Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

Status
Not open for further replies.
Mkuu jmushi1

Umetuletea hoja mahusus, nzito, makini na imebeba uhalisia wa mtanzania miaka ya mwl J k. Nyerere na Rais Ally H. Mwinyi.

Utanzania wetu ulianza kutiwa dowa baya na kubwa enzi za IGP Omari Mahita akihanikizwa na watawala wa serikali ya ccm kuihujum CUF kuitangaza kwa nguvu kubwa kabisa kuwa ni chama hatari sana cha kidin - kiislam.

Imekuwa nikawaida kwa ccm na serikali yake kujipatia ticketi ya kutawala nchi kwa mising huo na kuwagawa watanzania.

Sasa ni zam ya chadema. Bahati mbaya sana huyu kikwete tofauti na wenzie yeye anaonekana kuhusika moja kwa moja :-

1. Kumuandaa na kumtuma ponda akishilikiana S. Mwema. (Kwanin asishikwe ponda bwana mipango? Mpaka sasa wanatuhadaa kwa kukumata vilaza huko mikowan, kama kikwete na mwema hajamtuma kwanin hakamatwi?)

2. Kikwete atakuwa mfadhili wa badhi yetu hum jf na ile redio ya iman. Kama sio, kwa nin wanaacha redio hii ieneze uchochezi wakugawa taifa tanzania waziwazi bila kukemewa walau kuonywa?

Nitakuja na mapendekezo ya nin kifanyike
 
mjadala hapa ni udini wa JK,miye sina shida na ndugu zangu waislam.Sasa hii ni double standard kuwahusisha wasiokuwa serikali ama vyama vya upinzani kuhusiana na kauli ya JK kuwa nyie waislam wenzake muhesabiwe.Lakini tunaoufahamu unafiki wa JK,yeye ndo kawatuma kina Ponda waeneze udini.Ni mnafiki sijapata kuona.

Nina amini akija huko misikitini anawambia yeye ni muislam mwenzenu mwenye kupigania haki zenu,alikuja kusema hayo wakati wa kampeni.

Na ndiyo maana aliposema muhesabiwe munalilaumu kanisa na chadema badala ya kumlaumu yeye aliyeitoa kauli hiyo,tayari mna udini!.

Nina uhakika yeye ndo aliyewalisha sumu wana ccm wenzake kuhusu hayo mambo ya Mou.Kama yeye ndo mkuu wa serikali inayolalamikiwa udini,lakini lawama hizo zinapelekwa kwa upinzania ambao hawajawahi hata kuongoza nchi,unategemea nani mdini hapo?

Amejificha kwenye kivuli cha unafiki,lakini mwanga wa JF ni mkali zaidi na kivuli hicho hakitamficha.

Itafika mahali atafute walinzi na wasaidizi waislam,na jeshi afungue kitengo cha jeshi la waislam kwasababu hakuna sababu ya kumlinda rais mdini ambaye hajali kuhusu maisha ya wananchi wa dini zote!

mihemko ya Njaa inakusumbua,Mwambie Kaka yako MTIKILA huku ludewa Waisla na wakristo wanashirikiana kujenga shule ya wazazi.
 
RC kuna sensa ya nyumba kwa nyumba, tena iko imepangiliwa sana na hufanyika kwa kila jimbo.

Umeyaona ya shekh PONDA tu, ya maasikofu hujayaona kweli wewe huiwezi siasa!!Waislam wanahaki ya kudai kipengele cha dini ktk sensa.kwanini wadai tembelea web hizi upate reference
1) www.wikipedia.com/tanzania
2) www.arc.com/tanzania

web zote hzo zinatoa idadi ya watanzania kwa mujibu wa dini yao wakati tangu 1967 watanzania hatuja hesabiwa kwa mjibu,wa dini zetu.swali hawa WA RC Takwim hz wanazitoa wapi????
 
Unaweza ukawalaumu waislam lakini chanzo cha haya yote ni jk na propaganda zake!
Leo hii anajidai kuwashangaa!

nimemsikia vizuri sana Raisi J pili TBC.. Alikemea dhana nzima ya udini na ukabila..
unataka aongee vp ili ukiri kwamba anachukizwa na udini..

Tatizo ni sisi tunaoendelea chochea kuni ktk moto..
Vilevile muelewe kwamba WATANZANIA ni waerevu hawalishwi UJINGA..
 
tutajipamba hapa kwa maneno, lakini ikitokea vita, tutakaoathirika hasa ni sie tusokuwa na uwezo wa kugharimia familia zetu kwenda kuishi nje.

Wao utakuta familia zote ziko nje.

