Kwa kilio hiki cha Kenya kwa Tanzania: Kweli sindano imegusa mfupa

We know they are European pappets that's enough kuwaadhibu na ishu sio kwamba hamjiwezi hapana ila kenya has alot to lose than Tz since it's among the top 5 countries that it's people invest massively
Kitu ambacho wengi kama wewe hawakijui, ni kuwa kenya has two worlds. The first world (a small group) which comprises the majority whites and few Afrikan elites. This group of people can order anything (as you have said) from anywhere in this world. Actually, this group is of the upper income people. Another world (a bigger group) is the one which comprises majority of Afrikans. This group is poor. Some members of this group can even not afford a mill of a day. So, the thinking of that kenya comprises of rich people is illusion.
 
We know they are European pappets that's enough kuwaadhibu na ishu sio kwamba hamjiwezi hapana ila kenya has alot to lose than Tz since it's among the top 5 countries that it's people invest massively
Mmh...how exactly are they European pappets?
 
Mkuu

Eliakeem,naona unakunya barabara halafu unayaangalia mavi unaanza kuyacheka!

Mkuu,hizi negative sentiments wanazijenga majirani towards wewe,no matter who is right,kidiplomasia ni hasara...

Ndio maana nchi mbalimbali duniani wanatenga bajeti ya mabilioni ya dollars kujenga soft power kama magnet kuvuta mataifa mengine na kujenga mtazamo positive na haya mataifa...

Kenya akiwa na ugomvi na wewe,sio Kenya pekee yake,Kenya ana nchi ana influence nazo,atazigeuza against you!

Hapo ni heri kama tungekua tunagombana na Kenya kama Kenya alone,ni rahisi

Kenya atatumia his influence and soft power kukupa wakati mgumu unapotafuta kuungwa mkono na mataifa mengine kwa lolote lile ulitakalo..

Too bad,Africa Mashariki Kenya ndio leader on everything,tegemea kupata wakati mgumu sana even hata kufanya kazi na wengine maana Kenya ana soft power ya kuwageuza against you!

Unaona Wakenya wana negative sentiments against Tanzania halafu wewe unachekelea kama lijuha vile!

Sijui tutakuja kupata akili lini ya kula na kipofu!

We are still sleeping!
hahahaha dah orodhesha nchi mbili tu ambazo kenya anaweza kuzishawishi ziigomee Tz kwa chochote
 
Unacheka as kana kwamba nchi mbili zikiwa zinachukiana ni kama ugomvi wa mke na mume kwenye majumba yenu..

Not really..

Mzee,hapa hu-deal na nchi za kipumbavu kama uchafu Burundi,au Sudani Kusini au Rwanda au mavi mengine..

Una-deal na serious country yenye clout na yenye uzito na yenye soft and hard powers put together!

It is very sad tunapoona Kenya ni mavi kama mavi mengine bila kuelewa hawa watu wana power kiasi gani....

Too bad hawa ni economic giants wa hapa East Africa,wa pili ambao ni sisi,ni half ya their capacity...hilo si tatizo sana

Kenya ina soft power more than any country in this region,with the global superpowers au hapa hapa...

Rwanda,Uganda,etc hapa EA wanamheshimu Kenya zaidi kuliko TZ maana economically Kenya ana volume kubwa ya trade nao kuliko sisi,hiyo pia sio ishu sana

Uhuru kama Uhuru ana demand more respect than Mawe and all others put together by the shear weight ya Kenya...

Wakubwa wa dunia wanamuona Kenya kwanza hapa EA halafu baadae sana ndio waulize TZ ni mavi gani....Mezani popote Kenya ana demand weight than anybody hapa EA,thats the FACT!Muulize Kikwete

Baada ya hapo,kuna international missions zetu aidha UN au AU au popote tunapoenda kufatilia maslahi yetu huko duniani,kuna camps,iwapo Kenya atasema asikusapoti kwa lolote na wanaoelewana nae hawakusapoti unabaki kama TZ of which hutoboi popote!

Kenya amefanya ban ya whatever alichofanya,then ni very unfortunate wale wote Kenya alio na influence nao wakifata atakachowaaambia,then we are doomed na mavi yetu tutabaki hapa DSM kujitapa na sijui tuna mahindi,sijui tuna maharage,etc..blah blah

Usijifanye wewe ndio una influence hapa duniani hujui Kenya anayo zaidi yetu na it is the matter of pulling strings.....

Ila ugomvi wote huu does not benefit anybody,kibaya ni kwamba sisi masikini zaidi yao ndio huu ugomvi utatuletea hasara zaidi yao wao...

Effects zinauma zaidi kwa masikini kuliko tajiri...

Rai yangu ni kwamba,tujibu hoja zao,tuwa-convince waelewe...ugomvi waweke kando tujenge pesa..There is more money to be made for everybody....
 
We know they are European pappets that's enough kuwaadhibu na ishu sio kwamba hamjiwezi hapana ila kenya has alot to lose than Tz since it's among the top 5 countries that it's people invest massively
Hizi thinking ni za hovyo sana

Investor ndio atapata hasara?

Una vituko sana aiseee...tumia ubongo

Investor ha-loose chochote,investor hua anahamisha investments..hasara ni kwa host country...

Yaani upo humu unashabikia investor yeyote kuondoa mtaji wake hapa nchini?

Aisee somo la capitalism TZ tulipata SUFURI wala sio SIFURI...
 
Mkuu

Eliakeem,naona unakunya barabara halafu unayaangalia mavi unaanza kuyacheka!

Mkuu,hizi negative sentiments wanazijenga majirani towards wewe,no matter who is right,kidiplomasia ni hasara...

Ndio maana nchi mbalimbali duniani wanatenga bajeti ya mabilioni ya dollars kujenga soft power kama magnet kuvuta mataifa mengine na kujenga mtazamo positive na haya mataifa...

Kenya akiwa na ugomvi na wewe,sio Kenya pekee yake,Kenya ana nchi ana influence nazo,atazigeuza against you!

Hapo ni heri kama tungekua tunagombana na Kenya kama Kenya alone,ni rahisi

Kenya atatumia his influence and soft power kukupa wakati mgumu unapotafuta kuungwa mkono na mataifa mengine kwa lolote lile ulitakalo..

Too bad,Africa Mashariki Kenya ndio leader on everything,tegemea kupata wakati mgumu sana even hata kufanya kazi na wengine maana Kenya ana soft power ya kuwageuza against you!

Unaona Wakenya wana negative sentiments against Tanzania halafu wewe unachekelea kama lijuha vile!

Sijui tutakuja kupata akili lini ya kula na kipofu!

We are still sleeping!
Haha Kenya has no influence in Africa, kawadanganye wengine..
 
Heh

Brother,kua serious sometimes....

Angalia unazi wako na kwavile wewe it happens ni Mtanzania then uraia wako ukafanya uwe mnafiki na kulazimisha akili yako isifanye kazi sababu tu ni raia wa nchi husika...

Kama msomi na mtu mwenye akili,lazima utoe FACTS na sio unadanganya just kuridhisha moyo wako usiokua na reasoning yeyote maana whether useme ukweli au uongo hujasaidia lolote..

Kusaidia ni kuangalia namna ya kuhakikisha kutokana na hii kitu maslahi yetu yanakua poa na hela inajengwa regardless...

Ni ukweli Kenya ni more developed than us,hii ni FACT!

Kenya ni more industrilized than us,thats a FACT!

The rest of the world wakiangalia East Africa wanaijua Kenya kwanza,then usenge mwingine ndio unafuata,tena sometimes hua hawataki hata kujua anything else.Hii ni FACT!

Rais wa Kenya ana command more respect internationally than anybody in EA,na hii ni Magufuli included or anybody....Labda kwa mbali ilikua Nyerere,followed by Kikwete labda

Tuache unafiki....

Kuna namna ya ku-deal na confrotations kutoka kwa more powerful country na sio hii tunayofanya.....

