Kwa Makanisa yetu Tanzania

Kwa Makanisa yetu Tanzania

Unakaribishwa nakwambia mchango wowote ni hiari yako na ni lazima usemwe mwishoni mwa mafundisho kuisha.. michango mingi inawalenga maskini waliokuja kuomba msaada na sio kiongozi.
pongez kwenu wasabato..
sisi huku ba mchungaji mpya akija. anaanza kunona..mkitambi huo..
halafu wanapiga bia hatari
 
Duh pole. mambo hayo hatuna kwa sababu makanisa mengi yanaongozwa na wazee wa kanisa ambao ni waumini wazoefu sio waajiriwa kama hayo makanisa mengine. wazee hao wamelidhika na Mungu alivyowajalia. wanajua, dhuluma kitu kibaya, na ndio wanatusisitiza tusiipende pesa(kuna fungu Kwenye kitabu cha timotheo nimesahau).
 
Mie kwenye sadaka cpangiwi na mtu. Kile moyo ulivyowiwa ndivyo natoa. Mchungaji ukijifanya mjuaji nakuambia ukalete yako

Sent using Jamii Forums mobile app

mkuu karibu sabato hutasikia hizo ngojera za kulazimishwa, unatia kadiri bwana alivyokujalia na si vinginevyo.

Kuna kitu hao wachungaji walazimishaji wanafanya nielewe. Bwana alisema "mchungaji wa kweli huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo". sasa hapo naona hao ni watu wa mshahara, kwani mbwamwitu(watu wabaya au shetani), wakiingilia kondoo husepa zake, kwani kondoo si kitu Kwao zaidi ya kuwakamua.
 
Hakuna Mungu. Kanisa ni cheap therapy for people who can't afford real therapy.

Ukiona wanaleta za kuleta acha kwenda.

Ukienda, utakacholipia kwa kufuata ujinga wa kuamini Mungu ambaye hayupo kitakuwa na gharama kubwa kwako kuliko hiyo sadaka.
 
Duh pole. mambo hayo hatuna kwa sababu makanisa mengi yanaongozwa na wazee wa kanisa ambao ni waumini wazoefu sio waajiriwa kama hayo makanisa mengine. wazee hao wamelidhika na Mungu alivyowajalia. wanajua, dhuluma kitu kibaya, na ndio wanatusisitiza tusiipende pesa(kuna fungu Kwenye kitabu cha timotheo nimesahau).
Duh pole. mambo hayo hatuna kwa sababu makanisa mengi yanaongozwa na wazee wa kanisa ambao ni waumini wazoefu sio waajiriwa kama hayo makanisa mengine. wazee hao wamelidhika na Mungu alivyowajalia. wanajua, dhuluma kitu kibaya, na ndio wanatusisitiza tusiipende pesa(kuna fungu Kwenye kitabu cha timotheo nimesahau).
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" wakristo wengi ni wavivu wa kusoma maandiko ambayo ndio wangepata maarifa yote na ukweli juu ya ukristo, ukweli huo ungewaweka huru dhidi ya wahubiri makanjanja, makanisa ya kikanjanja na huduma zao, pia wangejua namna na makali sahihi pa kumwabudu Mungu ili wapate wokovu, kitendo cha kusubiria siku ya ibada ndio ukasomewe neno kisha kukaririshwa na muhubiri ndio mwanzo wa kutangatanga ktk imani na kubururwa, na mm nasema waburuzwe tu maana hamna namna nyingine! mpk pale watakapoyatafuta maarifa.
 
Mkuu mbona ww na bashite mmepishana kidogo tu, usitake kila mtu ajue kiwango cha uchizi wako..Huelewi hapo au unataka sifaa..
Ngoja nikusaidie japo unatukana. Hakuna dhehebu linaitwa Cathoric ama katoliki bali kuna kanisa linaitwa kanisa katoliki la Roma ama Roman Catholic church. Neno Catholicism lina maana ya muungano wa wakristu. Waanglikana wanaitwa pia wakatoliki. Wasio wakatoliki ni wale waliojitenga wakati wa Reformation. Ukitaka kueleweshwa usikimbilie kutukana maana hakuna anayejua kila kitu ila katika jukwaa kama hili bora uwe mjinga kama mimi kuliko kuwa mpumbavu. Jioni njema
 
Sawa mkuu ila kanisa katoliki sio dhehebu
Ngoja nikusaidie japo unatukana. Hakuna dhehebu linaitwa Cathoric ama katoliki bali kuna kanisa linaitwa kanisa katoliki la Roma ama Roman Catholic church. Neno Catholicism lina maana ya muungano wa wakristu. Waanglikana wanaitwa pia wakatoliki. Wasio wakatoliki ni wale waliojitenga wakati wa Reformation. Ukitaka kueleweshwa usikimbilie kutukana maana hakuna anayejua kila kitu ila katika jukwaa kama hili bora uwe mjinga kama mimi kuliko kuwa mpumbavu. Jioni njema
 
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" wakristo wengi ni wavivu wa kusoma maandiko ambayo ndio wangepata maarifa yote na ukweli juu ya ukristo, ukweli huo ungewaweka huru dhidi ya wahubiri makanjanja, makanisa ya kikanjanja na huduma zao, pia wangejua namna na makali sahihi pa kumwabudu Mungu ili wapate wokovu, kitendo cha kusubiria siku ya ibada ndio ukasomewe neno kisha kukaririshwa na muhubiri ndio mwanzo wa kutangatanga ktk imani na kubururwa, na mm nasema waburuzwe tu maana hamna namna nyingine! mpk pale watakapoyatafuta maarifa.

Mkuu tatizo langu ni kutokariri kifungu. hata hivyo nakwambia tusiwalaumu kwani si wote wana ufahamu, hata wanaosoma wapo wanaodaganyika, kumbuka pia huyu mkosefu wa ndugu zetu(shetani) alimshawishi Hawa akala tunda, licha ya maonyo toka kwa Mwenyezi Mungu. Shetani katika umbo la kibinadamu kwa kushirikiana na mawakala wake wanajitahidi kuharibu nia njema ya kuwepo kwa makanisa, kwa kuweka wadhulumaji wa kondoo za Mungu. katika kitabu cha Ezekiel nimesahau sura ila nadhani ni sura ya kumi na nane, Mungu anasema , tumwambie muovu juu ya uovu wake, asipotubu damu yake itakuwa juu yake, lakin kama hatutamwambia na inaonekana tungeweza kumsaidia basi damu yake itatakwa kwetu. Hapa mkuu nakwambia , badala ya kuwalaumu ni lazima tujitahidi kuwamulikia nuru hii ndogo tuliyonayo dhidi ya udanganyifu unaofanywa na viongozi wao. Wakati ni sasa, sisi ni mawakala wa Bwana, kwa kua ameona vyema kutufumbua sisi, sisi nasi twapaswa kuwafumbua wengine.

ahsante.
 
Back
Top Bottom