Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Dah huyu ni mtu kabisa, naonaga ajabu kabisa watu ( DRC, CAMEROUN) wanaowala hao, si wanakula watu kabisa jamani
'Ila kirungu kakificha na mkono'Duh, ana bonge la kibubu cha kuhifadhia mbegu za kiume...!
Yani, halafu huzuni kweli yani kumchinja kiumbe kama hyo ni ukatili wa hali ya juu!Dah huyu ni mtu kabisa, naonaga ajabu kabisa watu ( DRC, CAMEROUN) wanaowala hao, si wanakula watu kabisa jamani