Unavyoi-treat Burundi sio unavyoi-treat Kenya wewe.....

Kenya ni serious country na imeshika alot of stakes na sio kitu cha mchezo eti....

In Africa ukitoa SA,Nigeria,Egypt namba nne anafuata Kenya kwa weight on any international issue either kiuchumi au kidiplomasia..

Tanzania kuna kitu fulani cha kipumbavu tunacho,nacho ni kudhani other countries care about whatever the fvck we are....kila nchi ipo hapa kwa maslahi yake,na the only way out ni persuasions na jinsi ya kula na kipofu mpaka pale utakapokua na nguvu kuwashinda
 
Watanzania wamekuwa "mazwazwa"!...ni upumbavu wa watanzania kufikiria kwamba Kenya haiwezi kufanya shughuli zake bila Tanzania!
Kenya haina tofauti na "developed"countries they are getting everything from Europe sasa sijui Tanzania tatizo letu ni nini.
umetumia tundu la kinyesi kufikiria au ubongo ?

Kenya hii hii ya hapo juu kaskazini ya Tz unaifananisha na developed nations from Europe ?
 
Heh

Brother,kua serious sometimes....

Angalia unazi wako na kwavile wewe it happens ni Mtanzania then uraia wako ukafanya uwe mnafiki na kulazimisha akili yako isifanye kazi sababu tu ni raia wa nchi husika...

Kama msomi na mtu mwenye akili,lazima utoe FACTS na sio unadanganya just kuridhisha moyo wako usiokua na reasoning yeyote maana whether useme ukweli au uongo hujasaidia lolote..

Kusaidia ni kuangalia namna ya kuhakikisha kutokana na hii kitu maslahi yetu yanakua poa na hela inajengwa regardless...

Ni ukweli Kenya ni more developed than us,hii ni FACT!

Kenya ni more industrilized than us,thats a FACT!

The rest of the world wakiangalia East Africa wanaijua Kenya kwanza,then usenge mwingine ndio unafuata,tena sometimes hua hawataki hata kujua anything else.Hii ni FACT!

Rais wa Kenya ana command more respect internationally than anybody in EA,na hii ni Magufuli included or anybody....Labda kwa mbali ilikua Nyerere,followed by Kikwete labda

Tuache unafiki....

Kuna namna ya ku-deal na confrotations kutoka kwa more powerful country na sio hii tunayofanya.....

Unavyoi-treat Burundi sio unavyoi-treat Kenya wewe.....

Kenya ni serious country na imeshika alot of stakes na sio kitu cha mchezo eti....

In Africa ukitoa SA,Nigeria,Egypt namba nne anafuata Kenya kwa weight on any international issue either kiuchumi au kidiplomasia..

Tanzania kuna kitu fulani cha kipumbavu tunacho,nacho ni kudhani other countries care about whatever the fvck we are....kila nchi ipo hapa kwa maslahi yake,na the only way out ni persuasions na jinsi ya kula na kipofu mpaka pale utakapokua na nguvu kuwashinda
Kufanya maamuzi on reciprocal basis hufanyika kote Duniani mifano ipo mingi mfano India ilivyo kua attacked na China kwenye mpaka wake ika retaliate kwa ku ban makampuni ya teknolojia karibu 50 ya China. Juzi kati Marekani walifunga balozi ndogo ya China huko Houston naye China akajibu mapigo kwa kufunga balozi ya Marekani ndogo iliyopo nchini mwake. Hivyo ni mambo ambayo yapo kote Duniani.
 
1596655812507.png

A picture taken on August 1, 2020 shows Kenya Airways planes parked at the parking bay at the Jomo Kenyatta international airport in Nairobi. (AFP/Simon Maina)
Tanzania bans Kenya Airways as coronavirus spat escalates
Credit: http://www.thejakartapost.com/travel/2020/08/05/tanzania-bans-kenya-airways-as-coronavirus-spat-escalates.html

Tanzania banned Kenya's national airline from entering the country effective Saturday, in the latest move in a deepening row triggered by Tanzania's controversial handling of the coronavirus pandemic.