Mkuu ni kweli. Angalieni Syria watu wanateseka kwa sababu ya vita. Wenye uwezo wanapanda ndege na kuondoka wasio na uweza wanatembea kwa miguu na kuishia mipakani wakiwa wamezuiliwa na hawana pa kwenda. Vita tena vita yenyewe ati ya kidini! Watanzania kwa upande wa dini tumejichanganya sana kwani unakuta baba mkristo mama mwislamu na watoto wawili wakristo wawili waislamu!
 
It's too late
Anafanya hivyo baada ya kuona mambo yana kwenda vibaya!
Jiulize kwaninni alifanya propaganda za udini wakati alijua madhara yake? Leo hii ina tumia nguvu nyingi kulazimisha sensa wakati baada ya kuwagawa watanzania!

Hii laana haito muacha!

nimemsikia vizuri sana Raisi J pili TBC.. Alikemea dhana nzima ya udini na ukabila..
unataka aongee vp ili ukiri kwamba anachukizwa na udini..

Tatizo ni sisi tunaoendelea chochea kuni ktk moto..
Vilevile muelewe kwamba WATANZANIA ni waerevu hawalishwi UJINGA..
 
Kuna vitu ambavyo havihitaji utafiti, mojawapo ni hii mada. Hata mahakama ya kadhi ni matokeo ya uongozi wake.
 
Bila haibu ana sema kuwa amekuwa akisikiliza hizo radio na vyombo vingine vya habari. Hapo ndipo nilimshangaa kuongea hayo maneno na kuonesha alikuwa akifuatilia na kufurahishwa!

Lakini angefanya nini yeye ndio ame sababisha hayo yote!

Mkuu jmushi1

Umetuletea hoja mahusus, nzito, makini na imebeba uhalisia wa mtanzania miaka ya mwl J k. Nyerere na Rais Ally H. Mwinyi.

Utanzania wetu ulianza kutiwa dowa baya na kubwa enzi za IGP Omari Mahita akihanikizwa na watawala wa serikali ya ccm kuihujum CUF kuitangaza kwa nguvu kubwa kabisa kuwa ni chama hatari sana cha kidin - kiislam.

Imekuwa nikawaida kwa ccm na serikali yake kujipatia ticketi ya kutawala nchi kwa mising huo na kuwagawa watanzania.

Sasa ni zam ya chadema. Bahati mbaya sana huyu kikwete tofauti na wenzie yeye anaonekana kuhusika moja kwa moja :-

1. Kumuandaa na kumtuma ponda akishilikiana S. Mwema. (Kwanin asishikwe ponda bwana mipango? Mpaka sasa wanatuhadaa kwa kukumata vilaza huko mikowan, kama kikwete na mwema hajamtuma kwanin hakamatwi?)

2. Kikwete atakuwa mfadhili wa badhi yetu hum jf na ile redio ya iman. Kama sio, kwa nin wanaacha redio hii ieneze uchochezi wakugawa taifa tanzania waziwazi bila kukemewa walau kuonywa?

Nitakuja na mapendekezo ya nin kifanyike
 
Tunaihitaji aman na kuishi kwa kupendana kama watanzania maisha waloishi babu na bibi zetu. Bila kujali din zao waliish pamoja kwa upendo na kushilikiana sawia kwenye shughuli zote kama harusi, misiba nk.

Nin kifanyike.

1. Kwa wenye uwezo zianzishwe redio na magazeti ambazo kazi yao iwe ni kusahihisha upotoshaji unaofanywa na magazeti na redio mbalimbali kwa kurejerea rekodi ya upotoshaji na kuweka mambo sawa. Kamailivokuwa kwa wapotosha kurani na wapotosha biblia ilibidi serikali kuwadhibit wote na ndivyo itakavyo fanya kwa vyombo vya habari potoshi na elekezi.

2. Tuanze kampen za kuwasusia viongozi wote wachochezi na kuwazomea inapobid

3. Mikoa yote ambako ccm na wapiga debe wake wanabaguwa kwa ukanda au ukabila ianze kampen mahusus kuitenga ccm na viongozi wake wapoteze majimbo yote.

3. Kwa nguvu zote ziletwe thread mfululoza kuhanikiza kuishi kwa aman pamoja kawa watanzania na kukemea uchochezi wa aina yoyote unaolenga kutugawa wtz.

Baadhi yetu tunashiriki uchochezi mauji hatachagua.
 
Mkuu jmushi1

Umetuletea hoja mahusus, nzito, makini na imebeba uhalisia wa mtanzania miaka ya mwl J k. Nyerere na Rais Ally H. Mwinyi.

