Kwa madada na makaka

Kwa madada na makaka

Swaga unatupia vingi pesa maneno eneo la mtongozo.. approach yako action zako .... si unanitongozea barabarani unategemea nikujibu nini? Au unaandika sms kama kitabu babu wewe mpesa isome kwanza ndiyo tupeane.maelezo

nyingine mbwembwe tu...mpango mzima huo
 
Pole kwa swaumu

nashangaa sana hili jambo inajulika madada wapo wengi zaid ya wanaume sasa kila demu nae m aproch anasema ana mtu kila demu ana mtu wake cmbaya lkn chakushangazaa vijana wanadai wako single hii inamaanisha KILA MWANAUME ANA MADEMU WENGI ILA MADEMU HAWAJALITAMBUA HILO

Mabibi ndio wako wengi sio madada. Hawa mabibi ndio wanao ongeza idadi ya wanawake kuonekana ni wengi kwa kuwa wanawake wanaishi muda mrefu so usijidanganye mko wachache mko wengi vijana ila above 70 yrs mko wachache sana!
 
Pole kwa swaumu

nashangaa sana hili jambo inajulika madada wapo wengi zaid ya wanaume sasa kila demu nae m aproch anasema ana mtu kila demu ana mtu wake cmbaya lkn chakushangazaa vijana wanadai wako single hii inamaanisha KILA MWANAUME ANA MADEMU WENGI ILA MADEMU HAWAJALITAMBUA HILO

kijana akikwambia yupo single hamaanishi hana mtu... anaweza kuwa na mtu tena zaidi ya mmoja but in an open relationship, no string attached na hiyo vijana wengi ndo tunaipenda!!!
 
Siyo kila anaekujibu ana mtu wake ni kweli kuwa ana mtu, hilo ni moja ya jibu kwa mkaka usiyemuhitaji. Sasa wee badala ya kujichunguza kwanini ukataliwe kwa sababu hiyohiyo, we unawaza madada wapo wengi zaid ya wanaume. Kalagabaho!

kabisaaaaaaaaaa kutoziumiza hisia zake unaona bora umwambie nina mtu kuliko umwambie ukweli kuwa huna vigezo/sifa nazotaka
 
Hebu jiangalie tatizo liko wapi si ajabu wanakukataa kistaarabu.
 
kabisaaaaaaaaaa kutoziumiza hisia zake unaona bora umwambie nina mtu kuliko umwambie ukweli kuwa huna vigezo/sifa nazotaka

Umeona eee! Yani mtoa mada ajipange, yeye amekariri tu wanawake wengi kuliko wanaume basi anajua hiyo ndo tiketi ya kuwapata.
 
  • Thanks
Reactions: lin
Ndo maana binafsi niliamua kutumia njia ngumu kumpata aliyeumbwa kwa ajili yangu,vinginevyo, ningejikuta "nimeoa mke wa mtu" bila kujua,ASANTE YESU KWA MKE ULIYENIKIRIMIA,TUSAIDIE KUTIMIZA KUSUDI LAKO KWA MUDA ULIOTUPA WA KUKAA HAPA DUNIANI!
 
Back
Top Bottom