Tanzania said Kenya Airways flights were being banned "on a reciprocal basis" after Kenya decided against including Tanzania in a list of countries whose passengers would be permitted to enter Kenya when commercial flights resumed on 1 August.

"Tanzania has noted... its exclusion in the list of countries whose people will be allowed to travel into Kenya," Tanzania Civil Aviation Authority director general Hamza Johari said in a letter sent to Kenya Airways on Friday.
‘’The Tanzanian government has decided to nullify its approval for Kenya Airways (KQ) flights between Nairobi and Dar/Kilimanjaro/Zanzibar effective August 1, 2020 until further notice," Johari wrote.

"This letter also rescinds all previous arrangements that permit KQ flights into the United Republic of Tanzania." Kenya Airways chief executive Allan Kilavuka said Saturday he was "saddened" by the letter and hoped the situation would soon be resolved. Tanzania has taken a controversially relaxed approach to tackling the coronavirus pandemic and began reopening the country two months ago.

President John Magufuli's refusal to impose lockdowns or social distancing measures, and to halt the release of figures on infections since late April, has made him a regional outlier and caused concern among Tanzania's neighbours and the World Health Organization.

Magufuli declared Tanzania free of coronavirus in June, thanking God and the prayers of citizens for the disease's defeat disease. The diplomatic spat between Kenya and Tanzania erupted soon after the outbreak of the pandemic in East Africa, when Kenya blocked Tanzanian truck drivers from entering the country, fearing they would spread the disease.

Watanzania tushukuru ugonjwa huu wa Covid-19 maana kuna watu walikuwa wanakula bila kunawa mikono. waende wakashitaki sasa kwa uncle.
 
Attachments

  • 1596655856976.png
    1596655856976.png
    60.5 KB · Views: 1
  • 1596655948085.png
    1596655948085.png
    107.8 KB · Views: 1
Mpaka wa Tanzania na Kenya ulifungwa kwa miaka kadhaa baada ya Wakenya kutuhadaa na ujanja ujanja. Marehemu Sokoine alifanya juu chini ili mpaka uwe wazi na ikawa hivyo, kwa bahati mbaya Kenya hawakujifunza kitu na kuendelea kufikiri kwamba Tanzania ni bustani yao ya kuja kuchuma mboga, liwe na liwalo Mkataba wa kuja Tanzania lazima uzingatie usawa wa ndege kutua Nairobi na Dar Es Salaam hakuna cha kwenda Kilimanjaro wala Zanzibar, ule ukarimu sasa basi bustani hii ya mboga ina wenyewe.
 
Tumia akili zaidi yake utueleze kilichotukia. Hali ya hewa?
Hujakatazwa kuamini kuwa alitumia akili kubwa, kila mtu na upeo wake wa uchambuzi. Kuhusu kilichotokea kiongozi wa Kenya alishajibu.
 
Heh

Brother,kua serious sometimes....

Angalia unazi wako na kwavile wewe it happens ni Mtanzania then uraia wako ukafanya uwe mnafiki na kulazimisha akili yako isifanye kazi sababu tu ni raia wa nchi husika...

Kama msomi na mtu mwenye akili,lazima utoe FACTS na sio unadanganya just kuridhisha moyo wako usiokua na reasoning yeyote maana whether useme ukweli au uongo hujasaidia lolote..

Kusaidia ni kuangalia namna ya kuhakikisha kutokana na hii kitu maslahi yetu yanakua poa na hela inajengwa regardless...

Ni ukweli Kenya ni more developed than us,hii ni FACT!

Kenya ni more industrilized than us,thats a FACT!

The rest of the world wakiangalia East Africa wanaijua Kenya kwanza,then usenge mwingine ndio unafuata,tena sometimes hua hawataki hata kujua anything else.Hii ni FACT!

