Mbona hata diamond alishangiliwa sana kuliko lowassa? Kwanini ccm isimsimamishe diamond Kama ticket ya kugombea urais ni kushangiliwa?
Hao wamekula hela zake lazima wazilipe kwa style hiyo.
Labda Rais wa mafisadi mtu aliyemchafu kuliko wote kwa wizi na ufisadi leo awe rais kwa mpango gani kwa kipi.kwa takwimu za mikoa wilaya ukichanganya na wajumbe wengi wa NEC ukijumlisha na wabunge 150 waCCM walioapa kwenda kumchukulia fomu
Komba- "lowasa ni jembe"
Zungu-"lowasa ni mchapakazi"
lugola-"lowasa ni kiongozi"
Songea ulishangiliwA sana ni ishara kwambaunakubali by Kapten John Komba
Upo tena hauna shaka sema unataka wa aina gani watu wakupe.unaushahidi mkuu aliwapa pesa uwanja mzm pale songea uliona alivoshangiliwa read btn the lines sio kuropoka tu
unaushahidi mkuu aliwapa pesa uwanja mzm pale songea uliona alivoshangiliwa read btn the lines sio kuropoka tu
Nchi haiwezi kuongozwa na wezi na mafisadi.unaushahidi mkuu aliwapa pesa uwanja mzm pale songea uliona alivoshangiliwa read btn the lines sio kuropoka tu
Mie pia nasema Lowassa ni Nyundoooo.....2015 ni EL tu...full stop...we closed the book..!!!
Tena wanaumwa kweli siyo kidogo madhambi ya lowasa leo wanajifanya hawayaoni kweli.Eti Lowasa
Kuna watanzania nina imani kubwa watakuwa wana ugonjwa wa kusahau
Kuna biashara gani ikulu