Kwa Kumsaidia Utamwambia Maneno Gani??


V

vunjajungu

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Messages
578
Points
195
V

vunjajungu

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2011
578 195
Nitamwambia "dada umejing'ata"
 
V

vunjajungu

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Messages
578
Points
195
V

vunjajungu

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2011
578 195
Kuna bwana mmoja kanzu ilimuingia ivo,mwenzie akaona njia ya kumsaidia ni kuichomoa,jamaa kwa hasira akamkunja na kumwambia kwa nini uniguse kanzu yangu?mwenzie akamwambia samahani basi ngoja niirudishie ilivyokua!you can guess nn kilitokea!
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,733
Points
2,000
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,733 2,000
aisee siunauchomoa tu akikasirika unaurudishia kiroho safi..
 
Komeo

Komeo

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2011
Messages
2,476
Points
1,500
Age
29
Komeo

Komeo

JF-Expert Member
Joined May 3, 2011
2,476 1,500
Nitamuambia, "ichomoe".
 
UNDENIABLE

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
2,305
Points
1,500
UNDENIABLE

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
2,305 1,500
nitamwambia:
anti una shepu!!??
 
chopeko

chopeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Messages
1,484
Points
1,500
chopeko

chopeko

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2012
1,484 1,500
Kama wewe ni mwanaume na umeona kitu hicho, kimaadili hutakiwi kuingilia. Ila kumsaidia unatafuta mwanamke na kumwomba ampashe habari mwenzake. Hiin kitu ilishanitokea kanisani, nikajifanya sijaona kitu ila nilimkonyeza mama mmoja pembeni yangu asaidie!
nice approach..!!!!!!
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,256
Points
2,000
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,256 2,000
Unamwambia " dada redio imekula kanda".
 
Chakuchambuka

Chakuchambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Messages
343
Points
0
Age
27
Chakuchambuka

Chakuchambuka

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2012
343 0
Namdondoshea k2 aokote akiinama kuokota na kisha kuinuka mnato utamwingia vzur so atachomoa mwenyewe.....
 
BJBM

BJBM

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Messages
572
Points
250
BJBM

BJBM

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2011
572 250
Hiko huwa kinaitwa KIPWINTO, ukiona hivyo unamtafuta mtu wa jinsia yake alyepo karibu ili akamtoe na kama hamna huwa natulia kimya kiroho safi..
 
grafani11

grafani11

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2011
Messages
15,526
Points
1,500
grafani11

grafani11

JF-Expert Member
Joined May 24, 2011
15,526 1,500
Ayaaaaa deki imemeza CD, halafu picha lenyewe la kiliberali.
 
grafani11

grafani11

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2011
Messages
15,526
Points
1,500
grafani11

grafani11

JF-Expert Member
Joined May 24, 2011
15,526 1,500
Kuna bwana mmoja kanzu ilimuingia ivo,mwenzie akaona njia ya kumsaidia ni kuichomoa,jamaa kwa hasira akamkunja na kumwambia kwa nini uniguse kanzu yangu?mwenzie akamwambia samahani basi ngoja niirudishie ilivyokua!you can guess nn kilitokea!
You made my day mkuu.
 
zimwimtu

zimwimtu

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Messages
1,980
Points
2,000
zimwimtu

zimwimtu

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2012
1,980 2,000
jaman, hii si night dress mtu kavaa anataka kujitupa kitandani!! sasa arekebishe ya nin!!
 
kadakokigondile

kadakokigondile

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2013
Messages
1,712
Points
1,195
kadakokigondile

kadakokigondile

JF-Expert Member
Joined May 17, 2013
1,712 1,195
Ahh jamani umekalia super glue!!!!!!!!!!!
 
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2008
Messages
3,614
Points
1,225
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2008
3,614 1,225
hahaahahaaa mkuu juzi tu hapa nilikuwa nasubiri neema ya NECTA mke ntamtoa wapi mimi asee!!!!!
Ahaaaa kumbe nyie ndo wale ambao matokeo yenu wameya standardize?!
 
Jimjuls

Jimjuls

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Messages
466
Points
225
Age
30
Jimjuls

Jimjuls

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2011
466 225
Hiyo si ndio Physics mkuu.....''all bodies\objects are attracted towards the centre of gravity'':lol:
 

Forum statistics

Threads 1,284,828
Members 494,294
Posts 30,841,583
Top