Kwa kina dada tu

HRM

Member
Jan 31, 2012
16
1
Jana nilikuwa cocobeach nikakuta akina dada wenzangu wamevua nguo nikidhani wanajiandaa kuogelea...baadae nikakuta wanaume wengine wanafunga zipu zao kwa mbele...nikasita kwenda...kurudi nyuma nikakuta condom 4 zilizotumika zikiwa na kiwango kikubwa cha ukame. hivi tunakwenda wapi sasa? wenzangu walilegeaaa mpaka nikawaonea huruma. Hadi cocobeach tunatoa penzi kweli? hebu tutafute sitiri jamani lol!
 
Kwanini usiwaonee huruma wakaka? Why wadada?
Kwani wadada hawaoni utamu? Au wao hawapendi adventure?

Au ni wakaka tu wanaruhusiwa kuwa wild? Sasa wanakuwa wild na kina nani, wanaume wenzao?

What if they are engaged au hata wanandoa?
 
they are not engaged ndugu yangu ni njaa zetu tu hizi. Wakaka nawafahamu mie, they are so bad guys...wakaka siwaonei huruma they cheat a lot watoto wadogo wanawa do wanawapa elfu kumi kweli? wakaka muone aibu jamani lol!
 
Hao mabinti ndio hamnazo kwann wakubali kuvuliwa ch*p huko mchangani,thaman yao ndo hyo level za kwenye michanga chapuchapu .wangefaham thamani yao wasingekubal kutumiwa ka chipsi funga
 
Uliwauliza au ni assumption tu?

Mdada ambaye hajabakwa is equally guilty kama mkaka!

Hao wanaume wanacheat na nani?

Prostitution sio soln pekee ya hali ngumu ya maisha.
 
they are not engaged ndugu yangu ni njaa zetu tu hizi. Wakaka nawafahamu mie, they are so bad guys...wakaka siwaonei huruma they cheat a lot watoto wadogo wanawa do wanawapa elfu kumi kweli? wakaka muone aibu jamani lol!
elfu kumi kwako ndogo kwani wewe umezoea huwa unapewa shilingi ngapi? mimi ukija kwangu sikupi zaidi ya alfu mbili, kwani starehe si ya kwetu wote, we huoni starehe hadi nikupe hela yote iyo?
 
acha ubahiri mwanaume! upanuliwe tu jamani aaah ona aibu! lol
 
Hahahahah jamaa kazoea kutoa buku2 anakula mzigo kwa raha zake,bt wanatofautiana viwango kuna wa buku,wekundu,wa starlet n.k so wala kutokana na mfuko wako
 
Hao mabinti ndio hamnazo kwann wakubali kuvuliwa ch*p huko mchangani,thaman yao ndo hyo level za kwenye michanga chapuchapu .wangefaham thamani yao wasingekubal kutumiwa ka chipsi funga

Nimeyapenda sana haya maneno yako, ch**pi inaficha kitu cha thamani sana kwa mwanamke.
 
jinsia ya kike bwana ........ hii ndio sababu ya kutojituma na kuwa na uchumi tegemezi,
ha ha haa aaaa !! Tsunami ipo karibu,
ishu c wanafanyia wapi, wanapewa nini au wanakumbuka na zana..... ishu je huo ni ustarabu wa Tz au kutoka
abroad........ cinema za X zinaharibu sn watu. Ciello BADILI TABIA HRM
 
Last edited by a moderator:

jamani utamu huu acheni tuu hasa wa kwenye public place unanoga vilivyo...mie wala siwalaumu....mnao lalamika ebu jaribuni msikie raha yake
 
Kuna wanaume wanauza rejareja style hiyo pia baba. Punguza mfumo dume.
jinsia ya kike bwana ........ hii ndio sababu ya kutojituma na kuwa na uchumi tegemezi,
ha ha haa aaaa !! Tsunami ipo karibu,
ishu c wanafanyia wapi, wanapewa nini au wanakumbuka na zana..... ishu je huo ni ustarabu wa Tz au kutoka
abroad........ cinema za X zinaharibu sn watu. Ciello BADILI TABIA HRM
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom