Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania
web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????
Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania
web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????
Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania
web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????
Mkuu,soma bandiko langu la kwanza vyema.Madhumuni halisi ya thread hii,ni kwanza kulingalia tatizo na nature yake,then kuangalia how we can move forward,mawazo,nasaha,ushauri na busara za wana JF vinahitajika hapa.Hatwezi kulitatua tatizo kama hatu acknowledge kwamba lipo.
Na nyie tafyteni yenu muweke takwimu
Tatizo mkuu wa nchi mdini,huyu jamaa ana kipaji cha kuchanganya aisee!ni mdini huyu jamaa mkuu wangu.Hii nchi haijafikia hapa kwa bahati mbaya.Anasema eti anakemea,mbona kuna wanaofungiwa?ama haamini kuwa udini ni hatari kwa usalama wa Taifa?Nakubali mkuu ila si kama tunavyotaka kuaminishwa na baadhi ya watu ambao wana maufaa na ajenda hii
Kuna sehemu mtu kawahi kubaguliwa kwa dini yake sehemu za huduma ya jamii???
Hili la NECTA na matokeo mimi siwezi liongelea sana as sina evidence ya hivyo.....ila kama kuna mtu anazo aziweke wazi ili kwa umoja wetu sasa tuamue way forward
Lakini kwa tulipofikia mkuu we are now complaining.......we are beyond the acknowledgment level
Sisi ni wengi kuliko wenye ajenda yao......tukiamua hawataweza kutugawa mkuu
Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania
web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????
Endelea kujidanganya.Tulipofika kama taifa ni critical point kwenye suala la udini.Asiyeona haya ni maiti
Ndo hapo mkuu,wamo ndani ya ccm wanajuwa kabisa.Hao ndo wenye madaraka sasa hivi kwasababu wanapingana na serikali hiyohiyo,yani wanapingana wenyewe kwa wenyewe,halafu ukiuliza,wanatupa lawama kwa chadema na mwalimu Nyerere.Sasa jiulize hao wana ccm ni wa aina gani?kama ccm imeshindwa kuongoza Tanzania walioachiwa na mwalimu,ni bora waondoke madarakani kwa amani,waachie watu waendeshe siasa bila kuleta udini,na watakaoleta udini,wachukuliwe hatua madhubuti,lasivyo,tutaendelea kuhoji uhalali wa rais mdini madarakani.Mimi Bado ninaamini kuna watu tena wakubwa serikalini wapo nyuma ya hili pazia la udini..kuna uwongo mwingi sana unaenezwa kujenga chuki dhidi ya Watanzania.. e.g MOU sijui ni wapi watu waliona hiki kitu na kama JK analijua awaambie watu ukweli kuliko kuacha propoganda hizi zinazochochea chuki kwa wanajamii yetu.
Wanasiasa wasifikiri huu ni mtaji wa kisiasa kwao maana kama hawataangalia hili madhara yake ni makubwa sana na hayataishia kwa CUF na CDM pake yake..
Sasa wanatoa ni estimates... na kwanza wanaonyesha kuwa hakuna uhakika na estimates zinawafavor MUSLIMS na WASIO na
DINI kwa WIKIPEDIA, SHEIKH PONDA angefurahi sana kuona hiyo Estimates Wamewashinda Wakristo zaidi au labda angependa
pia kuwashinda wasio na DINI? Unajua kuna Waislamu Wengine ambao Wanatanguliza KABILA lao kwanza halafu DINI yao?
Kama pia walivyo WAKRISTO? Wanatanguliza UKABILA kwanza halafu DINI yao...
Tanzania's population has been estimated to consist of roughly Christian unknown%, Muslim unknown%, followers of indigenous religious groups unknown%.[SUP][32][/SUP] The CIA World Factbook however states that 30% of the population is Christian with Muslim being 35% and indigenous beliefs 35%.
Mmelishwa kasa,mbona hamkumlaumu kuwa yuko kinyume na waislam aliposema muhesabiwe?ama kwasababu ni "muislam mwenzenu"?huo ndo udini wenyewe sasa huo.Kweli kuna udini kila anapo ongoza muislam makanisa na washirika wake huwa wanampiga vita
Huu ndo udini anaokumbana nao kikwete
AMA ponda hakuna fujo wala amani anayo vunja
Ndo huo udini wenyewe waislam wak protest makanisa na mawakala wao kelele
Katika democracy unapadai haki unayo amini ni Sawa serikali njia ya kistaaranu Kabila mi mgomo kama wali vofanya kina ilimboka
Na njia nyengne ya kiistaraabu zaid ni Civil disobidience Kama Ponda na waislam wanavofanya
Hawajatuma kupiga mtu
Hata unayosema wewe ndo uchochezi
Au wakigoma kina ulimboka kwa amri ya kanisa na kusababisha vifo kwa wagonjwa ni Sawa? Wacheni kupotosha lengo na sababu za waislam kukataa sensor
Tatizo mkuu wa nchi mdini,huyu jamaa ana kipaji cha kuchanganya aisee!ni mdini huyu jamaa mkuu wangu.Hii nchi haijafikia hapa kwa bahati mbaya.Anasema eti anakemea,mbona kuna wanaofungiwa?ama haamini kuwa udini ni hatari kwa usalama wa Taifa?
Kwa mtu mwenye akili timamu lazima a-doubt hapo yaani wapagani wanalingana na waislam
Halafu kuna wanaodai haya mambo yanakuzwa.Tumefika kubaya na ni lazima hii issue iwe addressed.Unafiki hatutaki tena!C.c.m watavuna walichoasisi. Wameasisis udini na baadhi wa watu wajinga wamekublai kuimba. Mwaka 2015 si mbali utaonekana dhahiri kwa wana c.c.m. Wiki iliyopita nuilikutana na ndugu mmoja wa ambaye ni mwislamu akienda mpanda, aliapa kwamaba 2015 c.c.m wakimsimamisha mkristo kura wanapeleka kwa lipumba wote. Sasa tumefika huko. Tuchague mtu kwa sifa zake hata dini yake hatutaki kuijua kwani haitusaidii kitu sisi. Tunaomba hata cv yake kipengele cha dini kiondolewe kama kipo. Mbonna mwinyi, na mkapa walitawala kwa amani bila udini jamani?
Mwanahalisi limefungiwa,kuna magazeti ya udini ama yenye kueneza udini,kama ni uhuru wa vyombo vya habari ndo umemfanya akayaachia na kulifungia mwanahalisi,then huo ndo unafiki na udini,combination chafu na mbya kiama!Mkuu yawezekana ni kweli unalosema......ila ni wapi hapo tulipofika ambapo hapawezi kurekebishwa kwa umoja wetu mpaka litoke tamko IKULU????????
Mimi naamini kwenye umoja wetu na sio nani kasema nini.........kasema mangapi na hayatekelezwa mpaka iwe hii sasa ni nongwa????
What are we doing for the sake of our very unity???? Wapi wanaharakati juu ya hili???? Sisi Hapa JF tunafanya nini kuutokomeza uhayawani huu???? Kuna Sticky ngapi za kuhuburi umoja wetu na madhara ya kubaguana kwa minajili ya Imani.........
It is possible and the changes should begin with us............................
Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference 1) www.wikipedia.com/tanzania 2) www.arc.com/tanzania web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????
Mwanahalisi limefungiwa,kuna magazeti ya udini ama yenye kueneza udini,kama ni uhuru wa vyombo vya habari ndo umemfanya akayaachia na kulifungia mwanahalisi,then huo ndo unafiki na udini,combination chafu na mbya kiama!
Halafu kuna wanaodai haya mambo yanakuzwa.Tumefika kubaya na ni lazima hii issue iwe addressed.Unafiki hatutaki tena!