Kwa Makanisa yetu Tanzania

Kwa Makanisa yetu Tanzania

Hv mkuu unataka useme hujanielewa au unajitoa akili?

Cathoric Churc ok
"Cathoric Churc" ndo nini mkuu? Unaharibu jina la kanisa bure! Si ungeandika kiswahili - Kanisa Katoliki kama ulikusudia Catholic Church na ukaeleweka?
 
Sawa mkuu ila kanisa katoliki sio dhehebu
Nilichotaka kukuelewesha ni kwamba Catholic halihusu kanisa la Roma ama Holy See peke yake. Orthodox church church of England ama anglican pia wanaitwa wakatoliki. A person who belongs to a Universal Christian church is called a Catholic. Hivyo wewe kama ni mkristu wa dhehebu lolote ambalo halikujitenga na mafundisho ya kanisa la Roma baada ya Reformation unaitwa mkatoliki.
 
Sawa mkuu ila kanisa katoliki sio dhehebu
Nilichotaka kukuelewesha ni kwamba Catholic halihusu kanisa la Roma ama Holy See peke yake. Orthodox church church of England ama anglican pia wanaitwa wakatoliki. A person who belongs to a Universal Christian church is called a Catholic . Hivyo wewe kama ni mkristu wa dhehebu lolote ambalo halikujitenga na mafundisho ya kanisa la Roma baada ya Reformation unaitwa mkatoliki.
 
Mm ni dhehebu la aina hyo nikiona wanalipisha fedha nakaa kimya na sadaka yangu natoa kimya kimya maswala ya mafuta ya pesa mungu akuamlie moyon ingawa haitakiwi mtu alipie
 
Ohala
Sawa mkuu ila kanisa katoliki sio dhehebu
Halafu hao wakatoliki ndiyo walikua ndiyo namba moja kwa biashara wakitumia dini kuchuma pesa na mchezo wao wa kutoza pesa ili kuwaombea wafu ambao wapo purgatory. Sijui kama unalijua hili. Hizi biashara za indulgence ndizo zilishambaratisha kanisa katoliki. Mimi nimezaliwa katika familia inayofuata hilo kanisa lakini sina hakika na mafundisho ya kanisa maana ukisoma katika biblia ambayo nimeisoma na kupata A hakuna pahali Yesu alitisha watu kuhusu moto wa jehenamu kama kuna kuungua zaidi ya ma clerics wetu kututisha. Imani yangu ni moja tu Mungu yupyaila dini ni madeal ya wajanja.
 
Kuombea wafu kwani shiling ngapi msikuze mambo mara ya mwisho 2012 ilikuwa 1000 kusoma pale sasa hiyo jamani kwani mtu unaenda kila siku kutoa? Vitu vingine ni akili ya mtu umeenda ukakuta usivyo vitaka si unaachana nalo unaenda kwingine waulizeni mbeya kila nyumba kanisa mnachangishana baba na watoto tu mvua ikianza inabidi kila mtu awahi ndani kwake kuangalia kama nguo hazilowi na mvua maana paa lenyewe ni kama mti wa mwembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohala

Halafu hao wakatoliki ndiyo walikua ndiyo namba moja kwa biashara wakitumia dini kuchuma pesa na mchezo wao wa kutoza pesa ili kuwaombea wafu ambao wapo purgatory. Sijui kama unalijua hili. Hizi biashara za indulgence ndizo zilishambaratisha kanisa katoliki. Mimi nimezaliwa katika familia inayofuata hilo kanisa lakini sina hakika na mafundisho ya kanisa maana ukisoma katika biblia ambayo nimeisoma na kupata A hakuna pahali Yesu alitisha watu kuhusu moto wa jehenamu kama kuna kuungua zaidi ya ma clerics wetu kututisha. Imani yangu ni moja tu Mungu yupyaila dini ni madeal ya wajanja.
Mkuu unalielewa hili kanisa la Roma na historua yake ama unafikiri tunawaonea? Nimesema mimi mkatoliki lakini si practice maana sina imani na baadhi ya mafundisho yake. Kaangalie kisa cha kusambaratika kwa kanisa kubwa la Roma na kwanini Martin Luther aliwaanika. Hakuna dini hapa duniani isiyoendeshwa kitapeli. Dini zote zina utapeli na kusingizia moto huko maisha baada ya kifo.
 
Mkuu tatizo langu ni kutokariri kifungu. hata hivyo nakwambia tusiwalaumu kwani si wote wana ufahamu, hata wanaosoma wapo wanaodaganyika, kumbuka pia huyu mkosefu wa ndugu zetu(shetani) alimshawishi Hawa akala tunda, licha ya maonyo toka kwa Mwenyezi Mungu. Shetani katika umbo la kibinadamu kwa kushirikiana na mawakala wake wanajitahidi kuharibu nia njema ya kuwepo kwa makanisa, kwa kuweka wadhulumaji wa kondoo za Mungu. katika kitabu cha Ezekiel nimesahau sura ila nadhani ni sura ya kumi na nane, Mungu anasema , tumwambie muovu juu ya uovu wake, asipotubu damu yake itakuwa juu yake, lakin kama hatutamwambia na inaonekana tungeweza kumsaidia basi damu yake itatakwa kwetu. Hapa mkuu nakwambia , badala ya kuwalaumu ni lazima tujitahidi kuwamulikia nuru hii ndogo tuliyonayo dhidi ya udanganyifu unaofanywa na viongozi wao. Wakati ni sasa, sisi ni mawakala wa Bwana, kwa kua ameona vyema kutufumbua sisi, sisi nasi twapaswa kuwafumbua wengine.

ahsante.
Nakubalaiana na wewe kabisa lakini kina nani watakusikia? Hawa watu wanakua kama misukule mkuu ni kama UVCCM ama BAVICHA ukiwaambia wqnasiasa wao matapeli sidhani kama watakuelewa
 
Sheria nyingi sana na kuwa ni kero, michango na SADAKA za kila aina kila kukicha.

Sent using Jamii Forums mobile app


Ulishaenda kanisani ukatozwa kiingilio?


Hivyo viti unavyokalia bila sadaka ungekuwa unakaa wapi? Kiongozi wako anafamilia unafikiri anapata wapi pesa pasipo sadaka yako? Hiloo jengo unafikiri limeshuka mbinguni? Toka umezaliwa siajabu ukijumlisha sadaka uliyotoa ata haitoshi kinanda kimoja cha mil 2.


Injili inatolewa bure lakini Inagarama kubwa sana. Fund raising moja ya harusi unatoa laki lakini sadaka zikiwa tatu kwa jumapili moja at a ukitoa 5000 ni 15000 kwa mwezi ni6000 lakini utalalamika mpaka mishipa ikutoke.
 
Hakuna kulalamika, dawa ni moja tu, HAKUNA KUTOA kama moyo wako haujaridhika.

Karibu madhehebu yote ya kikristo yana mifumo fulani ya kuwadai waumini wake kutoa pesa na mali kama sadaka au michango. Na dini karibu zote huku duniani zinawadai waumini wake kutoa sadaka. Huwezi kukwepa.
 
Back
Top Bottom