Kwa kipimo hiki naghairi ndoa, sioi tena


uamuzi unao Mwenyewe
 

We jamaa dhaifu sana

Ushahidi concrete ili iweje?? Awafurahishe ndugu au

Kwani huo ushahid hautoshi?
 
Soma kisa Cha jamaa mmoja anajiita Koroe
 
Achana na huyo mchumba wako kwa maslahi mapana ya huto binti wa watu.

Ujaribu tena ukishakua tayari kuoa na kukomaa kidogo. Achana na mabo ya kuoa kwa sasa.

Hivi akijakumtafuta huyo jamaa yake wa zamani na iksonekana hakufanya chochote ila ni njama zako, si wewe ndio utaonekana kituko?

Hauoni aibu hata kuitisha watu kikao cha kuvunja uchumba na kutoa hayo maelezo?
 
Hilo ndio tatizo la mademu wa kuokoteleza mitaani. Fukuza hilo ni jinamizi mkuu. Unaweza kuta huyo ex wake ni mimi
 
Mkuu hio namba mpya ulotumia ulisajili kwa jina gani?? Hayo umeyataka mwenyewe yani mimi nilishasema ntamwacha mama junior pale nikapomwona live anagongwa na njemba nyingine hapo ntampa talaka otherwise beer tamu
 
Kama tayari ushaona na umesema mwenyewe kuwa unaweza ukamaliza gunia la mkaa kwa KUUA mtu naona Bora uachane naye tu,usije ukaja kuua kweli Cha msingi tenga Tena muda wako na ujipange utapata unayemtaka kiongozi...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…