Kwa Lissu hii inasikitisha sana aisee

Kwa Lissu hii inasikitisha sana aisee

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
4,814
Reaction score
9,034
Chama cha CCM kabisaaa jueni hiloo hiki chama sina kadi ila nakipendaga tokea niwe mdogo japo baba yangu hakipendi na alikufa akisema hiki chama hakuna kitu . Sasa niliamua kukipenda pindi lowassa alipo shindwa kuwa raisi kupitia chadema nikaona niwe tu huko ila leo nimekwazwa why .

MNAMTESAJE MWENZENU HIVI

View: https://www.facebook.com/share/v/182BUo38jj/ not good God is watching.
 
Hawa kunguni wa kumsifu mama TOT bendi ya CCm ndio tatizo.
IMG_1722.jpeg
 
Chama cha CCM kabisaaa jueni hiloo hiki chama sina kadi ila nakipendaga tokea niwe mdogo japo baba yangu hakipendi na alikufa akisema hiki chama hakuna kitu . Sasa niliamua kukipenda pindi lowassa alipo shindwa kuwa raisi kupitia chadema nikaona niwe tu huko ila leo nimekwazwa why .

MNAMTESAJE MWENZENU HIVI

View: https://www.facebook.com/share/v/182BUo38jj/ not good God is watching.

Ccm wanajikuta Mungu ni wa kwao peke yao.

Kitaeleweka tu mWaka huu
 
Chama cha CCM kabisaaa jueni hiloo hiki chama sina kadi ila nakipendaga tokea niwe mdogo japo baba yangu hakipendi na alikufa akisema hiki chama hakuna kitu . Sasa niliamua kukipenda pindi lowassa alipo shindwa kuwa raisi kupitia chadema nikaona niwe tu huko ila leo nimekwazwa why .

MNAMTESAJE MWENZENU HIVI

View: https://www.facebook.com/share/v/182BUo38jj/ not good God is watching.

Ye si alijonadi kwamba haogopi chochote!! Lazima akili imuingie, anadhani mashabiki kujaa mahakamani labda watasaidia, hamna kitu, wakitoka hapo wanakwenda makwao kulala usingizi saaafi ye anadhani wanamkubali anakomaza komwe!!
 
Kumbuka ukombozi haujawahi letwa na watu waoga kama ww ambaye hujui chochote zaidi ya kusifu tu.
 
Back
Top Bottom