Kwa Kumsaidia Utamwambia Maneno Gani??

kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
36,235
2,000
umwambie yanini wakati anakisogelea kitanda hapo....ataenda ondolewa huko kwa kitanda....!!:nod:
 

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,262
2,000
Kama wewe ni mwanaume na umeona kitu hicho, kimaadili hutakiwi kuingilia. Ila kumsaidia unatafuta mwanamke na kumwomba ampashe habari mwenzake. Hiin kitu ilishanitokea kanisani, nikajifanya sijaona kitu ila nilimkonyeza mama mmoja pembeni yangu asaidie!
 
Top Bottom