Rais wa Kenya ana command more respect internationally than anybody in EA,na hii ni Magufuli included or anybody....Labda kwa mbali ilikua Nyerere,followed by Kikwete labda

Tuache unafiki....

Kuna namna ya ku-deal na confrotations kutoka kwa more powerful country na sio hii tunayofanya.....

Unavyoi-treat Burundi sio unavyoi-treat Kenya wewe.....

Kenya ni serious country na imeshika alot of stakes na sio kitu cha mchezo eti....

In Africa ukitoa SA,Nigeria,Egypt namba nne anafuata Kenya kwa weight on any international issue either kiuchumi au kidiplomasia..

Tanzania kuna kitu fulani cha kipumbavu tunacho,nacho ni kudhani other countries care about whatever the fvck we are....kila nchi ipo hapa kwa maslahi yake,na the only way out ni persuasions na jinsi ya kula na kipofu mpaka pale utakapokua na nguvu kuwashinda
Ahsante. Wewe ni mtu unayefuata facts bila mafeelings. Kwa kingereza tunasema wewe ni mtu "objective". Yaani unaheshimu ukweli hata kama inauma bado unaikubali. Waeleze Watanzania wenzako. Pengine watakuelewa kwa sababu wewe ni Mtanzania kama wao.
 
View attachment 1528239
A picture taken on August 1, 2020 shows Kenya Airways planes parked at the parking bay at the Jomo Kenyatta international airport in Nairobi. (AFP/Simon Maina)
Tanzania bans Kenya Airways as coronavirus spat escalates
Credit: http://www.thejakartapost.com/travel/2020/08/05/tanzania-bans-kenya-airways-as-coronavirus-spat-escalates.html

Tanzania banned Kenya's national airline from entering the country effective Saturday, in the latest move in a deepening row triggered by Tanzania's controversial handling of the coronavirus pandemic.

Tanzania said Kenya Airways flights were being banned "on a reciprocal basis" after Kenya decided against including Tanzania in a list of countries whose passengers would be permitted to enter Kenya when commercial flights resumed on 1 August.

"Tanzania has noted... its exclusion in the list of countries whose people will be allowed to travel into Kenya," Tanzania Civil Aviation Authority director general Hamza Johari said in a letter sent to Kenya Airways on Friday.
‘’The Tanzanian government has decided to nullify its approval for Kenya Airways (KQ) flights between Nairobi and Dar/Kilimanjaro/Zanzibar effective August 1, 2020 until further notice," Johari wrote.

"This letter also rescinds all previous arrangements that permit KQ flights into the United Republic of Tanzania." Kenya Airways chief executive Allan Kilavuka said Saturday he was "saddened" by the letter and hoped the situation would soon be resolved. Tanzania has taken a controversially relaxed approach to tackling the coronavirus pandemic and began reopening the country two months ago.

President John Magufuli's refusal to impose lockdowns or social distancing measures, and to halt the release of figures on infections since late April, has made him a regional outlier and caused concern among Tanzania's neighbours and the World Health Organization.

Magufuli declared Tanzania free of coronavirus in June, thanking God and the prayers of citizens for the disease's defeat disease. The diplomatic spat between Kenya and Tanzania erupted soon after the outbreak of the pandemic in East Africa, when Kenya blocked Tanzanian truck drivers from entering the country, fearing they would spread the disease.

Watanzania tushukuru ugonjwa huu wa Covid-19 maana kuna watu walikuwa wanakula bila kunawa mikono. waende wakashitaki sasa kwa uncle.
Hawa jirani ni wapuuzi sana kwenye reasoning yao, eti Tanzania imekuwa outlier kutokana na approach yetu ya kupambana na Covid-19. Kwani ukiwa outlier ni kosa?

Sasa mbona Dunia nzima imeanza kuamini ila kuingia Tanzania, mashirika ya ndege yote makubwa yako fully booked na watalii wansokuja TZ.

Hakika hili liwe somo kwa Kenya na jirani wengine na jirani wengine wenye kiherehere.

I fully support BASA ijadikiwe upya kwa KQ na ATCL kupewa equal number of flights in respective countries.
 
