Kwa kina dada tu

Kwa hiyo na wewe ndo zako kupewa elfu mbili...itakuponza siku moja

ah mie nilishapitia hayo na goma langu wala hamna kumlipa...she just had a sense of adventure or shuld i say she was a nawty one. eager to try diferent things....my daughter nakushauri nendda na kidume wako siku ujaribu utaniambia lol
 
Jana nilikuwa cocobeach nikakuta akina dada wenzangu wamevua nguo nikidhani wanajiandaa kuogelea...baadae nikakuta wanaume wengine wanafunga zipu zao kwa mbele...nikasita kwenda...kurudi nyuma nikakuta condom 4 zilizotumika zikiwa na kiwango kikubwa cha ukame. hivi tunakwenda wapi sasa? wenzangu walilegeaaa mpaka nikawaonea huruma. Hadi cocobeach tunatoa penzi kweli? hebu tutafute sitiri jamani lol!
Morals and values and up bringing .if you don't value your body no body will . My body is a temple of God only my husband deserve it .
 
kwa mwanaume ch*pi haina thamani? Au hana cha kuficha chenye thamani?

Umeona eeh!
Kwa mwanaume ni sifa, kwa mwanamke umalaya.
Lkn pia hata hao wanawasagia wenzao, wameanza sex wakati wanadate (b4 ndoa); sasa kufanyia chumbani sijui ndio sio dhambi? To me kama nimeamua kutenda dhambi bora iwe exciting au yenye faida kuliko boring n unprofitable dhambi kama kusema Uongo!
 
ah mie nilishapitia hayo na goma langu wala hamna kumlipa...she just had a sense of adventure or shuld i say she was a nawty one. eager to try diferent things....my daughter nakushauri nendda na kidume wako siku ujaribu utaniambia lol

Coco kwenyewe kuchafu vile na miharufu kibao sasa utafurahia nini..labda beach nyingine....kama Miami hivi..
 
Hah! Yaelekea Coco ishakua Ohio, maana hii post ya pili naiona jamvini kwa watu wawili tofauti kuzungumzia ngono zembe za mchangan cocobeach. Mmh! Sio mahala pakwenda huko tunatiana aibu tu.!!
 
Jana nilikuwa cocobeach nikakuta akina dada wenzangu wamevua nguo nikidhani wanajiandaa kuogelea...baadae nikakuta wanaume wengine wanafunga zipu zao kwa mbele...nikasita kwenda...kurudi nyuma nikakuta condom 4 zilizotumika zikiwa na kiwango kikubwa cha ukame. hivi tunakwenda wapi sasa? wenzangu walilegeaaa mpaka nikawaonea huruma. Hadi cocobeach tunatoa penzi kweli? hebu tutafute sitiri jamani lol!
We mbona mbaguzi na sie Wanaume wacha tuchangie kidogo wewe si umesema unataka single humu jf , huyo aliyefungua zipu atakuwa ni member mwenzako naye alikuwepo huko anaitwa C.T.U. naye alikuwepo hapo
 
nilisema mimi nikaonekana sina akili wengine wakaniambia kuwa baharini watu wanabebana
 
elfu kumi kwako ndogo kwani wewe umezoea huwa unapewa shilingi ngapi? mimi ukija kwangu sikupi zaidi ya alfu mbili, kwani starehe si ya kwetu wote, we huoni starehe hadi nikupe hela yote iyo?

Hapo umenena kwanza ingekua mimi sikupi hata piii kwani wote si tunainjoi
 
they are not engaged ndugu yangu ni njaa zetu tu hizi. Wakaka nawafahamu mie, they are so bad guys...wakaka siwaonei huruma they cheat a lot watoto wadogo wanawa do wanawapa elfu kumi kweli? wakaka muone aibu jamani lol!

Mbona dau kubwa sana hilo!ni huduma ya fasta coco au usiku mzima?
 
hapo patam....inaonekna na ww ulikuwa unahitaji huduma au wewe ndo muhusika kwa sababu unavyoelezea duhhh....balaa ngoja leo niende kahumba...nikajizoleeee
 
hahha kahumba ya matombo hahah pale hatari nasimia ukikaa vibaya unaibiwa hivi hivi. noma pale nilipitaga mara chache kha
 
Jana nilikuwa cocobeach nikakuta akina dada wenzangu wamevua nguo nikidhani wanajiandaa kuogelea...baadae nikakuta wanaume wengine wanafunga zipu zao kwa mbele...nikasita kwenda...kurudi nyuma nikakuta condom 4 zilizotumika zikiwa na kiwango kikubwa cha ukame. hivi tunakwenda wapi sasa? wenzangu walilegeaaa mpaka nikawaonea huruma. Hadi cocobeach tunatoa penzi kweli? hebu tutafute sitiri jamani lol!
na wewe ulikuwa kwenye mission hizo, hizo nini?
 
Umeona eeh!
Kwa mwanaume ni sifa, kwa mwanamke umalaya.
Lkn pia hata hao wanawasagia wenzao, wameanza sex wakati wanadate (b4 ndoa); sasa kufanyia chumbani sijui ndio sio dhambi? To me kama nimeamua kutenda dhambi bora iwe exciting au yenye faida kuliko boring n unprofitable dhambi kama kusema Uongo!
Hahaha!! Jf is never boring!!
napita tu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom