EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 8,558
- 12,684
You are crazy for accepting tsh 7800 from lumumbaSiyo mwalimu huyo dalali tu, annual increment kila mwaka imekuwa ikiingia. Madaraja walimu tunaostahili tumepandishwa wale waliostahili kupandishwa halafu hawakupandishwa pasipo sababu walipolalamika maafisa utumishi waliwajibishwa.
Acha kudandia taaluma za watu mimi ni mwalimu niko pamoja na Magufuli.Jikite kwenye siasa zako siyo kuwasemea waalimu.