Kwa madada zangu wote wa mjini

Kwa madada zangu wote wa mjini

Jiepushe na wanaume za watu, onyesha heshima kwa wake zao. Ndoa ni taasisi iliyotengenezwa na Mungu mwenyewe tokea kuumbwa kwa misingi ya Dunia. Usiruhusu mwili wako utumike kuharibu ndoa ya watu.

Usiruhusu mwanamke mwenzako adondoshe chozi lake, alie na kujuta kwanini aliolewa hiyo ni laana kubwa. Najua maisha ni magumu na mnataka kitonga ila Haijalishi ni kiasi gani huyo mwanaume anakusaidia kimaisha, muepuke, sio wako. Tulia na wa kwako na Mungu wetu wa rehema atakubariki. "Karma is a bitch"- kuna wakati wa malipo!

Msije sema sikuwaambia!
Umenena vyema....
 
Cha mtu huliwa na mtu, Kama wanashindwa kuwatuliza waume zao wanazurura hovyo nje wasaidiwe tu kuwatuliza.
 
NI DHAMBI MWANAUME KUWA NA MWANAMKE MMOJA
HATA Mungu hapendi
nahyo mwanamke anaedondosha chozi hyo mwanaume kamuumba?
siku ya mwisho sijui wanaume walio na mwanamke mmoja watajibu nini kwa Mungu ndo alichowatuma? ndo kazi aliyowapa kumtunza mwanamke mmoja tu?
ole wenu
Mkuu nisaisie, Mungu aliagiza Wap wanaume wawe na mwanamke zaid ya mmoja?
 
Idadi ya wanawake ni kubwa kuliko ya wanaume, sasa wengine waende wapi? Tubanane tu hakuna namna. Anayetaka wa peke yake achore hapo chini..
 
Back
Top Bottom