Mbasembase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,057
- 4,608
Soma hapa upate kidogo mambo ya kanisa lakoKanisa catholic halijawahi kusambaratika, acha kupotosha!!
The Roman Catholic Church in 1500 - History Learning Site
Soma hapa upate kidogo mambo ya kanisa lakoKanisa catholic halijawahi kusambaratika, acha kupotosha!!
Kilichotokea ina onekana hata wewe hukielewi vizuri. Kwani reformation ya jambo inavyofanyika ina maana ni kwa sababu ya kusambaratika?Ile Reformation unaiitaje mbona mnatetea hata upuuzi. Nimewaambia mkasome historia ya kanisa lenu. Mimi ni mkatoliki na nimefuatilia historia ya Kanisa na huo ndiyo ukweli wenyewe. Utapeli wa kanisa ktk karne ya 16 ilisababisha mpasuko na ndiyo maana unayaona makundi ya Evangalicals na pentekosto sababu hawakukubaliana na usanii wa kanisa katoliki. Sasa hivi hata neno katoliki limeondoa maana yake. Hili ni neno lilitokana na lugha ya kigiriki likimaanisha wafuasi wote wa kristu duniani ni wakatoliki lakini ninyi mnadhani katoliki na sawa na kanisa la roma. Kama mimi napotosha leta ukweli ili tujue ukweli JF kua jukwaa la ma GT
Sawa mkuu. Sijui kama jumuiya ya watu 100 walioweka umoja ukishia kuwa na makundi matatu ambayo hayakubaliani na kile wote walikiamini sijui kiswahili kizuri utaitaje. Kundi likigawanyika unaweza kuliitaje. Maana Martin Luthet alikua Theologian na monk wa nguvu kufikia kujitenga na kanisa na baadae kanisa kumuona adui yao mkubwa sijui hii unaliitaje. Mimi ni mkatoliki lakini ukatoliki wangu unatofautiana na wewe. Mosi nimesima kwao miaka saba hivyo naandika ninachokijua. Huko kuna utapeli mkubwa sana. Mtaendelea kudanganywa na mapadre mkiwaita waseja wakati si waseja. Soma link niliyokupatia usiwe kama ISIS wa katolikiKilichotokea ina onekana hata wewe hukielewi vizuri. Kwani reformation ya jambo inavyofanyika ina maana ni kwa sababu ya kusambaratika?
Na huo upuuzi unaotetewa ni upi?
Ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa kanisa katoliki halijawahi kusambaratika na wala halitasambaratika!
Btw kwa kuwa hili lipo nje ya mjadala uliopo hapa, basi yafaa tuheshimu hilo!
Yapo mengi zaidi ninayoyafahamu zaidi ya hayo yaliyo kwenye hiyo link. Unavyosema jumuiya ya watu 100 then baadae ikatokea mgawanyiko wa makundi matatu , ni kwamba kaa ukijua hata mti unavyokuwa unakuwa na matawi na hayo matawi hayawezi kulingana na pia yanakuwa na ulekeo tofauti ila ikitokea matawi kadhaa yakawa dhaifu basi upepo unapokuja huyavunja na kuyatupilia mbali na shina la mti linabaki likiwa limesimama imara!Sawa mkuu. Sijui kama jumuiya ya watu 100 walioweka umoja ukishia kuwa na makundi matatu ambayo hayakubaliani na kile wote walikiamini sijui kiswahili kizuri utaitaje. Kundi likigawanyika unaweza kuliitaje. Maana Martin Luthet alikua Theologian na monk wa nguvu kufikia kujitenga na kanisa na baadae kanisa kumuona adui yao mkubwa sijui hii unaliitaje. Mimi ni mkatoliki lakini ukatoliki wangu unatofautiana na wewe. Mosi nimesima kwao miaka saba hivyo naandika ninachokijua. Huko kuna utapeli mkubwa sana. Mtaendelea kudanganywa na mapadre mkiwaita waseja wakati si waseja. Soma link niliyokupatia usiwe kama ISIS wa katoliki
Nimekuuliza kuna anayeweza kulisambaratisha Kanisa Katoliki...??? Au maana ya kusambaratisha nini...???Mgeni wa kanisa katoliki nenda kasome 95 theses za Martin Luther ili ujielimishe na uifahamu historia ya kanisa lako kuliko kudhihaki watu wakati hujui lolote.
Reformation gani weye....??? Mihemko ya Luther ndio unasema imesambaratisha kanisa...?? Reformation maana yake ni Matengenezo....Sasa jiulize hayo matengenezo yaliyofanywa na muasi Luther yameishia wapi...zaidi ya mparanganyiko wa wanaojiita Waprotestant...Ile Reformation unaiitaje mbona mnatetea hata upuuzi.
Hapa limekuwa letu...Nimewaambia mkasome historia ya kanisa lenu.
Hapa umekuwa Mkatoliki..ila pale juu umeukana...Ok....nipo na wewe..Mimi ni mkatoliki na nimefuatilia historia ya Kanisa na huo ndiyo ukweli wenyewe.
Kanisa lilisababisha mpasuko..? Upo sawa kweli wewe...???kanisa ktk karne ya 16 ilisababisha mpasuko
Daah!!! Hivyo kwa mujibu wa hiyo historia yako...hao Evangelical na Wapentecoste wametokea baada ya Reformation...??? Hivyo makanisa ya Lutheran na Calvinism yalitokea kipindi gani ???nadiyo maana unayaona makundi ya Evangalicals na pentekosto sababu hawakukubaliana na usanii wa kanisa katoliki.
Upo sawa kweli wewe...? Limeondoa maana yake kivipi...? Inawezekanaje...???Sasai hata neno katoliki limeondoa maana yake.
Hakuna kanisa la Roma ila kuna One and Holy Catholic and Apostolic Church chini ya Baba Mtakatifu Pope Francis Halifa wa Mtume Petro ..Hili ni neno lilitokana na lugha ya kigiriki likimaanisha wafuasi wote wa kristu duniani ni wakatoliki lakini ninyi mnadhani katoliki na sawa na kanisa la roma.
Ni bora ungekuwa unapotosha ili tukunyoroshe ila uliyoandika ni zaidi ya uzuzu na umbumbumbu...Hujui kitu yani hujui chochote...Kama mimi napotosha leta ukweli ili tujue ukweli JF kua jukwaa la ma GT