifa wa watanzania.Asipokemea hayo,ni budi kwetu kuwauliza walinzi wa Taifa letu kama wnamlinda rais wa Tanzania ama wa wapi.
 
Tatizo mkuu wa nchi mdini,huyu jamaa ana kipaji cha kuchanganya aisee!ni mdini huyu jamaa mkuu wangu.Hii nchi haijafikia hapa kwa bahati mbaya.Anasema eti anakemea,mbona kuna wanaofungiwa?ama haamini kuwa udini ni hatari kwa usalama wa Taifa?

Mkuu yawezekana ni kweli unalosema......ila ni wapi hapo tulipofika ambapo hapawezi kurekebishwa kwa umoja wetu mpaka litoke tamko IKULU????????

Mimi naamini kwenye umoja wetu na sio nani kasema nini.........kasema mangapi na hayatekelezwa mpaka iwe hii sasa ni nongwa????

What are we doing for the sake of our very unity???? Wapi wanaharakati juu ya hili???? Sisi Hapa JF tunafanya nini kuutokomeza uhayawani huu???? Kuna Sticky ngapi za kuhuburi umoja wetu na madhara ya kubaguana kwa minajili ya Imani.........

It is possible and the changes should begin with us............................
 
Kwa mtu mwenye akili timamu lazima a-doubt hapo yaani wapagani wanalingana na waislam

Si ndio huko Sheikh Ponda anaangalia hizo Info zisizona Uhakika Wanalalamika Nchi Nzima na kutishia kugomea SENSA; Habari

Ambazo sio za Ukweli... Inashangaza; Wananchi tunahitaji kweli kuelimishwa...
 
C.c.m watavuna walichoasisi. Wameasisis udini na baadhi wa watu wajinga wamekublai kuimba. Mwaka 2015 si mbali utaonekana dhahiri kwa wana c.c.m. Wiki iliyopita nuilikutana na ndugu mmoja wa ambaye ni mwislamu akienda mpanda, aliapa kwamaba 2015 c.c.m wakimsimamisha mkristo kura wanapeleka kwa lipumba wote. Sasa tumefika huko. Tuchague mtu kwa sifa zake hata dini yake hatutaki kuijua kwani haitusaidii kitu sisi. Tunaomba hata cv yake kipengele cha dini kiondolewe kama kipo. Mbonna mwinyi, na mkapa walitawala kwa amani bila udini jamani?
Halafu kuna wanaodai haya mambo yanakuzwa.Tumefika kubaya na ni lazima hii issue iwe addressed.Unafiki hatutaki tena!
 
Mkuu yawezekana ni kweli unalosema......ila ni wapi hapo tulipofika ambapo hapawezi kurekebishwa kwa umoja wetu mpaka litoke tamko IKULU????????

Mimi naamini kwenye umoja wetu na sio nani kasema nini.........kasema mangapi na hayatekelezwa mpaka iwe hii sasa ni nongwa????

What are we doing for the sake of our very unity???? Wapi wanaharakati juu ya hili???? Sisi Hapa JF tunafanya nini kuutokomeza uhayawani huu???? Kuna Sticky ngapi za kuhuburi umoja wetu na madhara ya kubaguana kwa minajili ya Imani.........

It is possible and the changes should begin with us............................
Mwanahalisi limefungiwa,kuna magazeti ya udini ama yenye kueneza udini,kama ni uhuru wa vyombo vya habari ndo umemfanya akayaachia na kulifungia mwanahalisi,then huo ndo unafiki na udini,combination chafu na mbya kiama!
 
Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference 1) www.wikipedia.com/tanzania 2) www.arc.com/tanzania web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????

Mdau jmushi1 yeye ameliona hilo kwa upande wake pia kutokana na kile kinachoendelea kwa sasa yaani Sensa (hivyo vingine ni vya kwako) na ndio maana ame-post, nadhani kwa ku-post kwake huu uzi imesababisha na wewe kukufunguka na wewe ukaleta hiyo hoja yako (hapa si uwanja wa kubishana kwa dini bali kwa kuangalia hali halisi hovyo na wewe ulitakiwa ulete thread yako tuijadili kwa kina)
 
Last edited by a moderator:
Mwanahalisi limefungiwa,kuna magazeti ya udini ama yenye kueneza udini,kama ni uhuru wa vyombo vya habari ndo umemfanya akayaachia na kulifungia mwanahalisi,then huo ndo unafiki na udini,combination chafu na mbya kiama!

Mkuu...leo naona tutakesha hapa......what are we doing to arrest the situation....issue ya mwanahalisi na udini are incoherent so to say......mbona hata huyo Kubenea ni muislam sasa?????

Back to topic: Wewe na mimi humu tunafanya nini kukemea dhambi hii maana naona kama you are double barreled....nini focus yako RAIS MDINI au UBAYA WA UDINI????? Nini mbaya zaid hapa......huyu ni Binadam na atapita .............nauliza tena nini tufanye ili kundoa hali hii badala ya kuendelea kunyoosheana vidole mkuu?????
 
hadi dini zote tukae pamoja, tukubaliane, na tupange mikakati ya kurekebisha tulipokosea.

Vinginevyo hakuna wa kutusimamia.

Back
Top Bottom