Utanzania wetu ulianza kutiwa dowa baya na kubwa enzi za IGP Omari Mahita akihanikizwa na watawala wa serikali ya ccm kuihujum CUF kuitangaza kwa nguvu kubwa kabisa kuwa ni chama hatari sana cha kidin - kiislam.

Imekuwa nikawaida kwa ccm na serikali yake kujipatia ticketi ya kutawala nchi kwa mising huo na kuwagawa watanzania.

Sasa ni zam ya chadema. Bahati mbaya sana huyu kikwete tofauti na wenzie yeye anaonekana kuhusika moja kwa moja :-

1. Kumuandaa na kumtuma ponda akishilikiana S. Mwema. (Kwanin asishikwe ponda bwana mipango? Mpaka sasa wanatuhadaa kwa kukumata vilaza huko mikowan, kama kikwete na mwema hajamtuma kwanin hakamatwi?)

2. Kikwete atakuwa mfadhili wa badhi yetu hum jf na ile redio ya iman. Kama sio, kwa nin wanaacha redio hii ieneze uchochezi wakugawa taifa tanzania waziwazi bila kukemewa walau kuonywa?

Nitakuja na mapendekezo ya nin kifanyike

kuna jamaa mmoja alisema si kila memba aliye JF ni great thinker..wengine vilaza.!!
 
It's too late
Anafanya hivyo baada ya kuona mambo yana kwenda vibaya!
Jiulize kwaninni alifanya propaganda za udini wakati alijua madhara yake? Leo hii ina tumia nguvu nyingi kulazimisha sensa wakati baada ya kuwagawa watanzania!

Hii laana haito muacha!

kwahiyo wewe huamini ktk kukiri makosa na kuanza upya..

Aiseee...
 
Wewe ndio mdini namba 1 utakuwa kwa sababu thread yako iko sehem 1 tu inaonyesha jinsi gani wewe ulivyo mdini
Mtu aliyekuja misikitini kusema mumchaguwe kwasababu ni "muislam mwenzenu" si udini huo?Only in Tanzania this is posible na akaendelea kuwa rais.Kuna namna ya kupata kura lakini si kwa njia hii.Obama hakuwahi kusema eti weusi wamchaguwe kwasababu na yeye ni mweusi mwenzao.Asingepata kura!Alichaguliwa kwasababu alisema there's no white America,no Black America,no Asian America,but there is "The United States Of America",angekuwa rais wa watanzania wote bila kujali dini zao,basi angesema maneno yenye kufanana na hayo!
 
nimemsikia vizuri sana Raisi J pili TBC.. Alikemea dhana nzima ya udini na ukabila..
unataka aongee vp ili ukiri kwamba anachukizwa na udini..

Tatizo ni sisi tunaoendelea chochea kuni ktk moto..
Vilevile muelewe kwamba WATANZANIA ni waerevu hawalishwi UJINGA..

Mkuu ww unaongea, mm naongea na rais anaongea tofauti ikowapi?

Tunataka rais achukue hatua, pengo unafanya hiv kwanin... Ponda unafanya hivi kwanin...

Tunataka vitendo sio unafiki unaotupeleka watanzania kaburin. Anachekacheka, watu wanatuharibia utanzania wetu, tumeanza kuish maana ya uziguwa, ukatoliki, usuni, uaswali suna nk. Tunaelekea wapi? Hakuna tofauti kati yako, mm na kikwete sis wote tunalalama nan achukue hatua kulinusuru Taifa?
 
hakuna hasara kwa taifa kama kuwa na kiongozi wa juu asiye na msimamo wala hajui kwa nini yupo pale.

Wakati anajipanga kuingia madarakani alitumia sana mbinu ya udini, pamoja na nyingine na kufanikiwa kuingia.

Kama kawaida yake hakujua kama itafikia hapa, na hakuwa na njia mbadala ya kunusuru hali pindi mambo yataharibika.

Jukumu au wa kulaumiwa ni sisis watanzania tuliokubali kuingozwa na mtu asiye na uelewa na sisi kukubali kumpa nafasi ya kutugawa.

Mjinga akiwachonganisha werevu wawili, wa kulaumiwa si mjinga, bali ni wale werevu walioshindwa kujua lililo bora kwao.

Badala ya kutumia 'platform' kama hii kunyoosheana vidole, ingekuwa jambo la maana kama tukakubali tofauti zetu na kutafuta 'common ground' ambapo tunaweza kusonga mbele kama taifa moja lililowahi kuwa na wananchi wasiotambuana kwa dini kwa majina yao au kwa uwezo wao katika uongozi.