Sio kweli.. Kuna jamaa huku kapewa mpaka room anaishi bure baada ya mambo yake kumuharibikia na anajua ukarimu wa waTz

Soma kwenye hilo gazeti paragraph ya 5 kututoka mwisho inadai Raisi Kenyata hakuja kutokana na kutotaka kuhatarisha maisha yake kwaajili ya corona.. Sasa mimi nadhani hata hao waliotumwa kuwakilisha wangepata shida mngesema wamepatia Tanzania
Huyo rais wenu akiondoka 2025 halafu mupate rais mstaarabu, muungwana kama rais mpendwa Jakaya Kikwete, mwanadiplomasia mashuhuri ndio tutaanza kuongea tena. Kwa sasa hamna haja ya kulazimisha mahusiano kama yamekataa.
 
Hujakatazwa kuamini kuwa alitumia akili kubwa, kila mtu na upeo wake wa uchambuzi. Kuhusu kilichotokea kiongozi wa Kenya alishajibu.
Muhimu si akili kubwa au ndogo. Cha muhimu ni je, pana ukweli kwa aliyoyasema? Kama ukweli upo tusichambue akili.
 
Mkuu

Unacheka as kana kwamba nchi mbili zikiwa zinachukiana ni kama ugomvi wa mke na mume kwenye majumba yenu..

Not really..

Mzee,hapa hu-deal na nchi za kipumbavu kama uchafu Burundi,au Sudani Kusini au Rwanda au mavi mengine..

Una-deal na serious country yenye clout na yenye uzito na yenye soft and hard powers put together!

It is very sad tunapoona Kenya ni mavi kama mavi mengine bila kuelewa hawa watu wana power kiasi gani....

Too bad hawa ni economic giants wa hapa East Africa,wa pili ambao ni sisi,ni half ya their capacity...hilo si tatizo sana

Kenya ina soft power more than any country in this region,with the global superpowers au hapa hapa...

Rwanda,Uganda,etc hapa EA wanamheshimu Kenya zaidi kuliko TZ maana economically Kenya ana volume kubwa ya trade nao kuliko sisi,hiyo pia sio ishu sana

Uhuru kama Uhuru ana demand more respect than Mawe and all others put together by the shear weight ya Kenya...

Wakubwa wa dunia wanamuona Kenya kwanza hapa EA halafu baadae sana ndio waulize TZ ni mavi gani....Mezani popote Kenya ana demand weight than anybody hapa EA,thats the FACT!Muulize Kikwete

Baada ya hapo,kuna international missions zetu aidha UN au AU au popote tunapoenda kufatilia maslahi yetu huko duniani,kuna camps,iwapo Kenya atasema asikusapoti kwa lolote na wanaoelewana nae hawakusapoti unabaki kama TZ of which hutoboi popote!

Kenya amefanya ban ya whatever alichofanya,then ni very unfortunate wale wote Kenya alio na influence nao wakifata atakachowaaambia,then we are doomed na mavi yetu tutabaki hapa DSM kujitapa na sijui tuna mahindi,sijui tuna maharage,etc..blah blah

Usijifanye wewe ndio una influence hapa duniani hujui Kenya anayo zaidi yetu na it is the matter of pulling strings.....

Ila ugomvi wote huu does not benefit anybody,kibaya ni kwamba sisi masikini zaidi yao ndio huu ugomvi utatuletea hasara zaidi yao wao...

Effects zinauma zaidi kwa masikini kuliko tajiri...

Rai yangu ni kwamba,tujibu hoja zao,tuwa-convince waelewe...ugomvi waweke kando tujenge pesa..There is more money to be made for everybody....
naomba orodha ya hizo nchi ambazo kenya anaweza kuzishawishi kwa chochote dhidi ya Tz na zikafata
 
Orodhesha nchi ambazo Tanzania ina influence nazo na akiongea kitu zinafuata?

You think the world starts with Tanzania and ends with Tanzania?
 
Back
Top Bottom