Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,464
- 1,079,704
Jokajeusi akiwa anasema muoe mabikra muwe mnaelewa
Ma-ex huwa wanaachana kama mwanamke ana msimamo. Ila kama hana msimamo na jamaa akawa ni player/manipulator/narcissist ndo hivyo tena jamaa ataendelea kupasha kiporo tu mpaka utimilifu wa dahari.
Huyu wa kwako inaonekana ana bond sana na huyo jamaa yake pengine kwa kuwa walishiriki dhambi ya mauaji ya kiumbe kisicho na hatia; na dhambi hiyo imewafunga pamoja...damu!
Ila nikuulize kitu: ulipokuwa umekomaa kufanya huu upelelezi wako, ulikuwa umejiandaa vizuri kisaikolojia? Ulikuwa tayari kwa maumivu ambayo ungeyapata? Sasa ulichokuwa unakitafuta umekipata, then what?
Kwa hali ya sasa kama binti hujamkuta bikra basi ni kufumba macho tu vinginevyo hutaoa wala kujiingiza kwenye mahusiano yenye malengo. Inabidi uwe na kifua hasa na mwanamke asipokuwa mpumbavu kama huyo wa kwako akajiheshimu angalau kipindi hiki cha uchumba na mwanzoni mwanzoni wakati ndoa bado tamu ndo kabisaaaaaa!
Pole sana lakini ni afadhali umegundua mapema japo sidhani kama ulikuwa tayari. Tulizana sasa ili usije ukafanya jambo la kijinga (zaidi). Kama ni Mkristo rudi kwa Mungu uanze kusali sana Roho Mtakatifu Akusaidie. Hata kama una mtu wa makamo unayemwamini (mchungaji, baba, rafiki wa kweli, mjomba...) anaweza kukusaidia sana.
Kuna mwenzako hapa pia aliwahi kutatanika sana na hizi ndoa za kizazi hiki:
#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani

Kuna sababu gani mimi kuoa?
Salaam wanajukwa, Ijumaaa hiyo kwa wale wenzangu na mimi ambao Magufuli hajatuathiri sana tukutane. Niende kwenye mada moja kwa moja. Nimekua nikisoma story za watu nimekua nikishudia mwenyewe. Hata wewe unaesoma hapa na mpenzi wa jukwaa hili jaribu kupitia Thread za huku. Nyingi ni...
www.jamiiforums.com
#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani