Kwa Kutumia Numerology Simba Kesho itashinda

soma paragraphy ya mwisho kwanza
Kwenye mpira siamini kabisa kwenye hayo mambo na hayana msaada wowote. Mpira unahitaji maandalizi,mbinu na resources. Ndio maana nikakupa mfano wa Morocco na Stars, maana wapo walioleta hoja kama zako.
 
Mtahesabu hadi vidole lakini kipigo kipo pale pale, uzuri derby hii haina sare, lazima mmoja anyolewe na msumeno
 
Kwanza umekosea numerology ya Young Africans ni 4 na wala sio 3 kama ulivyosema wewe.

Utabiri haubebwi na kigezo cha numerology peke yake bali inabebwa na nyota zinazotawala kwa siku hiyo

Kulingana na mpangilio wa nyota na sayari tarehe 16 Septemba 2025 saa ya mechi:

Virgo (Jua) 👉 linaipa nguvu Yanga: nidhamu, mpangilio, na tactical control.

Aquarius (Mwezi) 👉 inaleta mshangao, lakini pia Pluto & Uranus zipo huko, zikimaanisha “mabadiliko makubwa” → hii mara nyingi huipa faida upande unaocheza kwa uangalifu (Yanga).

Venus kwenye Leo 👉 inatoa morali kwa Simba, lakini hii ni zaidi ya “shoo” na confidence, sio nguvu ya kuamua matokeo makuu.

Utabiri wa moja kwa moja:

Yanga wana nafasi kubwa kushinda mechi hii kwa mpangilio na nidhamu yao.
Tuko pale tunasubiri
 
Ukitaka kujua kutabiri michezo kazi ngumu , mpe mtabiri kazi ya kuchapa mikeka wiki tatu tu 😁
 
Kwanza umekosea numerology ya Young Africans ni 4 na wala sio 3 kama ulivyosema wewe.

Utabiri haubebwi na kigezo cha numerology peke yake bali inabebwa na nyota zinazotawala kwa siku hiyo

Kulingana na mpangilio wa nyota na sayari tarehe 16 Septemba 2025 saa ya mechi:

Virgo (Jua) 👉 linaipa nguvu Yanga: nidhamu, mpangilio, na tactical control.

Aquarius (Mwezi) 👉 inaleta mshangao, lakini pia Pluto & Uranus zipo huko, zikimaanisha “mabadiliko makubwa” → hii mara nyingi huipa faida upande unaocheza kwa uangalifu (Yanga).

Venus kwenye Leo 👉 inatoa morali kwa Simba, lakini hii ni zaidi ya “shoo” na confidence, sio nguvu ya kuamua matokeo makuu.

Utabiri wa moja kwa moja:

Yanga wana nafasi kubwa kushinda mechi hii kwa mpangilio na nidhamu yao.
Mkuu naweza kukufata in box?
 
Uchawi ni ujuzi wa kutumia dawa au vitabu maalum vya uganga ili kuleta MADHARA kwa viumbe
Vitabu vya uganga vipoje hivyo? Kama ujuzi wa kutumia dawa ni uchawi, basi uchawi ni kitu kizuri na chenye manufaa kwasababu hata madaktari ni wajuzi wa kutumia dawa. Naomba nipe elimu kuhusu vitabu vya uganga
 
Kuna neno MADHARA usilifumbie macho
 
Kuna neno MADHARA usilifumbie macho
Kwani daktari anapotumia dawa vibaya haileti madhara? Dawa za kutoa mimba je? Hivyo hata madaktari ni wachawi pia kama kwa tafsiri yako.
 
Acha sugar coating, uchawi haupo kwa ajili ya kusaidia bali uharibifu ndio maana hata wayafanyayo huyafanya kwa kificho/gizani.
 
Nimeomba utoe definition ya uchawi kwanza kabla ya kutoa malengo ya uchawi. Pengine hata waliojiita mitume na manabii walifanya uchawi ambao watu wakauita miujiza. Tuanze na definition ya uchawi
 
Acha sugar coating, uchawi haupo kwa ajili ya kusaidia bali uharibifu ndio maana hata wayafanyayo huyafanya kwa kificho/gizani.
Mimi nilifundishwa eti, UCHAWI ni uwezo wa ajabu anaokuwa nao mtu kwa kuzaliwa nao ama kufundishwa, na sio kwaajili ya kudhuru. Lakini anaopoutumia vibaya, kwa kudhuru ama kuangamiza wengine haitwi tena mchawi bali anakuwa MLOZI. Lakini ataitwa mchawi kutokana na asili. Kama kabila tu umezaliwa arusha unaongea kichaga lakini asili inabaki kuwa wewe ni MJARUO. Mimi sio mjuzi hata alienielekeza sikumwelewa bali nilikalili hivyo sitaki maswali...
 
Back
Top Bottom