Kwa madada na makaka

Kwa madada na makaka

Hajui kama siku hizi mbunye mnauza......

hahaha wee noma. yaani wanawake hapa wamepist utumbo tuu na kurukaruka ukweli kuwa wanauza papuchi. wanafiki hao wanashindwa ata sema ukweli.
 
Siyo kila anaekujibu ana mtu wake ni kweli kuwa ana mtu, hilo ni moja ya jibu kwa mkaka usiyemuhitaji. Sasa wee badala ya kujichunguza kwanini ukataliwe kwa sababu hiyohiyo, we unawaza madada wapo wengi zaid ya wanaume. Kalagabaho!

sio kila wakati mwanamke anaposema nina mtu huwa labda hamuitaji huyo kaka, wakati mwingine ni swaga za ku-buy time(hard to get) na mkaka huyo aendelee kushuka mistari na baada ya muda fulani atakubaliwa.
 
ladies weng huwa wanafanya hvi ili kujua kweli una nia uendelee kukomaa lakin inategemea na characters za mtu. Kuna wengne ukishamwambia nina mtu basi anaheshimu hiyo kauli na hatarud tena. Sasa kama ulikuwa unamdanganya kumbe nawe unampenda ndo unaanza kujigonga kwake sasa tutext twa mara kwa mara ili uone kama atakutongoza tena

Ladies mnapenda drama sana, tunapotezeana mda.
 
sio kila wakati mwanamke anaposema nina mtu huwa labda hamuitaji huyo kaka, wakati mwingine ni swaga za ku-buy time(hard to get) na mkaka huyo aendelee kushuka mistari na baada ya muda fulani atakubaliwa.

Sijajumuisha wote, elewa maana ya maneno "siyo kila" hapo mwanzo.
 
Back
Top Bottom