Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,397
Kwa Kuitambua Thamani ya Wanawake wote Duniani, Wimbo huu ukawe faraja na ukawape Nguvu na kuwatia Moyo wanawake wote ambao pengine walikata tamaa.
na kuamini kuwa kamwe hawatoweza kufanikiwa katika Mambo Yao ... Wimbo huu pia Ukafute unyanyasaji wa kijinsia.
na ukabadilishe mtazamo kwenye jamii na wote tuamini kuwa wanawake wanaweza... Nyimbo hii ikawe ni Fahari ya Kila Mwanamke anaeamini Anaweza! anaeamini kuwa yeye ni Mwanamke Shujaa !!!!
Tizama Kupitia link hapo chini
Sent using Jamii Forums mobile app