Good Kony.......
Wajinga ni wale walioshikilia kila kukicha kuna tofauti kuna tofauti.......hivi ziko wapi to an extent ya kuwa gumzo mpaka tusioge na kutakata?????

Endeleeni na mzaha wakati mnaongeza intensity ya tatizo thread kama hii lengo lake ni nini hasa????? Kama huyo Ponda ni mchochezi na anatishia amani si na apelekwe to the law suit au hakuna kipengele cha kumbana mtu anayetishia amani ya majority?????

Mkuu Jmushi1 it is high time kuanza kuweka mabandiko yanayoonesha way forward kama ni lawama zimetosha sasa as far as sisi ni active na tunajua madhara then nini tunafanya kurekebisha hali au hili nalo mapaka aliyesababisha ndo arekebishe.......sie kama majibwa usiku nj asubuhi ndani kwa amri ya mfugaji wetu?????
 
Nina uhakika JK alimmissread mwalimu aliposema kuwa hafai ama hajakomaa,nadhani yeye aliona udini maana wafuasi wake ndo wenye kuueneza na kumponda mwalimu kujaribu kumchafua kabisa na kuwmondoa kwenye historia ya watanzania kwa yale mema aliyoyafanya.

Ama pengime mwalimu alijua kuwa huyu jamaa ni mdini?

Ccm wana utaratibu wa kusimamisha mkristo then muislam,hiyo ni agenda yao ambayo ni unofficial.Lakini bado tu kuna wana ccm wa ccm ya mwalimu kumbe walikuwa wanamsapoti kiunafiki tu.Hao ndo kina JK,mwalimu kafariki, sasa wanataka kumalizia kazi yao ya kulimaliza hili taifa moja kwa moja.

Mwalimu kumbe alifanya kazi kubwa kui preserve amani.Mana mwendawazimu akichukua nchi,ni balaa!

JK you will pay for this,na kwataarifa yako,anza kwa kukemea hata kama ni kwa unafiki wako,kwasababu taifal hili si la waislam peke yao wala wakristo peke yao,taifa hili ni la watanzania,na tunataka uikabidhi Tanzania kwa watanzania utakapoondoka madarakani,kinyume chake ni bora uandae alshabab kwa ulinzi wako mkuu!

Very well said! Mwenye macho haambiwi tazama!
 
Good Kony.......
Wajinga ni wale walioshikilia kila kukicha kuna tofauti kuna tofauti.......hivi ziko wapi to an extent ya kuwa gumzo mpaka tusioge na kutakata?????

Endeleeni na mzaha wakati mnaongeza intensity ya tatizo thread kama hii lengo lake ni nini hasa????? Kama huyo Ponda ni mchochezi na anatishia amani si na apelekwe to the law suit au hakuna kipengele cha kumbana mtu anayetishia amani ya majority?????

Mkuu Jmushi1 it is high time kuanza kuweka mabandiko yanayoonesha way forward kama ni lawama zimetosha sasa as far as sisi ni active na tunajua madhara then nini tunafanya kurekebisha hali au hili nalo mapaka aliyesababisha ndo arekebishe.......sie kama majibwa usiku nj asubuhi ndani kwa amri ya mfugaji wetu?????
Mkuu,soma bandiko langu la kwanza vyema.Madhumuni halisi ya thread hii,ni kwanza kulingalia tatizo na nature yake,then kuangalia how we can move forward,mawazo,nasaha,ushauri na busara za wana JF vinahitajika hapa.Hatwezi kulitatua tatizo kama hatu acknowledge kwamba lipo.
 
Utafiti unaonesha kuwa wasaidizi wake wakuu wote ni wa dini yake na hata jeshini ni hivyo hivyo ;kitengo husika kinaongozwa na chief of Staff Shimbo[ mwenye matrilloni ya mapesa huko nje ya nchi; zilizokuwa S.Afrika pengine sasa zimehamishiwa Switzeland !!!]

Wasaidizi gani muu zaid ya katibu mkuu kiongozi na waziri mkuu......au mi ndo hamnazo hapa????
 
Familia yetu ni ya wakristo na waislamu na tupo imara pamoja kama zamani. Kijiji chetu kina waumini wa dini zote mbili na bado tunazikana kama zamani. Sijui umeandika haya baada ya kufanya utafiti wa kiasi gani?
Mkuu tutajie hilo gazeti lenye kusambaza sumu hizo.

Endelea kujidanganya.Tulipofika kama taifa ni critical point kwenye suala la udini.Asiyeona haya ni maiti
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom