Wale waandishi wajinga wajinga na makada wa CCM mliokuwa mnapotosha ooh Ngasa haja saini Simba wala mkataba wake TFF hawautambui haya sasa angalia kwenye mkataba wa Ngasa hapo pembeni utaona mhuri wa TFF na siku nyingine muuache kubetua ma------ yenu ooh simba wasanii ooh mzee wa pisto msanii...
Wale waandishi wajinga wajinga na makada wa CCM mliokuwa mnapotosha ooh Ngasa haja saini Simba wala mkataba wake TFF hawautambui haya sasa angalia kwenye mkataba wa Ngasa hapo pembeni utaona mhuri wa TFF na siku nyingine muuache kubetua ma------ yenu ooh simba wasanii ooh mzee wa pisto msanii... View attachment 108283 View attachment 108284
Hivi kama TFF wanatambua mkataba wa Simba kuwa halali Ngasa atacheza Msimbazi? Simba kama SACCOS tu. Hivi Malkia anasikika pande za wapi vile? Au anasubiri safari ya kupeleka Sembe arabuni?
Hivi kama TFF wanatambua mkataba wa Simba kuwa halali Ngasa atacheza Msimbazi? Simba kama SACCOS tu. Hivi Malkia anasikika pande za wapi vile? Au anasubiri safari ya kupeleka Sembe arabuni?