Kwa maisha ya sasa sio ya kuokota/ kununua kwa mtu simu aina ya smartphone; ni bora ukaokota 'Nokia Tochi'

Sasa ndio tunafundishana Wizi au?
 
Sasa ndio tunafundishana Wizi au?
JF ni kisima cha maarifa. Hivi vitu uki-google kimoja kimoja vyote vinapatikana. Kwahiyo ukiunganisha ndiyo unapata idea niliyoandika. Kwa mfano tu uokote simu ambayo imetumika kwenye mauaji unafanyaje?
*Utapeleka polisi?
*Utaichukua?
*Utaiacha?
Ukiipeleka polisi walahi ww utakuwa umejitakia msimba mkubwa sana ni x100 ukaiacha yaan usiikote. Hapo ndipo panapokuwa pagumu kuripoti. Hata km ni simu iliyoibiwa polisi lazima wakuwekw lock up na hata akija mwenye simu hana mpango na ww.
Hapo ndipo utakumbuka ule wimbo wa huruma yangu imeniponza sasa machungu ya dunia nayaonja''
Ukikutana na simu ni bora uaiche yaan usiokote.
 
uki upgrade android version IMEI inabadilika, uki root simu kuna option ya kubadilisha peupe kabisaa mi nimebadilisha ya kwangu kama mara tano hivi

IMEI ya repear naweza kutumia hata ya nokia yenye uwezo wa kutumia internet?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…