Tuombeane Mungu kuanzia tarehe 03 na kuendelea tukijaaliwa uzima tutakutana hapa ,kila mmoja atakuja na majibu ya kilichotokea .Ujinga nao kipaji. Mnaodhani hii nchi ni nyepesi poleni sana. Hamtaamini tarehe 29 kitakachotokea.
Cha muhimu usikimbie. Utaishia kutukana tu. Tanzania kwa sasa haina nafasi ya kupita njia hiyo mnayoifikiria. Nakuhakikishia kwa 💯•Tuombeane Mungu kuanzia tarehe 03 na kuendelea tukijaaliwa uzima tutakutana hapa ,kila mmoja atakuja na majibu ya kilichotokea .
Mkuu hii issue iko seriously sana kwenye vitendo vya usalama pengine kuliko ilivyo seriously kwa raia .
Ukitaka kunielewa angalia hata maandalizi yanayofanywa yatakuoa picture, sikulazimishi kuelewa.
Mwanzo nilikuwa na mawazo kama yako ,mwanzo nilitegemea hii hali inaweza kuwa nimikwara tu ya ma keyboard warrior ila kwasasa kwa namna ya mambo yalivyo mmmh! Kuna kaaina fulani kahofu kananiingia ,sitatamani kukulazimisha ila tar 29 hali inaweza isiwe nzuri .😂 Utoto raha sana
Aisee kwenye kukimbia naweza nisikimbie ila family kesho lazima nikaihifadhi mahali , No sihitaji ushuhuda zaidi , ukipuuza niuamuzi wako .Cha muhimu usikimbie. Utaishia kutukana tu. Tanzania kwa sasa haina nafasi ya kupita njia hiyo mnayoifikiria. Nakuhakikishia kwa 💯•
Usikimbie hapa jukwaani sio kwako. Kwenye masuala ya kiusalama hakunaga puuzo ndio maana unaona hivyo ila sahau hicho unachokifikiria. Tukutane shamba la bibi trh 6-1-11-25Aisee kwenye kukimbia naweza nisikimbie ila family kesho lazima nikaihifadhi mahali , No sihitaji ushuhuda zaidi , ukipuuza niuamuzi wako .
Mwanzo nilidhani hii battle ni ya raia pekee ,No mambo ni tofauti sana
October 29 ni siku ya shetani kuanguka.Ujinga nao kipaji. Mnaodhani hii nchi ni nyepesi poleni sana. Hamtaamini tarehe 29 kitakachotokea.
You will be highly disappointedOctober 29 ni siku ya shetani kuanguka.
Hata wewe unayo mashaka...kwamba hali "inaweza" isiwe nzuri.Mwanzo nilikuwa na mawazo kama yako ,mwanzo nilitegemea hii hali inaweza kuwa nimikwara tu ya ma keyboard warrior ila kwasasa kwa namna ya mambo yalivyo mmmh! Kuna kaaina fulani kahofu kananiingia ,sitatamani kukulazimisha ila tar 29 hali inaweza isiwe nzuri .
Tutakumbushana inshallah Mungu akitujaalia uzima
Yule nu ibilisi kabisaOctober 29 ni siku ya shetani kuanguka.
Ikiwa kama ulivyo ielezea itashusha sintofahamu iliyopo kwa kiasi kikubwa sana.Wazee Maza hana safari , sijui nini kitakachotokea ila tuliombee Taifa .
Maza kwanini asikubali tu ,maana naona dah! , kilichoniogopesha ni wale ambao hawatakuwa makazini nao wameapa kuwa watakuwa kwenye disco vumbi aisee
Binafsi sikutarajia