Kwa Madereva..

Kwa Madereva..

Tulizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
848
Reaction score
664
Inafaa kuwepo ..sahemu zile za nanihiii..

298369_10150330324042898_582767897_8366593_1912286414_n.jpg
 
Hii nimeipenda
ila sidhani kama kuna tangazo la dizaini hiyo.
 
Du ebwana nao wanapewa kipao mbele hee!
 
Hahahahaaaaaaaaa! ya leo kali mkuu, ila ni kweli kwani nao si watu/ kuna tofauti gani kati ya walevi na wasioona ktk kuvuka barabara, nadhani wote wanahitaji kuchukuliwa tahadhari
 
hii inafaa kuwekwa alongside zile za walemavu kuvuka barabara. sijui iliishia wapi ile,siasa bana!
 
Hahahahaaaaaaaaa! ya leo kali mkuu, ila ni kweli kwani nao si watu/ kuna tofauti gani kati ya walevi na wasioona ktk kuvuka barabara, nadhani wote wanahitaji kuchukuliwa tahadhari
walevi/ulevi si ni ugonjwa wa kujitakia au????
 
Watumie jiji la DSM ,Mwanza na Arusha walifanyie kazi hilo ni zuri sana.Lakini je Madreva waTz wanafuata sheria hizo
 
Back
Top Bottom