Kwa malaya bila kinga

Usiogope dogo asilimia kubwa ya malaya hawana ngoma kabisaaaaaa..............!:rockon:
 
Ndugu zanguni wakati wa matatizo sio wakati wa kulaumiana, tumsaidieni kwa ushauri huyu mwenzetu kwakweli amefanya jambo la hatari sana, ni kama amejitoa muhanga tu!
Tusimfanye akajisikia vibaya, leo kwake kesho kwa mwingine.
 
kaka mi naomba nikutie moyo ktk watu wanao jiheshimu ni malaya huwa mara nyingi hawafanyi bila condom ila huyo alikuonea huruma coz babu aligoma kusimama!mi nakutia moyo ukimwi haumpati mtu kisahisi ivo na malaya huwa wapo makini sana!kuwa na amani ata wazo la kupima kisa umetembea na malama achana nalo labda kapime kwa utashi wako.kumbuka wanao tuuwa kwa ukimwi ni wale tuonao waamini.mbona watu tunapiga sana mabahamedi kavukavu na tunajiamini.give up!
 
We ndo utamuua sasa... huo moyo unaompa ni wa plastiki..
 
Cha muhimu na uhakika fanya kupima baada ya miezi mitatu. Vile vile zikipita wiki tatu tangu u-do na huyo malaya halafu ukapata homa kali sana ya muda mfupi(siku moja au mbili) ujue umenasa...pole!
 

Wajanja wa town wanasema umeuza mechi...!
 
Ok nimewaelewa kabisa wadau nitapima ilakamakufa kupo tu sioni tatizo mana wapo wanaoishi nao kwa muda mref.
 
Ok nimewaelewa kabisa wadau nitapima ilakamakufa kupo tu sioni tatizo mana wapo wanaoishi nao kwa muda mref.


..kama wampenda mpenzi wako aliye mbali ni vyema ukapime na uwe wazi kwake kumwambia majibu ili umwokoe...kama yakiwa mabaya..
 
"Mchuma janga, ula nduguze." walitamka wahenga...angalia usije ukamwambukiza na mkeo matokeo yake ukateketeza familia nzima.
 
Acheni unyanyapaaa, huyo mwanamke anaweza kuwa kahaba lakini akawa Ukimwi, afu inategemea kama alilainika vizuri kuna possibility ya kutotokea michubuko ukawa safe japo text time kuwa makini ahahahah



 
uko fresh hujaumia! labda unaweza ibuka na ghono.
 
Ngoma huwa kwa wa2 walioooana na wapenzi wanaoamiana wanaofanya kila siku bila kinga kwa kuaminiana ila kwa hiyo mara 1 na goli enewe limetoka fasta sababu ya uwoga si rahisi ila siku nyingine kama huna mafuta paka hata rosheni au mate/kohozi mashine yako itakusaidia siku nyingine hakikisha utelezi haukauki ukikauka unapaka mate/mafuta tena mbaka unamaliza.
 
We jiulize tu ka ww amekupa bila kinga, wangapi amewapa na pengine kwa kuongeza dau!?
Changanya na zako. We anza kula vizuri, fanya mazoezi na usisahau kuanza dozi mapema.
 
Kitendo cha kutokusimama ilikua ishara tosha hapo kuna umeme. We ukajiingiza kichwa kichwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…